Mwili uliokufa kuweza kurudishiwa uhai ndani ya maabara kubwa

unachozungumza ni mawazo yako tu ,lakini naomba nikwambie kitu kuna mtu alitegemea tutakuja kuwa na ARVs hata siku moja au kuwa na tiba ya magonjwa sugu ?? nobody expected but few knew that before,,simply bcoz it was a long plan ndo mana leo kuna dawa zake,,,,tatizo linakuja pale unapotaka wew ujionee hayo yote ukiwa bado mzima au ukiwa hai,,,,that is whre area of midunderstanding inapokuja,,,,kumbuka hizo ni long plani,,,kuna watu walifariki na maradhi ya kisukari kipindi cha nyuma na walikufa kwa sababu hapakuw ana dawa za kupunguza kisukari na waliamini hakuna tiba yake milele na wamekufa na idea hiyo ya kuamini kuwa kila mtu mwenye kisukari atakufa tu lakini kizazi cha sasa hivi kinashuhudia mengi sana kwenye tiba hiyo lakini bado nakuhakikishia miaka ya 2100 hakutakuwa na kisukari kama unavyofikilia...tupo kwwenye molecular diagnostic stage .....usiweke negation kwenye science,,,hivi ulitegemea leo hii ungeweza kuwasiliana na mtu kupitia simu yako kabsa,,,lakini kizaz kilichokufa miaka ya 1800 kiliamini juu ya mawasiliano ya redio call tu na kilikufa na imani hiyo lakini kizazi cha sasa hivi kinaaimini dunia imeumbwa na simu zake tayri hivo nakuhakikishia hilo litafanikiwa ,,,,,hilo litafanikiwa lakini mimi na wew hatutakuwepo duniani but kizazi cha miaka 2100 kitatoa ushahid
 
Sasa hata kama watafanikiwa naona kwa mwanzoni kutakua na utata sana. Unahifadhiwa leo ukija kufufuliwa miaka 100 au 300 ijayo unajikuta kila kitu kipya, haufahamiani na mtu yeyote, utaanza tena shule kujifunza mambo au utapandikizwa ubongo mpya unaoendana na maendeleo ya wakati huo?

Bado narudia tena, UHAI ndio unaotufanya tuishi, ukitoweka tunakufa. Unapoongelea ufufuo, pata kwanza uelewa wa uhai.
 
modification is the part of creation labda kama ulikuwa hufai...manake kila mtu ana watoto tumboni mwen you make a contact with a woman you allow modification of those cells to new organism that is what we call creation,,means you bring things into existance,,,haijalishi kilikuwepo au hakikuwepo but whatever you introduce new things within the universe itself you have made creation...labda kama sijui kizungu vizuri kutafsiri maana ya creation,,,sijui lakini point of confusion inatoka wapi
 


Hayo yote unayoyasema mengi nakubaliana na wewe. Naomba nikuulize swali rahisi sana. Mtu kuwa hai ni ile cell kuwa hai na damu kuzunguka kwa damu au ni kitu gani? Neno uhai, kwako linamaanisha kitu gani?
 
Kifo ni Sifa ya kiumbe hai na huwezi kuzuia nature to take its place.
 
ni hiv wale jamaa wanachofanya sio kwamba wanahifadhi miili kama walivyotoa kwenye documentary yao..wanachofanya ni kuhifadhi mile miili huku wakiendelea kuhifadhi gene zinazohusika na formation ya mwili wako,,,ule mwili wanapoufreeze wnauweka kiporo ili kuendelea kusturd genes zinazohusika na somatic formation ya mwili wako...mtu unapokufa nafsi hutoweka lakini Cell zako [DNA] hubaki na copy ya mwili wako kwa muda flani kwa hiyo wnachofanya kuufreeze mwili ni mkuzuia cell zisiendelee kuharibika zaidi ili wao wakifanya genetic recopying ya genes zinazohusika na somatic body formation ,,wakimaliza kuzizalisha tayri wanaweza kuruhusu ziproreferate kutengeneza copy ya mwili ule ule wa kwanza hata kama ule mwingine utakuwa umeharibika....kwa hiyo lengo la kufreeze ni kuendelea kucopy DNA sequence ya somatic chromosomes zilibeba somatic genes [genes zinazohusika na formation ya sura na ngozi] ila kuhusu akili itakuwa ishahifadhiwa..soma vizuri kuhusu technolijia inayokuja ya kuapload human knowlege na kumpandikizia mtu mwingine..manake nini miaka ijayo tunaenda kuhamishiana knowlege kama tunavyorushiana nyimbo kwa brututhi,,yani ukimwona mtu katoa wazo flani kama umemwelewa unahamisha kwowlege yake ,wanaita mind apload,,,,these things are strange unaweza usiamini but that is how it is going to happen..sasa kama wataweza kuhamisha mind yako na knowlege huoni sasa kuwa ni rahis kumrudisha mtu in some modification,,think big utaelewa hiyo kitu..it is not sci-fiction but it is going to work
 
hata wew hayo ni mawazo yako na mimi pia nina mawazo yangu mkuu kama wew ungekuwa una document zisizokinzana ningeamini ni fact sababu mwanzo umesema hawa watakuwa wamefanikiwa kuufufua mwili saivi unasema huenda watafanikiwa kuufufua mwili miaka mia mbili ijayo here i'm prooved also you have idea not fact.

