Mwisho wa Tanzania Pride: JWTZ wadhalilishwa kusubirishwa mpakani huko Rwanda

Mwisho wa Tanzania Pride: JWTZ wadhalilishwa kusubirishwa mpakani huko Rwanda

Unaandika upumbavu sana. Hivi nani alikudanganya kila jambo la kitaifa linakuwa na sababu za kisiasa. Mambo ya Jeshi yako nje ya uwezo wako wa kufikiri. Baki kwenye siasa za CDM na CCM.

Suala hilo la kihuni halitapita bure bila kujibiwa vikali.
Dah,wewe naona ndo hujui unachokiandika aise. Pole
 
Wazee mbona mnaongea sana vitu msivyovijua? Vita ya Congo sio yetu, ni vita kati ya jeshi la Congo na waasi wa M23. Sadc wamepeleka troops kulinda amani na askari wetu wapo. UN wamepeleka troops kulinda amani na askari wetu wapo. Hizo troops zote zinafuata maelekezo ya SADC na UN hao ndio wenye mwamvuli. Na ukisikia kulinda amani sio kuleta Amani au kutengeneza Amani, kulinda Amani ni kulinda hiyo amani ndogo iliyopo hapo.
Ndo wauawe kijinga,acha uongo. Tumepiga hizo kazi Kwa nyakati fulani
 
Watanzania wazalendo kwa nchi yao wanajiuliza kwa jinsi jua lilivyokali mwaka huu hivi ingekuwaje mgao wa umeme kama Hayati Magufuli asingejenga bwawa la umeme la mwl Nyerere?.
Ni majenereta mangapi yangeingizwa? Zingezaliwa Richmond ngapi?
Mwaka huu mvua ni chache nchi nzima na jua linatandika kwelikweli kiasi kwamba wakulima wamekosa mazao yao kwa kukauka shambani, lakini bado mafisadi yanaona aibu kutangaza mgao wa umeme kwa sababu wanaogopa watawaambia nini Watanzania kwa sababu wanajua bwawa lao la umeme walilojengewa na Rais wa wanyonge limekamilika na linauwezo wa kutoa megawati 2115.
Mafisadi kwa vikao vyao yanajiuliza sasa tutakula wapi? Na yanapofikia hiyo hatua humlaani Hayati Magufuli kwa kuanzisha ujenzi wa bwawa hilo na yakimaliza yanamlaani pia Rais Samia kwa kukubali kumalizia miradi yote iliyoachwa na Magufuli ikiwemo hilo bwawa la umeme.
Matarajio ya mafisadi ilikuwa ni kwamba pale tu Magufuli alipofariki na ujenzi wa bwawa ungeishia hapo.
Huna akili,huyo magufuli wako alijenga kwa pesa zake mwenyewe au? Nyie simnasema marehemu wenu aache kutajwa kashakufa,sasa wanini tena unamtaja.
 
Ukienda mission kama hizo ambazo zinakuwa chini ya mwamvuli wa shirika au jumuiya fulani unabii utii masharti fulani ya kidiplomasia kuepusha migogoro zaidi ya kivita.

Hao walienda kama walinda amani Congo na sio kupigana vita na Rwanda, japo Rwanda kaonyesha chokochoko kutokana na maslahi anayoyapata kutokana na mgogoro wa DRC hivyo hao TPDF hawahusiki ndio maana wamepitia Rwanda na kukaguliwa kama exit point ila kama ingekuwa ni kinyume na hapo na wangekuwa ndani ya Rwanda wanapigana hapo hilo zoezi lisingewezekana bali sasa Rwanda angekuwa anashikilia askari wa TPDF kama mateka wa kivita.
 
Lakini wewe mwenyewe hujatuonyesha chochote kuwa siyo "mpumbavu" zaidi ya huyo unaye msema hapa.
Kwa maandishi uliyo weka, ni wazi wewe ni mpumbavu zaidi!
Kama unakubaliana na huyo jamaa kwamba suala linalojadiliwa ni matokeo ya Jeshi kuwa kibaraka wa ccm basi wote ninyi ni wapumbavu. Hata rais angekuwa kutoka CDM bado Jeshi lingekuwepo Congo. Huko ccm kuna nani anayefahamu kinachoendelea Congo zaidi ya Jeshi linavyofahamu?
 
