Mwijaku amuomba msamaha Masoud Kipanya baada ya kumtuhumu kuwa “anafanya biashara haramu” na kutukana Viongozi akiwemo Rais

Kimsingi hata kama kaomba msamaha lakini tayari amekwisha mfanyia damage. Namshauri Masoud pesa aliyopata kwenye ngada inatosha. Atulie awekeze kwenye vitu vingine. Akipuuza ajuwe kuwa tayari wazee wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana Dawa za Kulevya (DCEA) wanam monitor.
 
Msamaha wa kuita press sio mchezo, maana naamini Masoud sio mwepesi akienda nae kimahakama hata kutaka fidia ya kumchafua Mwijaku hana pesa ya kulipa ana pesa ya uchawa

Musiba aliambiwa alipe billions zile, sijui kama alilipa.
Take it from me. Mwijaku HAJAKURUPUKA. Hata kama atakanusha au kuomba msamaha tayari DCEA chini ya Aretas James Lyimo imepata pa kuanzia
 
Daaah Mwijaku hamna kitu hapo
 
DCEA hawana ubavu kwa wana mtandao wa Sembe..Hawana ubavu wakumgusa KP kama nikweli yupo kwenye Chanel basi ujue nitawatoto wa mjini haswa.
Hata Shikuba na Lwitiko kabla hawajanyakuliwa na DEA ya USA nao mlikuwa mnasema kuwa ni "UNTOUCHABLE". Lakini ilipofika siku ya siku walinyakuliwa na kwenda kutumikia kifungo US.

Mwambieni tu mshikaji aache, inatosha unga aliouuza
 
Kwamba wazee wa DCEA wanategemea info za Mwijaku? Aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…