Mwimbaji maarufu wa Muziki wa Pop nchini Kenya toka Sauti Sol ajitokeza kama Mpenzi wa Jinsia moja

Mwimbaji maarufu wa Muziki wa Pop nchini Kenya toka Sauti Sol ajitokeza kama Mpenzi wa Jinsia moja

Huu ni ulemavu wa kihisia huwa nasema mara nyingi, masimamngo na manyanyaso yote wanayokutana nayo lakini wamo tu.

Wewe jiulize kidume ukainamishwe kweli inaingia akilini? Ni aibu na dhihaka kubwa ile wengine hiyo aibu haoni wala dhihaka.

Huwa nawaonea huruma sana hao watu, na ukiwachunguza kwa makini wana msongo mkubwa sana wa mawazo sababu huwa hujiona tofauti.

Kwa wale wakristo

Yohana 8:7

Nao walipozidi kumhoji, alijiinua, akawaambia, Yeye asiye na dhambi miongoni mwenu na awe wa kwanza wa kumtupia jiwe.
 
Back
Top Bottom