Mwigulu: Wananchi wanaenda kupata fedha nyingi, watazoea makato

Yeye kwa sababu anamiliki kampuni za mabus kwa siku uhakika wa kupata upo hivyo ufikiri KILA mtza anamiliki mabus pesa sio tatizo.
Hii tozo ya mshikamano naona ikienda kuagiza mabasi mapya ya mchumi daraja la kwanza........wale wenye connection andaeni sandarusi siku ya mgao itakapofika.
 
Tz viongozi wengi wa umma walipata unyafuzi ktk makuzi yao
 
Kama watumishi wa Umma wataongezewa asilimia mia za mshahara ni sawa kabisa wasemacho!mzunguko utakuwa mkubwa sana!!!
 
Watukamue zaidi ili mafuta ya VX zao yasikosekane.
 
Wangeziachia hizo hela nyingi kwanza wanazosema zitapatikana ndio walete hizo tozo na makato yao siyo wanatudunga sindano halafu wanatufariji kirahisi namna hiyo
 
Mwigulu ana upungufu kichwani+roho mbaya
 
Mkuu sisi watanzani ni wapumbavu+,siyo wapole
 
Ila watanzania pia tujaribu kushauri ..je ingefanyika kitu gani ili serikali ipate fedha za kugharimia vitu kama barabara za lami vijijini..shuke zilizobireka vijijin..na kutoa ahira za walimu na watu wa afya..Naomba tutoe mawazo
Mnafikiri kwa kutumia nini mkuu?
 
Ila watanzania pia tujaribu kushauri ..je ingefanyika kitu gani ili serikali ipate fedha za kugharimia vitu kama barabara za lami vijijini..shuke zilizobireka vijijin..na kutoa ahira za walimu na watu wa afya..Naomba tutoe mawazo
Tungeanza na kujadili kwanza kama tunaridhika na matumizi ya pesa zilizopo kwanza, na kama haturidhiki, basi wapi tupunguze matumizi yasiyo na ulazima, hatuwezi lalamika kuwa hatuna pesa ya kutosha, na tukawa na matumizi yanayoongezeka kila siku? Nadhani tuanzie hapo.
 
Kuna mambo uanafikirisha sana.

Yaani unajikuta unajiuliza: "Hivi hawa wanasiasa wetu wanatuonaje?"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…