John Wickzer Mulholland
JF-Expert Member
- Apr 13, 2023
- 6,656
- 14,403
Kwa kifupi ni kwamba Jeshi la Tz limevuliwa nguo na M23.Acha kututetea. Tumefukuzwa,tumeondolewa,tumekimbizwa,tumedhalilishwa,tumefedheheshwa, tumekaguliwa na tumenyang'anywa Kila kitu. Kagame anajambo lake ambalo tusipoonyesha ukubwa wetu,tutaendelea kufedheheshwa sana.
Dah,wewe naona ndo hujui unachokiandika aise. PoleUnaandika upumbavu sana. Hivi nani alikudanganya kila jambo la kitaifa linakuwa na sababu za kisiasa. Mambo ya Jeshi yako nje ya uwezo wako wa kufikiri. Baki kwenye siasa za CDM na CCM.
Suala hilo la kihuni halitapita bure bila kujibiwa vikali.
Ndo wauawe kijinga,acha uongo. Tumepiga hizo kazi Kwa nyakati fulaniWazee mbona mnaongea sana vitu msivyovijua? Vita ya Congo sio yetu, ni vita kati ya jeshi la Congo na waasi wa M23. Sadc wamepeleka troops kulinda amani na askari wetu wapo. UN wamepeleka troops kulinda amani na askari wetu wapo. Hizo troops zote zinafuata maelekezo ya SADC na UN hao ndio wenye mwamvuli. Na ukisikia kulinda amani sio kuleta Amani au kutengeneza Amani, kulinda Amani ni kulinda hiyo amani ndogo iliyopo hapo.
Huna akili,huyo magufuli wako alijenga kwa pesa zake mwenyewe au? Nyie simnasema marehemu wenu aache kutajwa kashakufa,sasa wanini tena unamtaja.Watanzania wazalendo kwa nchi yao wanajiuliza kwa jinsi jua lilivyokali mwaka huu hivi ingekuwaje mgao wa umeme kama Hayati Magufuli asingejenga bwawa la umeme la mwl Nyerere?.
Ni majenereta mangapi yangeingizwa? Zingezaliwa Richmond ngapi?
Mwaka huu mvua ni chache nchi nzima na jua linatandika kwelikweli kiasi kwamba wakulima wamekosa mazao yao kwa kukauka shambani, lakini bado mafisadi yanaona aibu kutangaza mgao wa umeme kwa sababu wanaogopa watawaambia nini Watanzania kwa sababu wanajua bwawa lao la umeme walilojengewa na Rais wa wanyonge limekamilika na linauwezo wa kutoa megawati 2115.
Mafisadi kwa vikao vyao yanajiuliza sasa tutakula wapi? Na yanapofikia hiyo hatua humlaani Hayati Magufuli kwa kuanzisha ujenzi wa bwawa hilo na yakimaliza yanamlaani pia Rais Samia kwa kukubali kumalizia miradi yote iliyoachwa na Magufuli ikiwemo hilo bwawa la umeme.
Matarajio ya mafisadi ilikuwa ni kwamba pale tu Magufuli alipofariki na ujenzi wa bwawa ungeishia hapo.
Kama unakubaliana na huyo jamaa kwamba suala linalojadiliwa ni matokeo ya Jeshi kuwa kibaraka wa ccm basi wote ninyi ni wapumbavu. Hata rais angekuwa kutoka CDM bado Jeshi lingekuwepo Congo. Huko ccm kuna nani anayefahamu kinachoendelea Congo zaidi ya Jeshi linavyofahamu?Lakini wewe mwenyewe hujatuonyesha chochote kuwa siyo "mpumbavu" zaidi ya huyo unaye msema hapa.
Kwa maandishi uliyo weka, ni wazi wewe ni mpumbavu zaidi!
Hahaaaa no its not like that, ukishakuwa under un umbrela lazima u comply with their ruleAcha kututetea. Tumefukuzwa,tumeondolewa,tumekimbizwa,tumedhalilishwa,tumefedheheshwa, tumekaguliwa na tumenyang'anywa Kila kitu. Kagame anajambo lake ambalo tusipoonyesha ukubwa wetu,tutaendelea kufedheheshwa sana.
