Mdakuzi
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 4,294
- 6,872
Asante sana b..., kwa kunipa hicho cheo. Kweli umenifanya nijione wa thamani zaidi kuliko nilivyodhani.Mbona mmecharuka hivi jamani? Huu mwaka kila mtu ana uzi wake...
Haya basi, Mdakuzi
Sifa zake ana akili nyingi sanaaaa, anajua mengi sana. Ni kampani kubwa kwangu 🙌💐
Cheo utachagua mwenyewe b...
Mnadhani mimi nitamchagua nani? Ni Nifah ila sifa zake nyingi za 'kuupiga kwaks mwingi' siwezi kuzisema hapa kwa sasa.
Ila siku moja nitajikaza nitazisema zote. Kwa leo labda nikupe tu cheo chako, wewe ni fundi na mkali kila idara.
Ova