Kuna wakati maneno ya watu kama P.W.Botha, D.J.Trump na wengineo yanaonekana kuwa na ukweli kabisa. Ngozi nyeusi ina tatizo kubwa sana, huo msfara wote na bado bajeti yenyewe ni tegemezi, bado safari zisizoisha kwenda kuombaomba.Mwigulu anakwenda kuwasilisha bajeti ya USD 15 billion na ving’ora na escort. 2024.
Jeremy Hunt, waziri wa Fedha wa UK akitembea kuwasilisha bajeti ya USD 1,600 billion. 2024.
Huu ni ulimbukeni, ushamba au ujinga.
View attachment 3016883
LIPA KODI KWA MAENDELEO (YAO) YAKO
Duh!Kwa hiyo angeenda kinyonge huku kavaa na kaptula ili kutuonesha tulivyo masikini?Kuna wakati maneno ya watu kama P.W.Botha, D.J.Trump na wengineo yanaonekana kuwa na ukweli kabisa. Ngozi nyeusi ina tatizo kubwa sana, huo msfara wote na bado bajeti yenyewe ni tegemezi, bado safari zisizoisha kwenda kuombaomba.
Mkuu, umeenda mbali sana. Kwani angeenda na gari lake la uwaziri la siku zote, akaingia hapo na kuwasilisha bajeti yake kungekuwa na shida gani? Hayo maigizo na mbwembwe zote hizo hayana tija yoyote, wananchi tunabaki kushangaa tu.Duh!Kwa hiyo angeenda kinyonge huku kavaa na kaptula ili kutuonesha tulivyo masikini?
Mkuu umetisha ila kama hilo ni jina lako halisi haya mashetani yatakutafuta.Nishaipata email yake ya bungeni, nimemwomba afute huo msaada kwenye bajeti yake, ujumbe umefika.
To huntj@parliament.uk
Right Honorable Chancellor of the Exchequer, Jeremy Hunt
One political social media topic today involved a picture of you unpretentiously strolling down a street of London clutching a briefcase containing the 1.2 trillion pound UK budget juxtaposed next to an image of The Minister of Finance of my dirt-poor, donor-dependent, disease and disaster-riven state of Tanzania, also arriving in Parliament today in a snaking motorcade of late model, gas-guzzling, high maintenance luxury Land Cruisers to present our meager 15 billion dollar national budget for 2024-25.
One commentator aptly pointed out that in your briefcase you will also have money allotted for Tanzania foreign aid, some, if not most, of which goes to the purchase and operation of these exorbitant vehicles as well as bankrolling other lavish perks and luxury lifestyles of our Tanzanian politicians.
We are sending you the picture because we respectfully wanted you to get an idea of how the hard earned tax pounds of selfless and globally minded British Citizens is used back here in Tanzania. The general discussion is in Swahili but the picture is all you need to grasp what's going on here.
We are forever immensely thankful for the UK Foreign aid, but given the circumstance of abuse and plunder we wish you would kindly reconsider foreign aid to Tanzania.
Link of the picture
https://www.jamiiforums.com/attachments/b9916086-85d1-44e1-bcf8-774af3b3de22-jpeg.3016883/
Link of the discussion pages
Mwigulu Vs Jeremy Hunt Waziri wa Fedha UK
Thank you for reading our e-mail.
Kevin Kigalula
For concerns citizens of Tanzania.
Hizo mbwembwe ni kwa ajili ya kutujenga kisaikolojia ili tuione bajeti ni nzuri.Akienda kinyonge hata bajeti tutaiona ni michosho.Mind-games hizo!Mkuu, umeenda mbali sana. Kwani angeenda na gari lake la uwaziri la siku zote, akaingia hapo na kuwasilisha bajeti yake kungekuwa na shida gani? Hayo maigizo na mbwembwe zote hizo hayana tija yoyote, wananchi tunabaki kushangaa tu.
Hii habari kuwa Mwigulu ni muuaji nimesimuliwa Jana tu na mdau mmoja hivi, nikabaki midomo wazi.Mwigulu ametokea familia Duni
Amepenya penya kufika hapo alipo kwa kutumwa na wakubwa zake akawatese na kuwauwa wapinzani
Hatari.Yana mwisho hayo.Tuombe tuje kumuona akiwa mzee.Hii habari kuwa Mwigulu ni muuaji nimesimuliwa Jana tu na mdau mmoja hivi, nikabaki midomo wazi.
Mdau anasema 2010 Mwigulu ameua na kutesa sana watu kwa kuwamwagia tindikali.
Mungu atuepishe na tamaa hizi mbaya za madaraka.
Hakika kabisa, Mwiguru alionekana na serikali ya Kikwete kwa kuinusuru ccm dhidi Chadema ya Dr. Slaa ya enzi za akina Mawazo! Aliweza kuumiza watu na Ndo akina Dr. Mvungi walipo potelea! Baada ya hapo ccm wakamuingiza katika genge lao. vinginevyo Mwiguru hana cha maana alicholifanyia Taifa hili!Mwigulu ametokea familia Duni
Amepenya penya kufika hapo alipo kwa kutumwa na wakubwa zake akawatese na kuwauwa wapinzani
Hana uwezo wowote zaidi ya kulinda maslahi ya wakubwa
Mwigulu ajue tu kwamba Mungu hajalala. One day the karma will revenge.Hakika kabisa, Mwiguru alionekana na serikali ya Kikwete kwa kuinusuru ccm dhidi Chadema ya Dr. Slaa ya enzi za akina Mawazo! Aliweza kuumiza watu na Ndo akina Dr. Mvungi walipo potelea! Baada ya hapo ccm wakamuingiza katika genge lao. vinginevyo Mwiguru hana cha maana alicholifanyia Taifa hili!
