Mwisho wa mwaka taja sifa ya memba yoyote unayempenda na umpe na cheo

Mbona mmecharuka hivi jamani? Huu mwaka kila mtu ana uzi wake...

Haya basi, Mdakuzi
Sifa zake ana akili nyingi sanaaaa, anajua mengi sana. Ni kampani kubwa kwangu πŸ™ŒπŸ’

Cheo utachagua mwenyewe b...
Asante sana b..., kwa kunipa hicho cheo. Kweli umenifanya nijione wa thamani zaidi kuliko nilivyodhani.

Mnadhani mimi nitamchagua nani? Ni Nifah ila sifa zake nyingi za 'kuupiga kwaks mwingi' siwezi kuzisema hapa kwa sasa.

Ila siku moja nitajikaza nitazisema zote. Kwa leo labda nikupe tu cheo chako, wewe ni fundi na mkali kila idara.

Ova
 

Nashukuru sana Mkuu

HΓ ta mkiwa wawili tuu duniani mnaotambua mchango wangu na kumshukuru Mungu kwa uwepo wangu hiyo inatosha kujivunia kuwa ninaishi.

Barikiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…