Kama ipo ipo
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 1,119
- 1,728
Tatizo ni kwamba hii nchi ina waropokaji wengi kiasi kwamba wauaji wananata na beat. Kuna watu wanaropoka mpaka unajiuliza wanajiamini vipi. Hata humu kuna watu huwa wanatoa kauli za vitisho ila kwa sababu kuropoka ishakuwa kawaida. Unakuta mtu kakaa zake Kinzudi anatoa kauli kuwa fulani kajiteka na haulizwi wala hawajibiki kwa ropo ropo zake. Kwa watu kutowajibika kwanza kwa kauli zao watakufa wengi R .I.P Ulomi.