Pole. Sisi wengine ambao Ni watanzania mimi Wake zangu 50, mbuzi zangu 10,230 , watoto Wangu 54, wajukuu wangu 6. tuliumia sana kuitwa na Mungu JPM. Tunashukuru. Mungu kwa uwepo wa mama, chaguo la JPM. Tunajua naye Ana namna zake na as Long as nafuga mbuzi Wangu Sina Shida.
Kwangu mimi Hakuna matusi ambayo hayajatamkwa katika kipindi Hiko. That’s not my concern.
Kwangu mimi hiko Ni kipindi ambacho nimeona huduma za msingi ambazo Mwananchi anahitaji ofisi za Serikali zikitolewa bila ubaguzi. Nimeshuhudia kwa mauvmivu ya ukweli mke Wangu wa 47 akifukuzwa kazi kwa cheti fake. Nilikuwa najua Lakini Kwanini tujihukumu wenyewe kwa vitu ambavyo majority walikuwa wanatumia.
Watu kama wewe jitahidi sana kujisemea mwenyewe. Kuna watu wengi bado wanamlilia JPM. For me hao Pia Ni wao na Ni haki yao. Wewe toa tu ushuhuda wako kama Kuna wasiojulikana walikufanya kitu mbaya. Hao wapo inategemea na historia yako. Ngoja niende KIBITI kwenye mnara wa kumbukumbu ya mauaji ya watu na viongozi katika mikono ya magaidi wakishangiliwa na watu kama nyie.