Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Watu wote tuseme AMENBinafsi kufa kwa Magufuli mwaka Jana mwezi Machi na kujiuuzulu kwa Spika NDUGA Januari 2022 nakuona ni kama UTAKASO wa Bwana Mungu kwa Taifa letu ambalo lilikuwa LIMENAJISIWA na hawa watu
Kuanzia mwishoni mwa 2015 hadi Machi 17 2021, Tanzania ilipitishwa katika tanuru la mateso makubwa. Tuliona demokrasia ikikandamizwa, uhuru wa maoni ukibanwa, Mahakama ikitishiwa na Bunge likiendeshwa kwa rimoti ya Magufuli. Aidha tulishuhudia wafanyabiashara wakinyang'anywa fedha zao na kutupwa rumande, watu waliuliwa na kutupwa baharini wakiwa kwenye viroba.
Vile vile mbunge Lissu kushambuliwa akiwa kwenye kikao cha bunge. Rais kumiliki kikundi cha WASIOJULIKANA ambacho ndiyo kulikuwa kinatekeleza uovu huo.
Mambo ya DHULUMA yaliyofanywa na Magu na washirika wake ni mengi sana.
Binafsi kufa kwa Magufuli mwaka Jana mwezi Machi na kujiuuzulu kwa Spika NDUGA Januari 2022 nakuona ni kama UTAKASO wa Bwana Mungu kwa Taifa letu ambalo lilikuwa LIMENAJISIWA na hawa watu
Wewe utakuwa mmoja wa wale so called Wanyonge (Masikini wa akili na mali). Lakini kwa mtu timamu na anayejitafutia kipato chake huku ana lengo la kukuza uchumi wake hawezi kukubaliana na sera za Jiwe za kufanya matajiri waishi kama mashetani, mambo ya kupora pesa za matajiri na kuwafunga jera ni mambo yasiyokubalika kabisa kwa jamii ya wastarabu. Kuwaua wanaokukosoa na kusema uongo ni mambo ya kipuuzi sana na ndiyo maana Mama anapata tabu sana kwakuwa anasema ukweli na ni muwazi, so hilo nyie wanyonge mnaanza kupiga kelele kuwa mbona Jiwe aliweza bila tozo wala kukopa. Huku mlikuwa hamjui kuwa jamaa alikuwa anapora matajiri na kukopa kwa siri.Pole. Sisi wengine ambao Ni watanzania mimi Wake zangu 50, mbuzi zangu 10,230 , watoto Wangu 54, wajukuu wangu 6. tuliumia sana kuitwa na Mungu JPM. Tunashukuru. Mungu kwa uwepo wa mama, chaguo la JPM. Tunajua naye Ana namna zake na as Long as nafuga mbuzi Wangu Sina Shida.
Kwangu mimi Hakuna matusi ambayo hayajatamkwa katika kipindi Hiko. That’s not my concern.
Kwangu mimi hiko Ni kipindi ambacho nimeona huduma za msingi ambazo Mwananchi anahitaji ofisi za Serikali zikitolewa bila ubaguzi. Nimeshuhudia kwa mauvmivu ya ukweli mke Wangu wa 47 akifukuzwa kazi kwa cheti fake. Nilikuwa najua Lakini Kwanini tujihukumu wenyewe kwa vitu ambavyo majority walikuwa wanatumia.
Watu kama wewe jitahidi sana kujisemea mwenyewe. Kuna watu wengi bado wanamlilia JPM. For me hao Pia Ni wao na Ni haki yao. Wewe toa tu ushuhuda wako kama Kuna wasiojulikana walikufanya kitu mbaya. Hao wapo inategemea na historia yako. Ngoja niende KIBITI kwenye mnara wa kumbukumbu ya mauaji ya watu na viongozi katika mikono ya magaidi wakishangiliwa na watu kama nyie.
Mh, Kuna maneno makali humu hadi mtu unaogopaWatu walilia na kuomba sana. Nakumbuka Askofu Mwamakula siku za mwisho mwisho za kampeni akiomba kwenye jukwaa kuwa wezi wa kura wapate adhabu kali. Na kweli kiongozi wao, Lucifer mkuu, alipata adhabu ya kunyongwa. Na akanyongwa hadi kufa 17 Machi 2021.
Mh, Kuna maneno makali humu hadi mtu unaogopa
Ndiyo hivyo tena, hasira ya Mungu ni mbaya kwa WANAOKENGEUKA, ndiyo maana pamoja na kuiba uchaguzi wote wa Oktoba 2020, Mungu alimnyakua ndani ya siku 114 tu. Rot in Hell MagufuliPole. Sisi wengine ambao Ni watanzania mimi Wake zangu 50, mbuzi zangu 10,230 , watoto Wangu 54, wajukuu wangu 6. tuliumia sana kuitwa na Mungu JPM. Tunashukuru. Mungu kwa uwepo wa mama, chaguo la JPM. Tunajua naye Ana namna zake na as Long as nafuga mbuzi Wangu Sina Shida.
