Mwisho wa Kariakoo huu hapa: Serikali yapitisha gulio la Wachina Kurasini

Tanzania ya viwanda iliishia wapi?
 
Wa Kurasini wataenda na kariakoo wataenda Kariakoo hakuwezi kuisha watu.Nyie mnatupiga mnaenda China kitu cha sh 3500 kule ukija huku unauza mpaka 100.000/= bora waje wachayna wenyewe
Kweli aisee , Serikali iharakishe taratibu za kuwapa wachina wajenge.

Hawa wapuuzi cadet wananunua buku 3 china wanauza 25,000 bongo pumbavu sana
 
Kipi hakina faida? Walanguzi wa Tanzania na hao wanaotaka kuuza bidhaa Kwa bei cheap kama Dubai nani ni mshenzi hapo?
 
Na pia serekali itakusanya mabilion ya shs, imagine suruali moja ambayo huuzwa 10,000, itakapokuwa inauzwa 5000/-na serekali kukusanya Kodi 3000/-,unadhani serekali itakusanya kiasi gani?
Ni kweli,Ila upande wa kulipa Kodi mchina nae hajambo kwa kukwepa. Maana hata sasa wale wachina wa kkoo bado wanakwepa Sana Kodi.
 
Ulinde raia matapeli Kwa maslahi ya nani? Kwani wachina wanakuja Bure? Wataingiza pesa nyingi kuliko viduka vyenu hivyo,tafuteni kazi za kufanya mapema
 
Kuwe na level playing field. Nimesoma hapo kuwa hawa watauza halafu ndio walipe kodi. Wakati wa kariiakoo analipa kodi kabla Huoni kuna issue hapo?
Nani kakuambia na efd zipo? Nyie mnafanyiwa hivyo Kwa sababu hata efd hamtaki kutumia.Mtanzania gani wa kutetea nyie matapeli?
 
Rais atengue uteuzi wa Mwigulu japo ni mshikaji wake, ataliangamiza taifa kwa kiburi chake na ubinafsi uliopitiliza
Mwigulu ndio Waziri wa Viwanda na Biashara siku hizi? Mbona mnaropoka sana? Kwanza Jiji la Dar watafaidika sana
 
Wakienda Kurasini wakauzia Kariakooo Kuna shida? Wanachotaka hao matapeli na madalali ni.kuendelea kutulipua bei kubwa za bidhaa tofauti na uhalisia.

Pili kampuni nyingi za kusafirisha mizigo ndio Wana hofu
 
Kichwa kipi ulikuwa unamshauri atumie mwigulu !? Maana vyote vinafikiria
 
Sasa ka mall kama hako ndio kaue Kariakooo?
 
Nchi nyingi zipo hivyo, inakua free port, ili wageni wanunuebila kodi biashara itàkua kubwa
 
Unawapangia miaka 10 ijayo wakati hata kesho yao hawaijui. Jifunze kwe yule mwehu aliyetaka kubadilisha katiba ili awe rais wa maisha sasa hivi anasumbuana na mashetani wenziwe huko jehanum
Kwani wewe unapopanga mipango Yako ya mwezi wiki miaka Huwa unalijua.kesho.yako? Au unaishi kama kuku?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…