Mwisho wa Magufuli na Ndugai: Mungu anaisafisha Tanzania

Mwisho wa Magufuli na Ndugai: Mungu anaisafisha Tanzania

Wewe bwege na fedhuli hebu weka picha na majina ya ndugu zako waliouliwa.

Wakwepa kodi kukdhibitiwa ilikuwa kosa? Huna akili umebaki kuendekeza chuki tu

Acha kupanick, kundi lenu la watu wasiojulikana litakaa wazi tu. Mtajua Mungu hataniwi. Sidhani kama mlijaanda Magu kufariki,na haya yaliyomkuta Ndugai sasa. Mlifanya unyama wa wazi na tumesema sana. Haya yanatokea lazima yataing'oa hadi ccm na unyama wenu wote utakaa hadharani. Soma alama za nyakati.
 
Sounds like stupidity.
 
Hata Samia nisehemu ya mihimili ya uharifu wa Magufuli. Alijua kila kitu
Angefanyaje kwenye makucha ya yule Dikteta? Hujawahi kusikia kuwa alitaka kujiuzuru Mara 2
 
Duh sasa mwenzetu unashikiri vikao vya mbinguni? Nani amehakikishiwa yaliyo nbele yake? Huwezi kujua hata wanaotakasa wenzao na wao wanaweza kujikuta wanatakaswa...na wanaoshangilia nao wakatakaswa...
Tulia Mzee Mwanakijiji mwache Mungu asafishe hii laana ya Sukuma Gang. Hawa walifanya state capture mpaka wakawa wanajijengea Airport vijijini kwao na kukatisha haki za kuishi za watanzania wengine.

Hata kama sishiriki vikao vya Mungu mbinguni, lakini matendo ya Mungu SI unayaona??
 
Wewe Idugunde ni member kabisa wa Sukuma Gang. Kama wewe siyo Paul Makonda basi ni Bashiru Ally au Polepole.

Hakuna mtu atakwepa kunywa kikombe chenu cha UFEDHULI
Acha kuwa mtu unayeishi kwa hearsay na hisia.
 
Acha kuwa mtu unayeishi kwa hearsay na hisia.

Vumilia tu waovu wote mtafikiwa ndio utajua nguvu ya Mungu. Sidhani kama Ndugai ungemwambia haya yangemkuta akiwa madarakani kipindi wamelewa madaraka na Magufuli kama angekuelewa. Aliagiza CAG avuliwe viatu ili kumdhalilisha kwa ajili ya kumfurahisha Magu. Nakumbuka alikuwa anawaambia wapinzani kwa kejeli na dharau kubwa siku za mwisho kabla ya uchafuzi mkuu wa 2020 kuwa waage kabisa maana hawatarudi, kwani walishapanga wanajisi uchaguzi.

Maombi yetu yanazidi kufanya kazi, mmoja yuko kuzimu, huyu Andunje amebadilikiwa na wanaccm wenzake. Kweli Mungu ni fundi
 
Acha kuwa mtu unayeishi kwa hearsay na hisia.
Wasamehe Mkuuu, ukiona mtu yeyote anafurahia anguko la mwenzake au kuharibikiwa mwenzake jua kuwa huyo anasumbuliwa na Ufukara na UCHAWI na kama siyo mchawi basi amekosa vitendea kazi kaa naye mbali ni shetani. Vitabu Vitakatifu vimeatuasa kutakiana heri, kusameheana na Amri kuu iwe Upendo baina yetu!
 
Wewe bwege na fedhuli hebu weka picha na majina ya ndugu zako waliouliwa.

Wakwepa kodi kukdhibitiwa ilikuwa kosa? Huna akili umebaki kuendekeza chuki tu
Anzory Gwanda
Ben Sanane.
Akwilin
Alphonso mawazo
Mauji ya MKIRU
 
Acha kupanick, kundi lenu la watu wasiojulikana litakaa wazi tu. Mtajua Mungu hataniwi. Sidhani kama mlijaanda Magu kufariki,na haya yaliyomkuta Ndugai sasa. Mlifanya unyama wa wazi na tumesema sana. Haya yanatokea lazima yataing'oa hadi ccm na unyama wenu wote utakaa hadharani. Soma alama za nyakati.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndugai kimemkuta kipi?

Kukosa kiti cha uspika?

Hiyo ndio adhabu mnayosema?

Mnachekesha
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndugai kimemkuta kipi?

Kukosa kiti cha uspika?

Hiyo ndio adhabu mnayosema?

Mnachekesha
Kwani unaona hiyo adhabu ni ndogo? Mtu ambaye wakati Magufuli anakufa, inner circle ya Mwendazake ilikuwa ina conspire kuwa Samia asipewe kama Katiba inavyotaka Rais akifa. Instead aseme siwezi halafu Ndugai kama Spika ndiyo achukue kwa kipindi cha transition.

Mungu anawadhalilisha taratibu, kaanza na Magufuli kumpeleka jehanam. Na Ndugai kubakia mbunge kama Halima Mdee. Daaaadddddadekii
 
Mungu sio mjinga aisafishe Tanzania kwa kuiacha CCM madarakani. Mungu huwa haifanyi kazi yake nusu, kazi yake ni timilifu, kama vile alivyowakomboa wana wa Israel toka utumwani.
Mungu ana njia nyingi sana za kufikia kile alichokikusudia sio lazima atumie njia hiyo unayoijua wewe!!!hata kama ameamua kuiondoa ccm madarakani hawezi akafanya kesho mkute mi Ccm yote ni machizi!!au yamekufa!!!
 
Vipi wewe ishu yako vyeti au mumeo alibebwa na wasiojulikana
 
Wewe bwege na fedhuli hebu weka picha na majina ya ndugu zako waliouliwa.

Wakwepa kodi kukdhibitiwa ilikuwa kosa? Huna akili umebaki kuendekeza chuki tu
Ila marehemu alkuwa anawapenda sana Bashite na Sabaya. Over
 
Duh sasa mwenzetu unashikiri vikao vya mbinguni? Nani amehakikishiwa yaliyo nbele yake? Huwezi kujua hata wanaotakasa wenzao na wao wanaweza kujikuta wanatakaswa...na wanaoshangilia nao wakatakaswa...
Hilo siyo shida mimi kufa nitakufa ikifika siku yangu lakini Sina roho zinazonidai kama Magufuli. Imagine jamaa limeiba uchaguzi white wa Serikali za Mitaa na uchaguzi Mkuu white wa 2020. Na alitaka Bunge aliloweka wabunge wake limfanye Rais wa maisha.

Halafu Mungu akamuangalia akamnuakua akiwa na siku 114 toka akiwa ameiba uchaguzi Mkuu wa October 2020
 
Wewe Nyankurungu2020 ina maana ulikuwa unaishi nje ya Tanzania? Mauaji ya Ben Saanane na Azory Gwanda unadhani ni nani alifanya?

Unajitoa akili kwamba hujui kuwa Magufuli ndiye aliyeagiza Tundu Lissu auliwe na kikosi cha WASIOJULIKANA cha Makonda?

Mnaumbuka mmoja mmoja, bado zamu yako Sukuma Gang asiye na akili
Kwani kuna mwenye akili kwenye hilo gang?
 
Back
Top Bottom