whiteskunk
JF-Expert Member
- Jul 24, 2021
- 3,904
- 9,342
Unatumia nguvu kuwaonyesha watu kuwa una nguvuana demostrate power, siyo ulimbukeni wala ushamba bali ni power aliyonayo, huyo wa uingereza ni waziri tu wa fedha can be fired muda wowote, mwigulu hufukuziki ni mhimili unaojitegemea …