TANZIA Mwili wa Ulomi, Mfanyabiashara aliyedaiwa kupotea wakutwa mochwari Mwananyamala

TANZIA Mwili wa Ulomi, Mfanyabiashara aliyedaiwa kupotea wakutwa mochwari Mwananyamala

Mkewe si alienda huko mochwari hakumkuta, wamekaa nae wameona ataoza bora wamtoe. Sisi siyo watoto kutugeuza geuza kwa uongo wenu.
Inawezekana ikawa ajali.....

Inawezekana watu wamepita na upepo uliyopo sahvi na wameutumia..

Inawezekana pia labda mizinguano ya masuala ya pesa pia

Ova
 
Tunapaswa kujiuliza maswali mazito kwa fikra na mepesi kwa kuyasema, huyu Ulomi bila shaka ni matokeo ya kana kula ndani ya wanaofuga kula kulana wao

Chilo chiswanu na mugone ligoya

Ndio hivo tuna mengi ya kuwaza

Pang Fung Mi
 
Mungu amrehemu marehemu. Inauma sana kwandugu jamaa na marafiki. Tujidariji na kujipa moyo pia.inauma sana poleni wafiwa wote.
 
Back
Top Bottom