PostGE2025 Mwigulu: Wanaharakati wanalipwa kuchochea vurugu. Juzi kuna kijana amepewa bilioni 5

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Mwigulu amekuwa kasuku anabwabwaja ujinga aliokaririshwa na Samia
 
Jiulizeni, serikali hii inavoangaika kumtafuta mtu wa kumwangushia lawama halafu iwe na ushaidi wa mtu kulipwa kufanya vurugu, hiyo press yake wataitwa hadi CNN, Fox News, CNBC na bunge la ulaya. Huyo mtu angelikuwa mahakamani kwa uhaini tiyari na hükümü ya kifo ingelikuwa ishatolewa. Hizi propaganda hazimsaidii huyu waziri wa mawe.
 
Upupu uliojaa vumbi. Kumpa huyu uwaziri mkuu ni kuliabisha taifa la Tanzania maana anajulikana toka kitambo kwamba hazimtoshi. Tunajua amewekwa kenye hiyo nafasi si kwa sababu ana uwezo kiutendaji bali kuwarahisishia mabwana zake uporaji wa rasilimali za nchi kwa raha zao. KWANZA SERIKALI YAO HAITAMBULI NA WANANCHI WAZALENDO NA PIA NCHI ZA NJE. NI WAZIRI MKUU WA SERIKALI HARAMU.
 
Anarudia sana hii script
 
Mh. Tulia Aksoni Mwansasu, mtu wako ameanza tena kuongea vitu visivyoeleweka. Njoo utuulizie ili aeleze vizuri.
 
Hizi pesa zinazojenga miundo mbinu sio za mama tena zimekua za Wananchi.... Baadae ataenda kwenye mkutano mwingine atajisahau tena utasikia "mama anatoa hela kujenga miundo mbinu"
 
Ukisikia kujizima data ndio huku sasa. Kwa hiyo Mwigulu hajawahi kuyasikia madai ya watanganyika? Hata kama kijana kalipwa who cares? Kwa hiyo kama kalipwa inahusiano nini na madai ya haki? Poor waziri mkuu haramu
 
Ni raia wa kigeni,wana silaha,hawaongei kiswahili,kijana kalipwa billioni5.Guys atuwekee ushahidi,ushahidi wa kutufukuza watanzania kuhamia burundi tunao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…