johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hilo ndio la muhimuUjumbe ulishafika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo ndio la muhimuUjumbe ulishafika.
Kimsingi hata kama kaomba msamaha lakini tayari amekwisha mfanyia damage. Namshauri Masoud pesa aliyopata kwenye ngada inatosha. Atulie awekeze kwenye vitu vingine. Akipuuza ajuwe kuwa tayari wazee wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana Dawa za Kulevya (DCEA) wanam monitor.View attachment 3017284
A /Alaykum ..! Nachukua nafasi hii kukutaka radhi my brother kwa kukukosea na kukuvunjia heshima .! Kijana wako nimeghafilika kwa jazba .
M/Mungu anasema innah llah maaswabereen . Nilipaswa kua na SUBRA kabla sijanyanyua kinywa . Ile clip imenipa funzo kubwa sana inshaalah mdani ya nafsi yako ukiridhia nitashukuru .
Niwapmbe radhi pia wamiliki wa @crownfmtz #Cloudsfm kwa maneno yangu yalio leta taswira tofatuti kwa jamii .inshaalha we learn through the mistake .
============
Mtangazaji mpya ww Crown Media Mwijaku amemuomba radhi Mtangazaji wa Clouds Media Masoud Kipanya kwa kile alichokiongea.
Mwijaku baada ya kuondoka Clouds Media na kuhamia Crown Masoud Kipanya alitoa maoni yake ambayo yalionekana kumkera Mwijaku.
Baada ya Masoud kuongea Mwijaku aliandika ujumbe mbaya mitandaoni kuhusu Masoud Kipanya.
Leo hii akiongea na wana habari ametumia fursa hiyo kumuomba Radhi Maspud Kipanya.
View attachment 3017209
Pia Soma: Mwijaku amwandikia Waraka Mzito Masoud Kipanya, adai anafanya biashara haramu
Take it from me. Mwijaku HAJAKURUPUKA. Hata kama atakanusha au kuomba msamaha tayari DCEA chini ya Aretas James Lyimo imepata pa kuanziaMsamaha wa kuita press sio mchezo, maana naamini Masoud sio mwepesi akienda nae kimahakama hata kutaka fidia ya kumchafua Mwijaku hana pesa ya kulipa ana pesa ya uchawa
Musiba aliambiwa alipe billions zile, sijui kama alilipa.
Daaah Mwijaku hamna kitu hapoView attachment 3017284
A /Alaykum ..! Nachukua nafasi hii kukutaka radhi my brother kwa kukukosea na kukuvunjia heshima .! Kijana wako nimeghafilika kwa jazba .
M/Mungu anasema innah llah maaswabereen . Nilipaswa kua na SUBRA kabla sijanyanyua kinywa . Ile clip imenipa funzo kubwa sana inshaalah mdani ya nafsi yako ukiridhia nitashukuru .
Niwapmbe radhi pia wamiliki wa @crownfmtz #Cloudsfm kwa maneno yangu yalio leta taswira tofatuti kwa jamii .inshaalha we learn through the mistake .
============
Mtangazaji mpya ww Crown Media Mwijaku amemuomba radhi Mtangazaji wa Clouds Media Masoud Kipanya kwa kile alichokiongea.
Mwijaku baada ya kuondoka Clouds Media na kuhamia Crown Masoud Kipanya alitoa maoni yake ambayo yalionekana kumkera Mwijaku.
Baada ya Masoud kuongea Mwijaku aliandika ujumbe mbaya mitandaoni kuhusu Masoud Kipanya.
Leo hii akiongea na wana habari ametumia fursa hiyo kumuomba Radhi Maspud Kipanya.
View attachment 3017209
Pia Soma: Mwijaku amwandikia Waraka Mzito Masoud Kipanya, adai anafanya biashara haramu
DCEA hawana ubavu kwa wana mtandao wa Sembe..Hawana ubavu wakumgusa KP kama nikweli yupo kwenye Chanel basi ujue niyawatoto wa mjini haswa.Take it from me. Mwijaku HAJAKURUPUKA. Hata kama atakanusha au kuomba msamaha tayari DCEA chini ya Aretas James Lyimo imepata pa kuanzia
Kama Mwijaku kwa u sensitive wa madawa atakuwa anajua kabla ya hao DCEA kujua basi tuna safari ndefu sana katika hii vita.Take it from me. Mwijaku HAJAKURUPUKA. Hata kama atakanusha au kuomba msamaha tayari DCEA chini ya Aretas James Lyimo imepata pa kuanzia
Kwa hiyo unadhani ukiajiriwa DCEA tu unawatambua wauza ngada? DCEA inategemea taarifa za WHISTLE BLOWERS kama Mwijaku au wewe?Kama Mwijaku kwa u sensitive wa madawa atakuwa anajua kabla ya hao DCEA kujua basi tuna safari ndefu sana katika hii vita.
Hata Shikuba na Lwitiko kabla hawajanyakuliwa na DEA ya USA nao mlikuwa mnasema kuwa ni "UNTOUCHABLE". Lakini ilipofika siku ya siku walinyakuliwa na kwenda kutumikia kifungo US.DCEA hawana ubavu kwa wana mtandao wa Sembe..Hawana ubavu wakumgusa KP kama nikweli yupo kwenye Chanel basi ujue nitawatoto wa mjini haswa.
Sawa mkuuKwa hiyo unadhani ukiajiriwa DCEA tu unawatambua wauza ngada? DCEA inategemea taarifa za WHISTLE BLOWERS kama Mwijaku au wewe?
Kwamba wazee wa DCEA wanategemea info za Mwijaku? AiseeKimsingi hata kama kaomba msamaha lakini tayari amekwisha mfanyia damage. Namshauri Masoud pesa aliyopata kwenye ngada inatosha. Atulie awekeze kwenye vitu vingine. Akipuuza ajuwe kuwa tayari wazee wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana Dawa za Kulevya (DCEA) wanam monitor.
Ukweli ushapita watu washajuaTake it from me. Mwijaku HAJAKURUPUKA. Hata kama atakanusha au kuomba msamaha tayari DCEA chini ya Aretas James Lyimo imepata pa kuanzia
Kabisa..vitu vingine sio vya kuleta JF.
Kwani kuna shida gani? Hivi unamuona Mwijaku ni mjinga hivyo?Kwamba wazee wa DCEA wanategemea info za Mwijaku? Aisee
Musiba alimroga membe ndio ikawa pona yakeMsamaha wa kuita press sio mchezo, maana naamini Masoud sio mwepesi akienda nae kimahakama hata kutaka fidia ya kumchafua Mwijaku hana pesa ya kulipa ana pesa ya uchawa
Musiba aliambiwa alipe billions zile, sijui kama alilipa.
Duh! Aisee!! Hii mayo Kali!! Kweli, Kuishi kwingi ni kusikia na kuona mengi!Musiba alimroga membe ndio ikawa pona yake
Kwamba mzigo alio sukuma mpka sasa unatosha 😄Hata Shikuba na Lwitiko kabla hawajanyakuliwa na DEA ya USA nao mlikuwa mnasema kuwa ni "UNTOUCHABLE". Lakini ilipofika siku ya siku walinyakuliwa na kwenda kutumikia kifungo US.
Mwambieni tu mshikaji aache, inatosha unga aliouuza