KingCobra95
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 3,249
- 5,863
Yani aisafishe nchi iliochafuliwa na ccm kwa kutumia wanaccm ,,😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe Nyankurungu2020 ina maana ulikuwa unaishi nje ya Tanzania? Mauaji ya Ben Saanane na Azory Gwanda unadhani ni nani alifanya?Huu upuuzi wako utakusaidia nini wewe pimbi? Ingia mitaani ueleze huu upuuzi wako uone
Mzee Sirro nakuombea sana sana mzee wangu.. Ukiweza TENGENEZAKuanzia mwishoni mwa 2015 hadi Machi 17 2021, Tanzania ilipitishwa katika tanuru la mateso makubwa. Tuliona demokrasia ikikandamizwa, uhuru wa maoni ukibanwa, Mahakama ikitishiwa na Bunge likiendeshwa kwa rimoti ya Magufuli. Aidha tulishuhudia wafanyabiashara wakinyang'anywa fedha zao na kutupwa rumande, watu waliuliwa na kutupwa baharini wakiwa kwenye viroba.
Vile vile mbunge Lissu kushambuliwa akiwa kwenye kikao cha bunge. Rais kumiliki kikundi cha WASIOJULIKANA ambacho ndiyo kulikuwa kinatekeleza uovu huo.
Mambo ya DHULUMA yaliyofanywa na Magu na washirika wake ni mengi sana.
Binafsi kufa kwa Magufuli mwaka Jana mwezi Machi na kujiuuzulu kwa Spika NDUGA Januari 2022 nakuona ni kama UTAKASO wa Bwana Mungu kwa Taifa letu ambalo lilikuwa LIMENAJISIWA na hawa watu
1. Ben SaananeWewe bwege na fedhuli hebu weka picha na majina ya ndugu zako waliouliwa.
Wakwepa kodi kukdhibitiwa ilikuwa kosa? Huna akili umebaki kuendekeza chuki tu
Mama yako kwani yeye ana nini?******ko labda uliteseka wewe
Duh sasa mwenzetu unashikiri vikao vya mbinguni? Nani amehakikishiwa yaliyo nbele yake? Huwezi kujua hata wanaotakasa wenzao na wao wanaweza kujikuta wanatakaswa...na wanaoshangilia nao wakatakaswa...Kuanzia mwishoni mwa 2015 hadi Machi 17 2021, Tanzania ilipitishwa katika tanuru la mateso makubwa. Tuliona demokrasia ikikandamizwa, uhuru wa maoni ukibanwa, Mahakama ikitishiwa na Bunge likiendeshwa kwa rimoti ya Magufuli. Aidha tulishuhudia wafanyabiashara wakinyang'anywa fedha zao na kutupwa rumande, watu waliuliwa na kutupwa baharini wakiwa kwenye viroba.
Vile vile mbunge Lissu kushambuliwa akiwa kwenye kikao cha bunge. Rais kumiliki kikundi cha WASIOJULIKANA ambacho ndiyo kulikuwa kinatekeleza uovu huo.
Mambo ya DHULUMA yaliyofanywa na Magu na washirika wake ni mengi sana.
Binafsi kufa kwa Magufuli mwaka Jana mwezi Machi na kujiuuzulu kwa Spika NDUGA Januari 2022 nakuona ni kama UTAKASO wa Bwana Mungu kwa Taifa letu ambalo lilikuwa LIMENAJISIWA na hawa watu
Kuna mashetani bado yamebaki, namely Simon Sirro, Tulia Ackson na Ibrahim JumaKuanzia mwishoni mwa 2015 hadi Machi 17 2021, Tanzania ilipitishwa katika tanuru la mateso makubwa. Tuliona demokrasia ikikandamizwa, uhuru wa maoni ukibanwa, Mahakama ikitishiwa na Bunge likiendeshwa kwa rimoti ya Magufuli. Aidha tulishuhudia wafanyabiashara wakinyang'anywa fedha zao na kutupwa rumande, watu waliuliwa na kutupwa baharini wakiwa kwenye viroba.
Vile vile mbunge Lissu kushambuliwa akiwa kwenye kikao cha bunge. Rais kumiliki kikundi cha WASIOJULIKANA ambacho ndiyo kulikuwa kinatekeleza uovu huo.
Mambo ya DHULUMA yaliyofanywa na Magu na washirika wake ni mengi sana.
Binafsi kufa kwa Magufuli mwaka Jana mwezi Machi na kujiuuzulu kwa Spika NDUGA Januari 2022 nakuona ni kama UTAKASO wa Bwana Mungu kwa Taifa letu ambalo lilikuwa LIMENAJISIWA na hawa watu
Hata Samia nisehemu ya mihimili ya uharifu wa Magufuli. Alijua kila kituKuanzia mwishoni mwa 2015 hadi Machi 17 2021, Tanzania ilipitishwa katika tanuru la mateso makubwa. Tuliona demokrasia ikikandamizwa, uhuru wa maoni ukibanwa, Mahakama ikitishiwa na Bunge likiendeshwa kwa rimoti ya Magufuli. Aidha tulishuhudia wafanyabiashara wakinyang'anywa fedha zao na kutupwa rumande, watu waliuliwa na kutupwa baharini wakiwa kwenye viroba.
