Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,016
- 6,759
Waziri kichwa maji kuwahi kutokea Africa Mashariki na Kati.
Uwe na wewe mda mwingine unashirikisha ubongo wako sio kuleta ushabiki maandazi tu.Itabidi utume maombi kwa rais akuchague wewe
Shukuru jinsia yako mama D, ila isingekua jinsia yako basi ungefurahi na roho yako. Nimesema hivo kwasababu sijawahi kumtukana mwanamke na pia nina waheshimu sana wanawake, hata kama ni malaya wa kujiuza barabarani huwa nawaheshimu tu.Itabidi utume maombi kwa rais akuchague wewe
Hapana kwakweli hata Tabora Ni Kanda ya Kati akajengewe hukooWaziri kichwa maji kuwahi kutokea Africa Mashariki na Kati. Anatakiwa ajengewe sanamu lake la ukumbusho Dodoma.
Uwe na wewe mda mwingine unashirikisha ubongo wako sio kuleta ushabiki maandazi tu.
Shukuru jinsia yako mama D, ungefurahi na roho yako. Nimesema hivo kwasababu sijawahi kugombana na nina waheshimu sana wanawake, hata kama ni malaya wa kujiuza barabarani huwa nawaheshimu tu.
Nashauri sanamu lake lijengwe gamboshi.Hapana kwakweli hata Tabora Ni Kanda ya Kati akajengewe hukoo
Katika masuala ya msingi kama haya haihitaji mtu kujitoa akili. Kuwa objective. Ni issue inayokugusa mpaka wewe na ndugu na jamaa zako. Sasa ukileta tu ushabiki wa vyama unaonekana hamnazo.Mtu akilalamika bila kuwa na suluhu ya anacholalamikia ukamsaidia kufikiri ni ushabiki maandazi??? Basi heri akae kimya
Imefanyaje tena jinsia ya kike jameni??
Halafu hao wa kujiuza barabarani unajua wateja wake ni wanaumeπ€π€
Tena π π π π π
Huyo sio mzima, achana nae tu.Katika masuala ya msingi kama haya haihitaji mtu kujitoa akili. Kuwa objective. Ni issue inayokugusa mpaka wewe na ndugu na jamaa zako. Sasa ukileta tu ushabiki wa vyama unaonekana hamnazo.
Huwa inatia sana hasira kuona kuna watu hawana upeo wakutambua/kuelewa masuala rahisi kama haya.Huyo sio mzima, achana nae tu.
Ila mpaka ikifikia mwezi wa 12 kwenye maandalizi ya Xmass na New Year, mbona taifa zima tutaongea lugha moja. Hii ishue ni ya kitaifa ila watu wamekalia ujuha. Time will tell.
Kwanza picha litaanza mwezi wa 10, wakulima wakianza kujiandaa na kilimo. Kodi za mbolea mwanzo ilikua balaa, sasa ni mauwaji kabisa.View attachment 1856931
Katika masuala ya msingi kama haya haihitaji mtu kujitoa akili. Kuwa objective. Ni issue inayokugusa mpaka wewe na ndugu na jamaa zako. Sasa ukileta tu ushabiki wa vyama unaonekana hamnazo.
Mjinga, mpuuzi kabisa, serikali itaingiza toka wapi wakati inazidi kuzichukuwa kwa wananchi?! Hivi huyu anaelewa anachosema au kachanganyikiwa?!Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema serikali itaingiza fedha nyingi kwenye uchumi kukuza mzunguko wa fedha ili kuondoa malalamiko ya wananchi kuhusu makato. Amesema malalamiko hayo ni kwa vile mtu akikatwa hajui atapata lini nyingine, ila fedha zikiwa nyingi, yataisha.
Kama hawaogopi inflation wata print tu!Wasije kuprint Hela tu jamani.
πππππππHuko singida hakuko sawa