Mwigulu Vs Jeremy Hunt Waziri wa Fedha UK

Mwigulu Vs Jeremy Hunt Waziri wa Fedha UK

ana demostrate power, siyo ulimbukeni wala ushamba bali ni power aliyonayo, huyo wa uingereza ni waziri tu wa fedha can be fired muda wowote, mwigulu hufukuziki ni mhimili unaojitegemea …
Kwa hio Billion 15 USD ni zaidi ya Billion 1200 USD, kuna yule Mmarekani aliwachana akasema Hawa viongozi wa Africa wanatumia Pesa kula Bata sio kuwasaidia Wananchi
 
Dah!Kwa hiyo Mwigulu alitakiwa atembee kwa miguu kutoka wizarani hadi bungeni?Vitu vingine ni vidogo sana.Hasira zetu za maisha magumu tusimuhamishie jamaa.

Mwigulu amedhihirisha ni punguani. Hivi angepanda tu gari yake na kuelekea Bungeni, alikuwa anapungukiwa nini. Sasa kuandaa msafara na ving'ora ilikuwa kwaajili ya nini.

Hawa majambazi wa kupora majina ya watu, wote tabia zao ni za ajabu ajabu!! Mwigulu, Makonda, Kigwangala - wote ni watu wa kupenda sifa za kijinga.
 
Waliomsindikiza kwa mbwembwe ni wa kulaumiwa.
NB;Bajeti hakuandaa Mwigulu peke yake.Iliandaa ofisi/wizara zote.Wapunguze mbwembwe na madoido yasiyo na tija.
 
Hatuna jema.Hata angetembea kwa magoti barabara yote,bado angeambiwa anaigiza tu.Tutaacha yaliyomo kwenye bajeti tuanze kujadili uzungukaji wa matairi ya gari la waziri yanavyojizungusha kwa madaha.

Siku njema huanza asubuhi. Kwa ujinga ule alioufanya Mwigulu, tangu kutokea nyumbani kwake, hakuna la maana litakalokuwemo kwenye bajeti hiyo, kwa sababu yeye wakati wote analenga sifa yake binafsi, na siyo mafanikio ya nchi.
 
Tuachane na habari za idadi ya magari.Bajeti ikoje?Inaendana na uhalisia wa maisha?Inatimizika?Inatupeleka hatua za amani na imani mbele?

Bajeti ambayo maandalizi yake yamesimamiwa na mtu mwenye fikra duni kama huyo, itakuwa na nini cha maana?? Hakuna lolote la maana zaidi ya mbwembwe za kijinga kama alivyoonesha tangu kuanza safari yake toka nyumnani kuelekea bungeni kwa msafara wa kipuuzi wenye ving'ora.
 
Back
Top Bottom