Dah! Inasikitisha kama hizi picha ni za kweli na hao nikweli katika askari wetu, kkagame ni wakumuua kabisaAcha kututetea. Tumefukuzwa,tumeondolewa,tumekimbizwa,tumedhalilishwa,tumefedheheshwa, tumekaguliwa na tumenyang'anywa Kila kitu. Kagame anajambo lake ambalo tusipoonyesha ukubwa wetu,tutaendelea kufedheheshwa sana.
Tume advice sana, lakin naona majirani wanamchekeaDah! Inasikitisha kama hizi picha ni za kweli na hao nikweli katika askari wetu, kkagame ni wakumuua kabisa
Mkuu humu Kuna wajinga wengi sana wasiojua chochote kile. M23 ni takataka fulani hivi ambayo inajua haiwezi kuifanya chochote TPDF.Hakuna aliyetekwa na m23 ni vita visivyo na faida kwa washirika ndio maana majeshi ya SADC wameamua kujiondoa. Rais wa Kongo mwenyewe ndio kafeli. JWTZ wakitangaza kesho wanatakq kukomboa maeneo yaliyoshikwa na m23 ni siku tatu tu watakimbia tena Uganda na Rwanda.
Nimekupa chanzo bado unaleta ubishi south Africa haina wanajeshi wakufika hata 500, endelea kufikiri umeipiga South Africa , hapo ni sawa na tone ndani ya bahari, endelea kuwasumbua wakongo ambao wana ruhusu wajinga wajinga kama M23 kukalia nchi yaoHakuna cha ubish hapa.
South Africa is believed to have around 3,000 troops deployed in Congo,
Aiseee wewe mtu ni mbishi yaani pamoja na kupewa source bado unaleta masuala ya imani (believed)Hakuna cha ubish hapa.
South Africa is believed to have around 3,000 troops deployed in Congo,
Wanajindanganya sana Hawa JWTZ Haina kofia nyeusi kuweni makini na propaganda za wapumbavu. Huyo anaepekuliwa Si wa jw alafu huyo ukaguzi ni laini sana kama tunaofanya migodini tuMwambie mwenzio jeshi la tanzania siyo jkt
Mavuno gani?. Mbona unaropoka Kama jw ilienda na vifaa vya kijeshi congo?. Jw ikisimama vita na m23 hakuna takataka ya m23 itabaki hapo gomaPole ya Nini wakati wamevuna walichopanda?
Wameungana na Watawala wasio na maono ya kuona mbali, haya ndio mavuno yao.
Upuuzi tupu!Mavuno gani?. Mbona unaropoka Kama jw ilienda na vifaa vya kijeshi congo?. Jw ikisimama vita na m23 hakuna takataka ya m23 itabaki hapo goma
Duh,
Naona wewe Mtutsi umefurahi sana ila subiri kinachokuja hatutaki milioKwa kifupi ni kwamba Jeshi la Tz limevuliwa nguo na M23.
Sasa kama Wanajeshi wenu siku hizi wanategemea kupokea maelekezo ya Wanasiasa wa CCM sijui fanyeni usafi au mazoezi kuwatisha wananchi wasiandamane unafikiri wanaweza kuwa na akili ya kupambana na kumzidi Kagame na timu yake?Duh,
Tatizo lilianzia kwa yule mama asiyejua hata kutumia binoculars kuwa waziri wa ulinzi!!
Kagame asije tu akaigeuza Tz kubwa jinga kama alivyoifanya DRC.
Naona taabu sana kuendeleza mjadala huu na wewe; lakini nakuona kuwa wewe hata sifa ya upumbavu ni nafuu zaidi.Kama unakubaliana na huyo jamaa kwamba suala linalojadiliwa ni matokeo ya Jeshi kuwa kibaraka wa ccm basi wote ni ninyi ni wapumbavu. Hata rais angekuwa kutoka CDM bado Jeshi lingekuwepo Congo. Huko ccm kuna nani anayefahamu kinachoendelea Congo zaidi ya Jeshi linavyofahamu?
Sijui unalenga kuzungumzia kitu gani hapa?Hata rais angekuwa kutoka CDM bado Jeshi lingekuwepo Congo
Angalia unavyo jidhalilisha. Wewe unadhani jeshi linajiamria lenyewe wapi liende?Congo. Huko ccm kuna nani anayefahamu kinachoendelea Congo zaidi ya Jeshi linavyofahamu?