Vile vile mbunge Lissu kushambuliwa akiwa kwenye kikao cha bunge. Rais kumiliki kikundi cha WASIOJULIKANA ambacho ndiyo kulikuwa kinatekeleza uovu huo.
Mambo ya DHULUMA yaliyofanywa na Magu na washirika wake ni mengi sana.
Binafsi kufa kwa Magufuli mwaka Jana mwezi Machi na kujiuuzulu kwa Spika NDUGA Januari 2022 nakuona ni kama UTAKASO wa Bwana Mungu kwa Taifa letu ambalo lilikuwa LIMENAJISIWA na hawa watu
UTUKUFU KWA MUNGU JUUKuanzia mwishoni mwa 2015 hadi Machi 17 2021, Tanzania ilipitishwa katika tanuru la mateso makubwa. Tuliona demokrasia ikikandamizwa, uhuru wa maoni ukibanwa, Mahakama ikitishiwa na Bunge likiendeshwa kwa rimoti ya Magufuli. Aidha tulishuhudia wafanyabiashara wakinyang'anywa fedha zao na kutupwa rumande, watu waliuliwa na kutupwa baharini wakiwa kwenye viroba.
Vile vile mbunge Lissu kushambuliwa akiwa kwenye kikao cha bunge. Rais kumiliki kikundi cha WASIOJULIKANA ambacho ndiyo kulikuwa kinatekeleza uovu huo.
Mambo ya DHULUMA yaliyofanywa na Magu na washirika wake ni mengi sana.
Binafsi kufa kwa Magufuli mwaka Jana mwezi Machi na kujiuuzulu kwa Spika NDUGA Januari 2022 nakuona ni kama UTAKASO wa Bwana Mungu kwa Taifa letu ambalo lilikuwa LIMENAJISIWA na hawa watu
Umekasirika kweli mkuu,hii ni hatariWatu walilia na kuomba sana. Nakumbuka Askofu Mwamakula siku za mwisho mwisho za kampeni akiomba kwenye jukwaa wezi wa kura wapate adhabu kali. Na kweli kiongozi wao, Lucifer mkuu, alipata adhabu ya kunyongwa. Na akanyongwa hadi kufa 17 Machi 2021.
Watesaji walikufa wameporomoka na watakufa na mimi nasema WAFE TU! Unaongea kishujaa kisa una mamlaka. Narudia kusema WAFE TU!Wewe bwege na fedhuli hebu weka picha na majina ya ndugu zako waliouliwa.
Wakwepa kodi kukdhibitiwa ilikuwa kosa? Huna akili umebaki kuendekeza chuki tu
Umekasirika kweli mkuu,hii ni hatari
Kwa unafiki na chuki uliyonayo hata Lissu akichukua nchi utamnanga tu1. Ben Saanane
2. Azory Gwanda
3. Lwajabe
4. Diwani wa CDM Hananasif
5. Akwilina
6. Diwani wa Ifakara
7. Wananchi 300 wa MKIRU
8. Kutekwa kwa Roma Mkatoliki
9. Kutekwa kwa MoDewji
10. Kutekwa kwa Masoud Kipanya
11. Kushambuliwa kwa Zakaria Trans Tarime
12. Kushambuliwa kwa Tundu Lissu
Mungu ni wa ajabu, Tundu Lissu yuko hai lakini Magufuli amekuwa chakula cha minyoo huko Chato
Mkwepa kodi ndio anapaswa kuwa kwenye viroba?Wewe bwege na fedhuli hebu weka picha na majina ya ndugu zako waliouliwa.
Wakwepa kodi kukdhibitiwa ilikuwa kosa? Huna akili umebaki kuendekeza chuki tu
Karma na udhulumati hautakaa umwache mtu, kuondoka kwa yule mtesaji mkuu wa watu, Mungu ameliponya Taifa letu,Duh sasa mwenzetu unashikiri vikao vya mbinguni? Nani amehakikishiwa yaliyo nbele yake? Huwezi kujua hata wanaotakasa wenzao na wao wanaweza kujikuta wanatakaswa...na wanaoshangilia nao wakatakaswa...
Nasema na wakipate tu sawa sawa na matendo yao, Mungu na aendelea kuwatendea sawa sawa na uovu wao!!!Watesaji walikufa wameporomoka na watakufa na mimi nasema WAFE TU! Unaongea kishujaa kisa una mamlaka. Narudia kusema WAFE TU!
Wewe bwege na fedhuli hebu weka picha na majina ya ndugu zako waliouliwa.
Wakwepa kodi kukdhibitiwa ilikuwa kosa? Huna akili umebaki kuendekeza chuki tu