CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Kwa kweli watanzania tunaishukuru sana corona kumfyekelea mbali yule mwovu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini?Kwa jinsi hali ya nchi ilivyo sasa ndio maana binafsi huwa sipendi kumuhusisha Mungu na hizi siasa za Tanzania.
MMOJA wa Washiriki WAKUBWA wa Ndugai na Magufuli KAPEWA CHEO CCMKuanzia mwishoni mwa 2015 hadi Machi 17 2021, Tanzania ilipitishwa katika tanuru la mateso makubwa. Tuliona demokrasia ikikandamizwa, uhuru wa maoni ukibanwa, Mahakama ikitishiwa na Bunge likiendeshwa kwa rimoti ya Magufuli. Aidha tulishuhudia wafanyabiashara wakinyang'anywa fedha zao na kutupwa rumande, watu waliuliwa na kutupwa baharini wakiwa kwenye viroba.
Vile vile mbunge Lissu kushambuliwa akiwa kwenye kikao cha bunge. Rais kumiliki kikundi cha WASIOJULIKANA ambacho ndiyo kulikuwa kinatekeleza uovu huo.
Mambo ya DHULUMA yaliyofanywa na Magu na washirika wake ni mengi sana.
Binafsi kufa kwa Magufuli mwaka Jana mwezi Machi na kujiuuzulu kwa Spika NDUGA Januari 2022 nakuona ni kama UTAKASO wa Bwana Mungu kwa Taifa letu ambalo lilikuwa LIMENAJISIWA na hawa watu