Acha kututetea. Tumefukuzwa,tumeondolewa,tumekimbizwa,tumedhalilishwa,tumefedheheshwa, tumekaguliwa na tumenyang'anywa Kila kitu. Kagame anajambo lake ambalo tusipoonyesha ukubwa wetu,tutaendelea kufedheheshwa sana.
Hahaaaa no its not like that, ukishakuwa under un umbrela lazima u comply with their rule
 
Acha kututetea. Tumefukuzwa,tumeondolewa,tumekimbizwa,tumedhalilishwa,tumefedheheshwa, tumekaguliwa na tumenyang'anywa Kila kitu. Kagame anajambo lake ambalo tusipoonyesha ukubwa wetu,tutaendelea kufedheheshwa sana.
Dah! Inasikitisha kama hizi picha ni za kweli na hao nikweli katika askari wetu, kkagame ni wakumuua kabisa
 
Hakuna aliyetekwa na m23 ni vita visivyo na faida kwa washirika ndio maana majeshi ya SADC wameamua kujiondoa. Rais wa Kongo mwenyewe ndio kafeli. JWTZ wakitangaza kesho wanatakq kukomboa maeneo yaliyoshikwa na m23 ni siku tatu tu watakimbia tena Uganda na Rwanda.
Mkuu humu Kuna wajinga wengi sana wasiojua chochote kile. M23 ni takataka fulani hivi ambayo inajua haiwezi kuifanya chochote TPDF.
 
Hakuna cha ubish hapa.
South Africa is believed to have around 3,000 troops deployed in Congo,
Nimekupa chanzo bado unaleta ubishi south Africa haina wanajeshi wakufika hata 500, endelea kufikiri umeipiga South Africa , hapo ni sawa na tone ndani ya bahari, endelea kuwasumbua wakongo ambao wana ruhusu wajinga wajinga kama M23 kukalia nchi yao
 
Hakuna cha ubish hapa.
South Africa is believed to have around 3,000 troops deployed in Congo,
Aiseee wewe mtu ni mbishi yaani pamoja na kupewa source bado unaleta masuala ya imani (believed)
Nawe tuwekeee source inayoonyesha hayo unayoyasema
 
Pole ya Nini wakati wamevuna walichopanda?

Wameungana na Watawala wasio na maono ya kuona mbali, haya ndio mavuno yao.
Mavuno gani?. Mbona unaropoka Kama jw ilienda na vifaa vya kijeshi congo?. Jw ikisimama vita na m23 hakuna takataka ya m23 itabaki hapo goma
 
Duh,
Tatizo lilianzia kwa yule mama asiyejua hata kutumia binoculars kuwa waziri wa ulinzi!!

Kagame asije tu akaigeuza Tz kubwa jinga kama alivyoifanya DRC.
Sasa kama Wanajeshi wenu siku hizi wanategemea kupokea maelekezo ya Wanasiasa wa CCM sijui fanyeni usafi au mazoezi kuwatisha wananchi wasiandamane unafikiri wanaweza kuwa na akili ya kupambana na kumzidi Kagame na timu yake?

Kagame huko ana invest kwenye research, elimu na maarifa nyie mna invest kwenye uchawa na kuwaabudu wajinga wa CCM alafu msidharirike?

TISS huko ndo zimejaa maiti tu intelligence wanayojua ni ya CHADEMA tu mnategemea msitepeshwe?
 
Kama unakubaliana na huyo jamaa kwamba suala linalojadiliwa ni matokeo ya Jeshi kuwa kibaraka wa ccm basi wote ni ninyi ni wapumbavu. Hata rais angekuwa kutoka CDM bado Jeshi lingekuwepo Congo. Huko ccm kuna nani anayefahamu kinachoendelea Congo zaidi ya Jeshi linavyofahamu?
Naona taabu sana kuendeleza mjadala huu na wewe; lakini nakuona kuwa wewe hata sifa ya upumbavu ni nafuu zaidi.
Kwanza maelezo yenyewe unayotoa ni kama hata hujui unaongelea kitu gani.

Kwa mfano:
Hata rais angekuwa kutoka CDM bado Jeshi lingekuwepo Congo
Sijui unalenga kuzungumzia kitu gani hapa?
Wewe unadhani hizo serikali zitafanya maamuzi nje ya sera za vyama vyao? Hujui serikali imeundwa na nani?
Au unafikiri jeshi linafanya maamuzi yake nje ya serikali?
Congo. Huko ccm kuna nani anayefahamu kinachoendelea Congo zaidi ya Jeshi linavyofahamu?
Angalia unavyo jidhalilisha. Wewe unadhani jeshi linajiamria lenyewe wapi liende?
 
Back
Top Bottom