Kwangu mimi Hakuna matusi ambayo hayajatamkwa katika kipindi Hiko. That’s not my concern.
Kwangu mimi hiko Ni kipindi ambacho nimeona huduma za msingi ambazo Mwananchi anahitaji ofisi za Serikali zikitolewa bila ubaguzi. Nimeshuhudia kwa mauvmivu ya ukweli mke Wangu wa 47 akifukuzwa kazi kwa cheti fake. Nilikuwa najua Lakini Kwanini tujihukumu wenyewe kwa vitu ambavyo majority walikuwa wanatumia.
Watu kama wewe jitahidi sana kujisemea mwenyewe. Kuna watu wengi bado wanamlilia JPM. For me hao Pia Ni wao na Ni haki yao. Wewe toa tu ushuhuda wako kama Kuna wasiojulikana walikufanya kitu mbaya. Hao wapo inategemea na historia yako. Ngoja niende KIBITI kwenye mnara wa kumbukumbu ya mauaji ya watu na viongozi katika mikono ya magaidi wakishangiliwa na watu kama nyie.
Wenzako wameteuliwa huko mke wa gaidi umeachwa unatapatapa tuNdiyo hivyo tena, hasira ya Mungu ni mbaya kwa WANAOKENGEUKA, ndiyo maana pamoja na kuiba uchaguzi wote wa Oktoba 2020, Mungu alimnyakua ndani ya siku 114 tu. Rot in Hell Magufuli
Kuanzia mwishoni mwa 2015 hadi Machi 17 2021, Tanzania ilipitishwa katika tanuru la mateso makubwa. Tuliona demokrasia ikikandamizwa, uhuru wa maoni ukibanwa, Mahakama ikitishiwa na Bunge likiendeshwa kwa rimoti ya Magufuli. Aidha tulishuhudia wafanyabiashara wakinyang'anywa fedha zao na kutupwa rumande, watu waliuliwa na kutupwa baharini wakiwa kwenye viroba.
Vile vile mbunge Lissu kushambuliwa akiwa kwenye kikao cha bunge. Rais kumiliki kikundi cha WASIOJULIKANA ambacho ndiyo kulikuwa kinatekeleza uovu huo.
Mambo ya DHULUMA yaliyofanywa na Magu na washirika wake ni mengi sana.
Binafsi kufa kwa Magufuli mwaka Jana mwezi Machi na kujiuuzulu kwa Spika NDUGA Januari 2022 nakuona ni kama UTAKASO wa Bwana Mungu kwa Taifa letu ambalo lilikuwa LIMENAJISIWA na hawa watu
Kwa unafiki na chuki uliyonayo hata Lissu akichukua nchi utamnanga tu
Acha kuwa mtu unayeishi kwa hearsay na hisia.
Vumilia tu waovu wote mtafikiwa ndio utajua nguvu ya Mungu. Sidhani kama Ndugai ungemwambia haya yangemkuta akiwa madarakani kipindi wamelewa madaraka na Magufuli kama angekuelewa. Aliagiza CAG avuliwe viatu ili kumdhalilisha kwa ajili ya kumfurahisha Magu. Nakumbuka alikuwa anawaambia wapinzani kwa kejeli na dharau kubwa siku za mwisho kabla ya uchafuzi mkuu wa 2020 kuwa waage kabisa maana hawatarudi, kwani walishapanga wanajisi uchaguzi.
Maombi yetu yanazidi kufanya kazi, mmoja yuko kuzimu, huyu Andunje amebadilikiwa na wanaccm wenzake. Kweli Mungu ni fundi
Wasamehe Mkuuu, ukiona mtu yeyote anafurahia anguko la mwenzake au kuharibikiwa mwenzake jua kuwa huyo anasumbuliwa na Ufukara na UCHAWI na kama siyo mchawi basi amekosa vitendea kazi kaa naye mbali ni shetani. Vitabu Vitakatifu vimeatuasa kutakiana heri, kusameheana na Amri kuu iwe Upendo baina yetu!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndugai kimemkuta kipi?
Kukosa kiti cha uspika?
Hiyo ndio adhabu mnayosema?
Mnachekesha
Hii hapa, bado tamati haijafika. Mungu si mjinga.Mungu sio mjinga aisafishe Tanzania kwa kuiacha CCM madarakani. Mungu huwa haifanyi kazi yake nusu, kazi yake ni timilifu,