Mwisho wa Tanzania Pride: JWTZ wadhalilishwa kusubirishwa mpakani huko Rwanda

Wewe mkuu umekaririshwa na kushibishwa propaganda za wanasiasa zisizo na uhalisia wowote.

Jambo la kuchunguza wahamiaji namna unavyolieleza kirahisi rahisi inashangaza.

Serikali ina vyombo vyake kufuatilia wahamiaji haramu na ndivyo vinavyotoa hadi vitambulisho vya uraia.

Je raia wa kawaida ana uwezo wa kutress na kutambua na kisha kupeleka kesi ya nyani kwa ngedere?

Emb kuwa seriou basi.
 
Sasa walienda kufanya nini?
Hili swali zuri, walienda kulinda amani ya DRC wananchi wawe salama kabisaa, shida SADC hawako serious sehemu ya kuleta jeshi la watu 5000, wewe unapeleka watu 1300 hata nusu ya matarajio hujafikia vip unaweza fikia malengo? watu ni muhimu kwenye uwanja wa vita ndio maana Urusi anakwenda kuomba Korea Kaskazini na Ukraine amefungua mlango kwa yeyote anaetaka duniani kuja pamoja na kushusha umri wa kuanza jeshini ili kupata watu wengi
 
Chombo mojawapo ni Idara ya Uhamiaji ambayo inakampeni inayowashirikisha wananchi kutoa taarifa. Watanzania kasumba ya kama halijakupata hujishughulishi nalo litatulea madhara sana.
Kwa fikra zangu changamoto tulizonazo hatima ya suluhisho Iko mikononi mwetu ila kwa vile hatuna umoja na ufahamu wetu ni ule wa juu juu tutaendelea katika mazingira haya.
Viongozi wote wa vyama nchini inapaswa tuwafahamu vyema Kisha tufanye maamuzi sahihi hasa 2025 kwani itikadi ya vyama hutupa upofu usio na maana.
 

Sasa kama jeshi linajua limefungwa mkono mmoja lilienda huko kufanya nini, kutalii?
 
Kwa hiyo wale wazanzibari wa humu jukwaani kina dega Gavana wanaotuambia kilichotokea huko visiwani mwaka 1964 ni mavamizi ya Tanganyika na sio mapinduzi huwa wanatudanganya ?
 
Unadhani PK alikua anaropoka hovyo alipo sema We're not the same old idiots you dealt with 50 years ago,' that resonated far beyond Kigali.”

Ulikua unadhani ni kama wale wa puuzi wa iyenaiyena.pumbafu
 
Nenda ukatafutw hqbari, jeshi lipo goma peke ni 1300 kwa camp moja, ila hawa wana camp 3 ndani ya Muji goma, kwa hio unasema jeshi 5k hawapo? South African wametuma 2900, Tanzania na Malawi wakatuma 2100.
 
Ajira za JWTZ nizakibaguzi Saana sikuhizi bila kimemo au kuwa na Mbanga utapiga JKT miaka Yako 2 unaludi kijijini, wababa kanituma ndio wanaopata Ajira .Yaani huwi mwanajeshi Tanzania hii bila kuwa na connection .kwahiyo Watu Bora na pysc nzuri wanaachwa wanachukuliwa dhaifu dhaifu kisa babayake nimtu flani mwenyekitengo na anaejuana nawatu wa juu jeshini!! Ukweli usemwe Hii Hali inaliua jeshi !!!Jeshi lijitafakali imefikia hatua vijana wanakata tamaa yakwenda hko JKT kujitolea kwasabubu wanajua Kama Hana Mbanga/connection hawezi kwenda TPDF !!! Utalatibu huu wakipuuzi wasasa ukemewe Kwa nguvu zote !!! Ili Tupate vijana walio Bora utaratibu ufaatwe ule wa awali nasi huuu wasasa mbovu kabisa
.
 
This is the trending video on Rwandan social media showing Tanzanian military officers at the Rwanda-DRC border office in Rubavu. They were repatriated from Goma after M23 seized control of the city. Reports indicate that M23 captured over 1,300 SADC troops, including soldiers from Tanzania, Malawi, and South Africa, as well as more than 10,000 troops from Burundi, Wazalendo forces, and FARDC. They were searched by Normal Police at Rwandan - DRc Boarder and their hand bags
 

Attachments

  • IMG_2139.jpeg
    266.9 KB · Views: 1
  • ssstwitter.com_1740907848085.mp4
    12.8 MB
  • ssstwitter.com_1740907588253.mp4
    1.8 MB
  • ssstwitter.com_1740910625597.mp4
    2.8 MB
  • IMG_2127.png
    1.6 MB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…