Alikuwa akizunguka kuwasalimu watanzania na kusikiliza shida zao.Kwani huyo jiwe alikuwa anasafiri/kutembea na misafara ya magari mangapi?
mambuziUK hawana mbunga za wanyama, bahari, mito, madini, ardhi na mifugo lakini ni matajiri wa kutupwa sisi tuna viongozi wajinga haswa
Kile kitoto chake kitapata tabu sana maana kmepatikana kwa baba yake kuua wengineHakika kabisa, Mwiguru alionekana na serikali ya Kikwete kwa kuinusuru ccm dhidi Chadema ya Dr. Slaa ya enzi za akina Mawazo! Aliweza kuumiza watu na Ndo akina Dr. Mvungi walipo potelea! Baada ya hapo ccm wakamuingiza katika genge lao. vinginevyo Mwiguru hana cha maana alicholifanyia Taifa hili!
Gari moja ingetosha, sio msafaraDah!Kwa hiyo Mwigulu alitakiwa atembee kwa miguu kutoka wizarani hadi bungeni?Vitu vingine ni vidogo sana.Hasira zetu za maisha magumu tusimuhamishie jamaa.
Mkuu umetisha ila kama hilo ni jina lako halisi haya mashetani yatakutafuta.
KUNA WATANZANIA NI WA HOVYO KUPINDUKIA, NADHANI SASA HII FISI INAINJOY BAADA YA KUARIBU / AIDHA ASIWEZE KUHARIBU LOLOTE, KWA SABABU UK EMBASSY ITAULIZWA BOUT CONCEIN, NA ITAJIBU THAT PERSON ACT AS TANZANIAN COULD THE ENEMY, OR STREETS HOOLIGAN, AND NO SUCH A THINGS, BUT THE FINANCE MINISTER WENT TO PERLIAMENT WITH 3 VEHICLE WHICH IS VERY NORMAL.Nishaipata email yake ya bungeni, nimemwomba afute huo msaada kwenye bajeti yake, ujumbe umefika.
To huntj@parliament.uk
Right Honorable Chancellor of the Exchequer, Jeremy Hunt
One political social media topic today involved a picture of you unpretentiously strolling down a street of London clutching a briefcase containing the 1.2 trillion pound UK budget juxtaposed next to an image of The Minister of Finance of my dirt-poor, donor-dependent, disease and disaster-riven state of Tanzania, also arriving in Parliament today in a snaking motorcade of late model, gas-guzzling, high maintenance luxury Land Cruisers to present our meager 15 billion dollar national budget for 2024-25.
One commentator aptly pointed out that in your briefcase you will also have money allotted for Tanzania foreign aid, some, if not most, of which goes to the purchase and operation of these exorbitant vehicles as well as bankrolling other lavish perks and luxury lifestyles of our Tanzanian politicians.
We are sending you the picture because we respectfully wanted you to get an idea of how the hard earned tax pounds of selfless and globally minded British Citizens is used back here in Tanzania. The general discussion is in Swahili but the picture is all you need to grasp what's going on here.
We are forever immensely thankful for the UK Foreign aid, but given the circumstance of abuse and plunder we wish you would kindly reconsider foreign aid to Tanzania.
Link of the picture
https://www.jamiiforums.com/attachments/b9916086-85d1-44e1-bcf8-774af3b3de22-jpeg.3016883/
Link of the discussion pages
Mwigulu Vs Jeremy Hunt Waziri wa Fedha UK
Thank you for reading our e-mail.
Kevin Kigalula
For concerns citizens of Tanzania.
Hii ianzishie Uzi wake. Hapa tunaongelea embezzlement ya viongozi wetu, wasiojali Hali ya inchi na watu wengine wanaoteseka kwa umaskini huku mtaani huku Kodi zao zikitumiwa ovyoTuachane na habari za idadi ya magari.Bajeti ikoje?Inaendana na uhalisia wa maisha?Inatimizika?Inatupeleka hatua za amani na imani mbele?
🤣🤣🤣ana demostrate power, siyo ulimbukeni wala ushamba bali ni power aliyonayo, huyo wa uingereza ni waziri tu wa fedha can be fired muda wowote, mwigulu hufukuziki ni mhimili unaojitegemea …
Unajua Ng'wigulu ni mshamba na limbukeni.Mwigulu anakwenda kuwasilisha bajeti ya USD 15 billion na ving’ora na escort. 2024.
Jeremy Hunt, waziri wa Fedha wa UK akitembea kuwasilisha bajeti ya USD 1,600 billion. 2024.
Huu ni ulimbukeni, ushamba au ujinga.
View attachment 3016883
LIPA KODI KWA MAENDELEO (YAO) YAKO