Mwisho wa Magufuli na Ndugai: Mungu anaisafisha Tanzania

Huu upuuzi wako utakusaidia nini wewe pimbi? Ingia mitaani ueleze huu upuuzi wako uone
Wewe Nyankurungu2020 ina maana ulikuwa unaishi nje ya Tanzania? Mauaji ya Ben Saanane na Azory Gwanda unadhani ni nani alifanya?

Unajitoa akili kwamba hujui kuwa Magufuli ndiye aliyeagiza Tundu Lissu auliwe na kikosi cha WASIOJULIKANA cha Makonda?

Mnaumbuka mmoja mmoja, bado zamu yako Sukuma Gang asiye na akili
 
Mzee Sirro nakuombea sana sana mzee wangu.. Ukiweza TENGENEZA
 
Wewe bwege na fedhuli hebu weka picha na majina ya ndugu zako waliouliwa.

Wakwepa kodi kukdhibitiwa ilikuwa kosa? Huna akili umebaki kuendekeza chuki tu
1. Ben Saanane
2. Azory Gwanda
3. Lwajabe
4. Diwani wa CDM Hananasif
5. Akwilina
6. Diwani wa Ifakara
7. Wananchi 300 wa MKIRU
8. Kutekwa kwa Roma Mkatoliki
9. Kutekwa kwa MoDewji
10. Kutekwa kwa Masoud Kipanya
11. Kushambuliwa kwa Zakaria Trans Tarime
12. Kushambuliwa kwa Tundu Lissu

Mungu ni wa ajabu, Tundu Lissu yuko hai lakini Magufuli amekuwa chakula cha minyoo huko Chato
 
Duh sasa mwenzetu unashikiri vikao vya mbinguni? Nani amehakikishiwa yaliyo nbele yake? Huwezi kujua hata wanaotakasa wenzao na wao wanaweza kujikuta wanatakaswa...na wanaoshangilia nao wakatakaswa...
 
Kuna mashetani bado yamebaki, namely Simon Sirro, Tulia Ackson na Ibrahim Juma
 
Hata Samia nisehemu ya mihimili ya uharifu wa Magufuli. Alijua kila kitu
 
UTUKUFU KWA MUNGU JUU
 
Watu walilia na kuomba sana. Nakumbuka Askofu Mwamakula siku za mwisho mwisho za kampeni akiomba kwenye jukwaa wezi wa kura wapate adhabu kali. Na kweli kiongozi wao, Lucifer mkuu, alipata adhabu ya kunyongwa. Na akanyongwa hadi kufa 17 Machi 2021.
Umekasirika kweli mkuu,hii ni hatari
 
Wewe bwege na fedhuli hebu weka picha na majina ya ndugu zako waliouliwa.

Wakwepa kodi kukdhibitiwa ilikuwa kosa? Huna akili umebaki kuendekeza chuki tu
Watesaji walikufa wameporomoka na watakufa na mimi nasema WAFE TU! Unaongea kishujaa kisa una mamlaka. Narudia kusema WAFE TU!
 
Kwa unafiki na chuki uliyonayo hata Lissu akichukua nchi utamnanga tu
 
Duh sasa mwenzetu unashikiri vikao vya mbinguni? Nani amehakikishiwa yaliyo nbele yake? Huwezi kujua hata wanaotakasa wenzao na wao wanaweza kujikuta wanatakaswa...na wanaoshangilia nao wakatakaswa...
Karma na udhulumati hautakaa umwache mtu, kuondoka kwa yule mtesaji mkuu wa watu, Mungu ameliponya Taifa letu,

Na bado karma itaendelea kuwafuatilia washirika wake wote wa uovu,

Ogopa sana vilio na machozi ya watu!!
 
Watesaji walikufa wameporomoka na watakufa na mimi nasema WAFE TU! Unaongea kishujaa kisa una mamlaka. Narudia kusema WAFE TU!
Nasema na wakipate tu sawa sawa na matendo yao, Mungu na aendelea kuwatendea sawa sawa na uovu wao!!!
 
Tulia wewe watu tunavuta pop corm kushuhudia manzi ya kijani yanajaufa, manzi yanachambana, manzi yanajiuzuru kama na wewe ni linzi la kijani jiandae kudondoka Chama Cha Manzi kimumana kmmke
Wewe bwege na fedhuli hebu weka picha na majina ya ndugu zako waliouliwa.

Wakwepa kodi kukdhibitiwa ilikuwa kosa? Huna akili umebaki kuendekeza chuki tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…