maswala ya ukimwi na bacteria hapo ni wanadeal na unicellular organism na huyo mwingine hana cell kabisa hivyo ni rahisi kuwahandle na hapo kudeal na cell moja watu walikaa miaka na miaka kupata solution je kudeal na mwili mzima wa mwanadamu ulio na mabilioni ya cell pia umekufa unafikiri ni rahisi na unalinganisha hii kazi na mtu aliyedeal na kavirus tu

upande wa kisulkari hiyo ni issue ya kucontrol hormone na enzyme basi pia haikuwa kazi ngumu na pia unahabari pia kuna wazee wetu huku walikuwa na dawa za kienyeji za kutibu hicho kisukari na kama utabisha kuna wadau humu humu watajitokeza na kukushuhudia hili kwa maana hiyo bado hoja yako huwezi kulianganisha na kumfufua mtu

yaan hata kumfufua kifaranga wa kuku wa siku moja bado hawana uwezo na wahusika wa hii project wameshakata tamaa na nukuu zao za mwisho mwisho zinaonesha pia hawana hata imani na ile miili iliyohifadhiwa kwenye liquid nitrogen huenda cell zote zimeshaharibika
 
lete source ya hiyo document ulipoitoa hakuna maelezo kama hayo uliyoyatoa kwanza hawa majamaa inaonekana hata gene hawajaiwekea consideration hii experiment wameifanya local na moja kwa moja wanadai kuwa wanataka kuufufua miili waliyohifadhi siku zijazo na sio kucopy gene za miili hiyo kama unapinga hili tubishie kwa kuleta source ya document yako na itoke kwenye chanzo kinachoaminika
 
si bora ingekuwa unafufuka miaka miatatu ijayo hapo piga hesabu unafufuka miaka milioni ijayo na waliokuwa wanakufufua mwanzo unawakuta nao walishakufa wako kwenye process ya kufufuliwa tena hapo ndipo unaweza ukahitaji kujiua upya na kuhisi umehama sayari
 
Kifo ni Sifa ya kiumbe hai na huwezi kuzuia nature to take its place.
ni hiviii,,death is one of the characteristics of living things but siyo guaranted kama unavyofikilia,,,naomba nikurudishe nyuma kidgo kama umesoma mambo ya JOHN DALTON kuhusu postulate zake za sub -atomic particles..alisema kuwa matter is made up by smallest indivisible particles ambazo akaziita atoms ,na aksema pia kuwa huwez tengeneza new atoms ,,yani kwa wakti ule kila mtu aliamini ni kweli lakini bada ya advancement in quatum physics and modern physics wamekuja kugundua kuwa atoms siyo kuwa ni indivisible particle hapana ni divisible particles kwani inaweza kuvunjika zaidi kutoa sub atomic particles zingine ambazo ni electrons ,protons na netrons..kwa hiyo modern physics inaprove wrong juu ya hilo swala ,,,lakini pia kupitia nuclear fission anf fussion we can recreate new atoms,,,yani huoni mkwamba hizo facts za kubase na analysis za zamani zinaenda zinaproviwa failure,,kwa hiyo hata medicine inaenda kuprove wrong point ya death kama characteristic of living things,,unakufa simply because hujajua how to control nature but ask those who had known a bit to control nature uone mambo wanayoyafanya..kama watu wamewez kucontrol weather wanashindwaje kucontrol nature.is weather not a part of nature,,?? uliza chochote nitakujibu kwa facts with evidence but usikate kwa mapokeo
 
Dah! Nimeusoma huu uzi kwa kuihamisha akili yangu yote humu mpaka nikajihisi sipo duniani tena! Nimemaliza tu kusoma hii thd na kuangalia pembeni ndio nikagundua kumbe bado nipo duniani kama servivor vile!!

Thanks kwa uzi murua na wachangiaji wote hasa Francis3 na lifecoded
 
seen kiongozi pamoja
 
mawazo yao yanaendelezwa na kizazi ,,siyo kwamba wanaoanzisha mchakato ndo watafanikiwa but the programme is the continuation ya utafiti huo..kizazi kinachokuja
 
aise no scientific esperiment ambayo haihusishi gene labda nikwambie ukweli....mambo yanafanyika in molecular level ,,,ukiweza kucontrol gene umekontrol life ya cell
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…