TANZIA Mwili wa Ulomi, Mfanyabiashara aliyedaiwa kupotea wakutwa mochwari Mwananyamala

TANZIA Mwili wa Ulomi, Mfanyabiashara aliyedaiwa kupotea wakutwa mochwari Mwananyamala

Tatizo ni kwamba hii nchi ina waropokaji wengi kiasi kwamba wauaji wananata na beat. Kuna watu wanaropoka mpaka unajiuliza wanajiamini vipi. Hata humu kuna watu huwa wanatoa kauli za vitisho ila kwa sababu kuropoka ishakuwa kawaida. Unakuta mtu kakaa zake Kinzudi anatoa kauli kuwa fulani kajiteka na haulizwi wala hawajibiki kwa ropo ropo zake. Kwa watu kutowajibika kwanza kwa kauli zao watakufa wengi R .I.P Ulomi.
 
Nchi inachekesha sana.
Ukiwa maskini taabu.
Ukiwa mwanasiasa taabu.
Ukiwa mwanaharakati taabu.
Ukiwa shekhe taabu.
Ukiwa mchungaji taabu.
Ukiwa tajiri taabu.
Ukiwa mfanyabiashara taabu.
Ukijiajiri taabu.
Ukiajiriwa taabu.

Ally Mohamed kibao kabla mwili wake haujapoa kaburini Leo Tena OLOMI,hivi tutaushi katika maisha haya mpaka lini ? Nani yupo Nyuma ya mpango huu?
 
Kama ni kweli hivi vikundi vinavyoendesha huu uharamia havihusiki na serikali na serikali imeshindwa kuvishughulikia ili kukomesha hayo mauaji basi ni dhahiri uongozi uliopo madarakani haufai kuendelea kutuongoza.
Nimeshawahi kutoa ushauri humu kwamba uongozi wa polisi ubadilishwe na naendelea kushauri tena ni muda muafaka sasa kubadilisha uongozi wa vyombo vyote vinavyohusika na usalama wa raia maana hali imezidi kuwa mbaya na hatuoni juhudi za dhati kukomesha mauaji yanayoendelea kutokea kila kukicha zaidi ya kauli za kejeli za watawala kwa watu wanaopiga kelele kuhusu hiki kinachoendelea kwamba eti wanaopotea wanajiteka wenyewe!
Uongozi wa polisi sio shida.

Inatakiwa sheria zibadirishwe, na kuwafanya polisi wawe more independent & accountable.

Haiwezekani, Polisi hawezi kukataa order kutoka kwa katibu wa CCM kwa kuhofia kibarua chake. Hii haiwezi kua sawa.
 
Yani upo sahihi kabisa mkuu mi nashangaa wanaoitupia lawama Gavoo, mtu kama umeishi nchi zenye matukio utaelewa mambo ya kisasi unaweza mpiga mtu ukampasua ila kisasi chake akikudaka anakumwagia njugu
Acha kuandika upumbavu wewe taahira na wajinga wenzako , ina maana siku hizi kuna watu wanafanya visasi vya kuua watu na kisha kuwapeleka hospitali au sio ?
Hivi niynyi mbwa mna akili au kinyesi cha paka na funza humo kwenye
Tunawahitaki sana watu wa namna hii kwenye nchi ya kiboya kama hii
Watu wanapotezwana kuuawa kama kuku na majitu yanasheregekea kwa kejeli na dharau na yanaona kawaida ,aiseee hii trend sio poa kabisa ,hii nchi watakuja watu kuanza kutengeneza vigilantees na vikundi vya kujihami na kujibu mapigo kwa kushindana ,hapatakalika ,kmamae yaani haiwezekani kuwe na kundi la Kenge flani wawe ndio wana haki ya kuishi na wengine wawe kama kuku ,kuchinjwa muda wowote ,no way
Huu ni upuuzi mkubwa .
Tutaanza hata kulipiza kisasi kwa kumwagiwa tindikali aisee ,umtendee unyama ndugu yangu na nipate info kwamba wewe ni mhusika au accomplise aiseee naenda nawewe kiulalolalo mamaeee , H2SO4 nahakikisha dumu la lita tano umelioga ,
 
Taarifa za awali wakati wa kupotea kwake zilisema alikuwa anaelekea kufuatilia mizigo yake (Kontena) bandarini, na TRA wakatoa ufafanuzi kuwa wao hawahusiki na kwamba marehemu alikuwa akimtumia wakala mwingine wa forodha (binafsi)

Kwa aina ya biashara zilizoorodheshwa hapa sijaona yoyote inayohusiana na masuala ya kufuatilia mizigo.

Marehemu ana biashara nyingine? Kufuatilia kwake mizigo yake kuna uhusiano wowote na kifo chake?

Maswali ni mengi, apumzike kwa amani.
Mzigo ulikuwa wa vifaa vya ujenzi kwa ajili ya finishing ya nyumba yake.
 
Mimi baada ya Jamiiforums mtandao mwengine naoutumia ni Facebook na huko nachoangalia mimi ni memes tu niki-comment sana utakuta ni “haha” tu sina kingine cha kuandika
😂😂😂😂😂😂😂 dah uko makini sana mkuu
 
Unakwepesha lawama kwa nguvu kubwa sana..

Kazi ya Kulinda Raia na Mali zao ni ya nani?

Mfano tukadhulumiana hapa ukapotea mwili ukutwe mochwari... Will that be okay?

Unajua taratibu za kupeleka mwili mochwari? Au hata mahtuti tu hospitalini?

Aliempeleka Mochwari huyo bwana ni nani? Waliompokea ni kina nani? Maelezo ya awali yalikuwaje mpaka hospital ikakubali kuupokea..

Wacha bla bla mkuu, hili ni letu sote, yakikukuta au kumkuta ndugu yako wa karibu ndio utajua ukwel kwenye hili..
Hakuna sababu yeyote kutoa uhai wa mtu....
Hii naamini ni Jinai,na Jinai haina ukomo!!
 
Akili yangu achana nayo, unaweza jibu Hospital amefkishwa na kina nani?

Au wewe ndio mtekaji ? Maana unahalalisha vitu havina kichwa wala miguu..
Haya maswali yako yote mwenye mamlaka ya kuyajibu ni Mkuu wa Jeshi la polisi,maana hii tayari ni Jinai!!
 
Back
Top Bottom