Mwisho wa Tanzania Pride: JWTZ wadhalilishwa kusubirishwa mpakani huko Rwanda

Kwa hiyo wajeda wetu walienda kucheza madogoli? Wangelinda vipi amani wakati hata kujilinda wao wenyewe wameshindwa mpaka to the extent ya kukusanywa kama kuku wenye mdondo? Warudi tu waendelee na kazi wanayoiweza ya uchawa kwa Chura Kiziwi.
Izo ni stori zako tu fatilia vizuri utajua wewe mtu unapigana naye unamuuwa alafu unamkamata unamrudisha kwao inakuingia akilini? Jiongeze
 
Wamerudi wanajeshi 25 tu kutoka Tanzania wengi waliorudi ni kutoka SA na wale majeruhi 5 wengine wamebaki na siraha zao huko Camp hizo tetesi sio za kweli..
M23 wamechukua siraha za Jeshi la DRC na Polisi wao waliojiunga nao..
Tangu kutekwa kwa Jiji la Goma, askari wa SA, Malawi na TZ wapo chini ya Ulinzi na hatawatakiwi kufanya nyweee.

Wakijitia jeuri wanakula chuma, na silaha zote walishanyang’anywa

Hiyo ndo vita, Upige au Upigwe…Hapa Tumepigwa na hatuna la kufanya
 
Ona mwehu huyu. Unathubutu kumsifia Amin, wakati Bukoba kuna makaburi ya raia na mkuu Hans Pope wa mkoa akikamatwa na kuuwawa Uganda.
Hans Pope aliuwawa mwaka 1972, ndani ya ardhi ya Uganda, jiulize alikuwa anafanya mini uganda?
 
Tatizo siasa za ccm zimeingia kwenye majeshi yetu, kiasi kwamba ufahari wa majeshi yetu kwa sasa upo kwajili ya kuilinda CCM , kuiba na kukimbia na mabox ya kura na zaidi yale magwaride ya kuwatishia watanzania wakati rasilimali zinaondoka na waarabu.
 
Huna unacho fahamu, kwa nini una andika uongo!!
 
Kuna jamaa alisema kuna matawi ya CCM hadi huko🤣🤣🤣
 
"Kuna watu wanatudharau na kutuona sisi sio lolote kwa sababu za kijiografia, sijui mara Rwanda ni kainchi kadogo. Ila tu niwaambie watu hao wanajidanganya sisi ni tuko imara na ni wakubwa kweli kweli."'-Paul Kagame
 
Kuna jamaa alisema kuna matawi ya CCM hadi huko🤣🤣🤣
Hili sipingi na linawezekana kabisa, kama TISS yenyewe tu imejaa UVCCM ambao kazi yao ni kulewa na kutishia watu kwenye mabar na kumbi za starehe, kwanin wapuuzi hao wasiwepo hata kwenye jeshi letu?
 
Seems M23 na Rwanda wana ubinadamu kwa kuwarudisha mateka waliokamatwa nyumbani kwao bila kuwadhuru au kudai chochote, ingekuwa lile jeshi lako la Congo na interahamwe hao wote wangeliwa mshikaki
Umerudi tena! swali letu hujajibu
'' Bayamulenge' wamenyimwa haki gani DRC kiasi cha kubeba silaha na kuua Raia!
 
Dogo kama jambo hulijui kaa kimya. Kupayuka tu hakukusaidii zaidi inatuonesha kuwa wewe ni mjinga na mpumbavu!
Kama unataka usiwe mjinga na mpumbavu nenda kajifunze maana " international peacekeeping mission". Kama huwezi kujifunza,KAA NA UJINGA WAKO!
 
Mbona umeshajibu swali unalouliza! Pengine hujatambua, nikufafanulie

Vita Nchini Rwanda na Burundi ziliathhiri sana Tanzania kiusalama. Rais Mkapa kabla ya kutangaza Baraza la Mawaziri kwa mara ya kwanza, alikwenda Mwanza kushughulikia mgogoro wa Burundi na Rwanda

Mauaji ya Kimbari yaIligharimu Tanzania kuliko Bajeti ya Wizara ya Elimu, Mkapa aliwaambia UN.

Vita ya DRC ina madhara kwa Tanzania kiusalama na Kiuchumi. Usalama wa mikoa inayopakana na DRC utaligharimu Taifa zaidi kuliko kuzuia Vita. Tanzania inafanya biashara na DRC ndio maana mamia ya Madereva na Malori walikwama Goma. Ujenzi wa Reli ni katika kutumia DRC kiuchumi.

Hadi hapo hujaona interest za Tanzania!

JokaKuu
 
Komboweni lile ziwa nyasa kwanza liloibiwa na Malawi lakini mkaikombowe na Mombasa kenya maana ni sehemu ya ardhi ya Zanzibar na Tanzania. vita ya uganda mulipigwa push sana ni mataifa kadhaa, nyinyi uhodari wenu ni kupiga watu tu siku za uchaguz labda na kutembea na magari ya maji moto
 
Unaongea ya maana na ya hovyo kwa pamoja. Huwezi kuanzisha vita na kila nchi ya jiranj ukidai mipaka kabla ya uhuru au MGAWANYO wa mkoloni. Ni ukichaa na ukorofi huo na ndicho anachokifanya Kagame. Kutangaza ubabe kwenye uchaguzi uko sahihi, sababu uchaguzi maana yake raia anataka kutoa hisia na maamuzi yake kupitia sanduku la kura. Kumpiga, kukimbia na kura zake kwenye masanduku, na kuzuia uwazi (observation) au kutangaza mshindi hewa ni ukatili kwa demokrasia.
 
Vita ya uganda mulipata msaada toka mataifa ya nje likisaidiana na jeshi la zanzibar taja vita vingine
 
Niliwahi sema wanajeshi ni wale waliostaafu.siku hizi kuna vijana wameingia jeshi ili tuu kuringia baka baka akivaa mtaani kwenye weledi wa kazi mbinu ya kivita na uzoefu bado sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…