Mkuu wewe ndiye unahamisha mada, Mkuu ukweli ni kwamba waziri wetu kakufuru, kavuka Mipaka. Wanaolalamika ni walipa kodi anaopaswa kuwatetea Mkuu.Hatuna jema.Hata angetembea kwa magoti barabara yote,bado angeambiwa anaigiza tu.Tutaacha yaliyomo kwenye bajeti tuanze kujadili uzungukaji wa matairi ya gari la waziri yanavyojizungusha kwa madaha.
Hata kufahamuu pia kwa Wabongo ni anasa! Hakutakiwa kutembea lakini kuna haja gani ya magari sita na ving'ora? Mpaka hapo milioni mbili zimetumika. Jee, wewe mfukoni una hata milioni moja hivi sasa? Utakubali milioni mbili zako zitumike hivyo? Kama ungekuwa na uwelewa hizo anazotumia Mwigulu hazitoki kwenye biashara yake na Esher, bali kwako wewe na mimi? Huelewi. Watu kama nyie ndio anaowafurahia mama!Dah!Kwa hiyo Mwigulu alitakiwa atembee kwa miguu kutoka wizarani hadi bungeni?Vitu vingine ni vidogo sana.Hasira zetu za maisha magumu tusimuhamishie jamaa.
Ongeza nyamajiulize kabla ya mapinduzi kuna waziri wa fedha aliyejikweza kama mwigulu? haya mambo ya ving‘ora hayakuwepo kabla unafikiri imetokea tu?
Link video picha sourceKuna Mzungu Juzi katoa kauli ya ubaguzi ila kama Ina make Sense,kasema IQ za watu wa Kusini Mwa Jangwa la Sahara hazijapishana sana na wale wa nyama wanaopatika a Hifadhi ya Gombe Kigoma...
Sisi tunateswa na uongozi mbovumambuzi
Umeona bahari pekee?UK ni kisiwa kama ilivyo Zanzibar, watakosaje bahari?
Kuna mtu alimwambia akiwa rais anatakiwa atembee nyumba kwa nyumba kusikiliza shida za "wanyonge"?Alikuwa akizunguka kuwasalimu watanzania na kusikiliza shida zao.
Nchi hii wapo watanzania ambao hawajawahi kumwona raisi wa nchi yao.
Pamoja na kwamba nchi yetu ina wabunge lakini hawana ofisi za kusikiliza na kushughulikia shida za wananchi.
Badała yake kwa mara ingine tena CCM mida hii yawatumia Makonda, Slaa na RC wa Daresalaam kuwahadaa na baadae kuwachanganya kwenye boksi la kura.
Ninyi ndo CCM ilomkataa Jiwe.
Hakuna mahala nimesema alitembea nyumba kwa nyumba. Watanzania tuna safari isokwisha.Kuna mtu alimwambia akiwa rais anatakiwa atembee nyumba kwa nyumba kusikiliza shida za "wanyonge"?
Afadhali yeye misafara ilikuwa mirefu, nakubali...lakini atlest tuliona impact yake ktk usimamizi hasa mikoani.Kwani huyo jiwe alikuwa anasafiri/kutembea na misafara ya magari mangapi?
Achana na Bajeti ,msafara upo na magari (v8 sio chini T )Mwigulu anakwenda kuwasilisha bajeti ya USD 15 billion na ving’ora na escort. 2024.
Jeremy Hunt, waziri wa Fedha wa UK akitembea kuwasilisha bajeti ya USD 1,600 billion. 2024.
Huu ni ulimbukeni, ushamba au ujinga.
View attachment 3016883
LIPA KODI KWA MAENDELEO (YAO) YAKO
Kulikuwa hakuna haja ya mbwembwe za magari makubwa na misafara mirefu. Watanzania ni nani ametuloga? Kwanza ni asilimia ngapi ya Hela za maendeleo kwenye hiyo bajeti zitabaki hapa nchini? Hilo ndio linatakiwa lituumize kichwaDah!Kwa hiyo Mwigulu alitakiwa atembee kwa miguu kutoka wizarani hadi bungeni?Vitu vingine ni vidogo sana.Hasira zetu za maisha magumu tusimuhamishie jamaa.
Kwani huo msafara umeharibu nini au kuvunja sheria zipi barabarani?Tu-deal na bajeti.Hadithi za urefu wa msafara wa Mwigulu hautatusaidia ku-focus kwenye mambo ya maana.Kulikuwa hakuna haja ya mbwembwe za magari makubwa na misafara mirefu. Watanzania ni nani ametuloga? Kwanza ni asilimia ngapi ya Hela za maendeleo kwenye hiyo bajeti zitabaki hapa nchini? Hilo ndio linatakiwa lituumize kichwa
Ni lazima watanzania waambiwe kuwa Shetani katika umbo la Binadam aliwatumia wakoloni kuwauza watu kama mbuzi ,na baadae watu wa Mungu walipomshtukia akaja kama mtawala na msaka malighafi ,aliposhtukiwa akatoa uhuru bandis akajibadili akavaa ngozi nyeusi kama mwafrika ili iwe vigumu kumtambua .Viongozi wa Tanzania ni mashetani ktkt kivuli cha wanadamu
Wana mafuta na gesi ambayo wameanza kuchimba miaka ya 1960. Kuna kingine kipo kwenye orodha yako sijataja?Umeona bahari pekee?
Ukweli ndiyo huo.Mwigulu ametokea familia Duni
Amepenya penya kufika hapo alipo kwa kutumwa na wakubwa zake akawatese na kuwauwa wapinzani
Hana uwezo wowote zaidi ya kulinda maslahi ya wakubwa