Mwijaku: Nikifa nisizikwe mpaka Rais Samia aje kwenye msiba wangu kunizika

Huyu alifaa kuwekwa kizimbani kwa mahojiano zaidi, kwanini amuwazie kifo rais????

Lakini kwa ujinga wa hii serikali, hakuna hatua yoyote itakayochukuliwa.
 
Huko kigoma wanatoka watu gani' ?
Watajijua wenyewe kama Kunatoka aina ya watu kama huyo Mwijaku kitu ambacho siamini wajitathimini kama akili kichwani mwao zimo

Ila nadhani watu kama Mwijaku sio muha original atakuwa chotara huyo kachanganya Kabila ya waha wenye akili na mzazi mwingine atakuwa sio muha anatoka Kabila la wajinga wajinga nadhani mama yake ndio aweza eleza vizuri kama yeye ni muha Kwa upande wa baba na mama au la au aliokotwa barabarani Waka mu adopt baadaye akajiona muha kumbe sio kakulia familia ya waha waliomuokota akiwa kichanga Wakati wazazi wake wanatoka Kabila la wajinga wote wawili

Waha full wasingeandika huo ujinga kaandika
 
Hili linaanza kuwa tatizo viongozi watapewa majukumu yasiyo yao. Kuna watu watakuja kutoa wosia wa hovyo na wataiga hii
 

Akamatwe apimwe akili...
 
Anafanya masihara na maslahi ya kisiasa vs Kifo.
 
Haka ka generation ka akina Mwijaku na Baba levo sijui mwisho itakua lini...
 
Soon ataomba na yeye apigiwe mizinga 21 anadhani ni hisani….
 
Mwenyezi Mungu anamaajabu yake, tuwe nakipimo tunapoongelea mambo yanayohusu utawala wake.
 
Tatizo La Afya Ya Akili Tanzania Ni Kubwa Sana Sana, Chawa Kapatwa Na Nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…