Mwisho wa mwaka taja sifa ya memba yoyote unayempenda na umpe na cheo

Mwisho wa mwaka taja sifa ya memba yoyote unayempenda na umpe na cheo

Mbona mmecharuka hivi jamani? Huu mwaka kila mtu ana uzi wake...

Haya basi, Mdakuzi
Sifa zake ana akili nyingi sanaaaa, anajua mengi sana. Ni kampani kubwa kwangu 🙌💐

Cheo utachagua mwenyewe b...
Asante sana b..., kwa kunipa hicho cheo. Kweli umenifanya nijione wa thamani zaidi kuliko nilivyodhani.

Mnadhani mimi nitamchagua nani? Ni Nifah ila sifa zake nyingi za 'kuupiga kwaks mwingi' siwezi kuzisema hapa kwa sasa.

Ila siku moja nitajikaza nitazisema zote. Kwa leo labda nikupe tu cheo chako, wewe ni fundi na mkali kila idara.

Ova
 
Habari wanajamvi?
Tukiwa tumebakiza siku takribani 15 kupindua mwaka, kuongeza thamani ya upendo miongoni mwa member JF.

Taja memba yoyote unayempenda mpe na sifa yake na cheo

Mimi naanza hapa👇
DR Mambo Jambo
Huyu mkuu namuheshimu sana kwa mabandiko yake ya DINI, ananifundisha vitu vingi sana ila posti zake za udaktari nazirudiaga mara 10 10, sio uislamu wala ukristo.
Nampa 5star kwenye masuala ya DINI.

Kiranga
Huyu jamaa namkubali sana kuanzia kupanga hoja na kupangua hoja, kila punch anayorusha inafika.
Maarifa anayomwaga nampa 5star masuala ya Logic (mantiki)

Ritz
Huyu jamaa namkubali sana kwenye kuleta taarifa za hamas masaa 24 hata kama aljazeera haijapata taarifa yeye anayo
Ni msemaji wa hamas ukanda wa afrika mashariki.

Robert Heriel Mtibeli
Taikon wa fasihi huwa anagusa nyanja zote, ananifurahisha sana nyuzi zake, inabidi utulize akili kuzisoma. Huyu ni Taikoni wa fasihi hapa nampa nyota5

Twende kazi( kumbuka hii ni kwa ajili ya ku appreciate na funny)👇weka list nyingine chini hapa.

Nashukuru sana Mkuu

Hàta mkiwa wawili tuu duniani mnaotambua mchango wangu na kumshukuru Mungu kwa uwepo wangu hiyo inatosha kujivunia kuwa ninaishi.

Barikiwa
 
Back
Top Bottom