Mwisho wa ndege za kivita, funzo la vita vya Ukraine na Urusi

Zele ndio kwanza anazidi kudunda hapo mjini Kiev. Na juzi hapa amemualika Kiongozi wa china Xi jiping
Nijambo jema azidi kusogea kuwaalika wamashariki wenzake, mwishoe watakaa wayazungumze. Maana hakuna namna tena kwakuwa wafadhiri wameanza kupunguza kasi ya kupeleka vifaa vyao.Hivyo siyo mbaya strategically akianza kukumbuka kuwa vita itamalizwa tu na wamashariki mwenyewe.
 
Niko impressed sana na ufafanuzi wako hongera
 
Anapiganaje na US wakati US hajapeleka hata kandege 1?
Mkuu atapelekaje ndege zake bila kuwa na uhakika kama zitarudi?
Hata kama hajapeleka ndege zake lakini amepeleka silaha zake nyingi tu hata wewe unajua.
 
Urusi i anapigana na NATO.

Vyovyote vile iwavyo, vita hiyo URUSI NI LAZIMA ATOKE MSHINDI, iwe ni kijeshi au Makubaliano, ni lazima URUSI awe mshindi.
 
Ukrain walitusaidia nn
 
Su 35 inaweza shambulia precisely target iliyopo umbali wa km 300+ from ilipo..air defence nyingi zina limited range mfano nyingi utaambiwa target lazima iwe chini ya 100km..drones hasa kwenye vita hii zimekuwa upgraded sana, Urusi kwa sasa inatumia mannen drones ambazo zipo integrated na kamikaze drones..so Kuna drones ambazo Kazi yake ni kufanya reconnaissance na ilinkuonyesha target ilipo.then hizo taarifa zinatumika na kamikaze kufanya yake...the same to artillery..ambapo nowdays hakuna yake mambo ya kurusha mizinga kama mwehu...drone inachukua coordinates zinatumwa kwenye command ya artillery vitu binakuja..ndiyo maana vita ya sasa imekuwa chungu sana kill rates ni kubwa if hauna manpower ya kutosha na countermeasures nzuri unapotelea mbali.Sijui kama jwtz wanajua hili coz Hivi ndo vitu Rwanda wanawekeza kwa sasa technologia.
 
Pamoto Sana Hapa Hasa Masuala Ya Uwanja Wa Damu
 
Russia haina precision weapons nyingi kwani zina gharama kubwa, kitu chochote kikishakuwa cha gharama kubwa usitarajie Urusi ikipendelee. Wala precision missiles zake sio better, Israel ndio nchi inapenda zaidi na inajua vizuri precision.

Russia ina silaha kadhaa nzuri ila namba zinakataa. Su-35 hazifiki 200, kwa US multirole yake mpya F-35 zipo zaidi ya 400. Hapo hatutaji F-16 ambazo ni nyingi zaidi na ni level za Su-35.

Russia kwenye drones hawazidi US, China, Israel wala Turkey. Hao wanne ndio wanaanza na hakuna mpinzani wao soon, wanafuata kina Russia na Iran na wengineo.

Rwanda wanajipanga kwenye precision weapons na silaha za kisasa ukilinganisha na bajeti yao, population na ukubwa wa ardhi yao jeshi lao linajitahidi. Tanzania iko kivyake inaishi
 
Umu kuna imufafanuzi mzuri sana sana
 
Huna unalolijua...hizo ndege unazozisifia zimeprove failure kwenye medani ya vita..kwanza operation cost yake ni kubwa mno haieleweki..baadhi ya nchi ikiwemo Marekani imeacha kutumia hizo ndege badala yake wanatumia F22.. usichojua J 20 inauwezo SAwa au kuzidi hizo F35
 
Kupeleka silaha za kivita pia ni kuingilia. Putin alisema ataeingilia kwa njia yoyote ile.
Silaha pamoja na ushauri wa mataifa ya magharibi ndio imesababisha smo ya saa 72 kwenda mwaka na zaidi na bado russia hajafikia malengo
Na huko anakoelekea russia atatema ndoano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…