Mwimbaji maarufu wa Muziki wa Pop nchini Kenya toka Sauti Sol ajitokeza kama Mpenzi wa Jinsia moja

Tunaenda wapi wajameni naomba mnisaidie.Wakijitangaza wanalipwa au inakuwaje? Nini hatima ya kundi la vijana wa kiume na familia kama Taasisi kongwe?
 
Mwanaume anaonekana mbavu ndevu zimemjaa usoni lakini anathubutu kutoka hadharani tena kwenye media kukiri kwamba anausikilizia mpini [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]!!!

Siyo poa kabisa yani wanatudhalilisha sana wanaume hawa watu so called mashoga!sijui haya maji yana chemical gani maana mtu anaondokewa na ule ufahamu hata wa mambo ya kawaida kabisa.
 
Usilete ujuaji mwingi kumbe mtu mwenyewe ni empty box...Yaani mtu kwa starehe na amani zake mwenyewe alafu unaumia wewe
 
Back
Top Bottom