Mwisho wa Tanzania Pride: JWTZ wadhalilishwa kusubirishwa mpakani huko Rwanda

hawa wanyarwanda wanaokebehi ndio wale walikimbia vita wakakaa makambini kwetu, wakasoma shule zetu, wakajua na kiswahili.
Usiwalaumu Wanyarwanda, Bali tunapaswa kuwalaumu Watawala wa nchi yetu.

Haya wameyataka wenyewe.

Tumekuwa tukishauri Sana hapa mtandaoni kwamba Wanajeshi wa nchi yetu warudi nyumbani ili waje kuimarisha ulinzi kwenye mipaka ya nchi yetu hii, lakini inavyoonekana Watawala wa nchi hawataki kusikia ushauri wetu huo. Matokeo yake ndio haya sasa.

Maandiko Matakatifu yanasema kwamba "Aonywaye Mara nyingi naye hushupaza shingo, huvunjika ghafla na hakuna dawa tena."
(Mithali 29: 1)

Kama ni suala la Kulinda Amani, basi Jeshi linapaswa kupeleka Wanajeshi wake katika nchi za mbali, lakini siyo kwenda kulinda amani katika nchi ambazo ni majirani zetu. Hii ni hatari kubwa sana kwa Usalama wa nchi. Wanajeshi Wapiganaji wa Vikosi vya Kulinda amani vinapaswa kupelekwa katika nchi za mbali huko Kama vile kwa mfano Pakistan, Lebanon, Mynmar, Haiti, n.k.

All in all, Wanajeshi wetu wanapaswa kupelekwa kwenda kulinda amani katika nchi zingine lakini muda wote kabisa wanapaswa wasimame katika Upande wa HAKI. Wasiende huko ili kwenda kuwatetea au kuungana na Watawala wa huko ambao ni Wadhalimu. Ujumbe wa Kulinda Amani usititumwe ili kwenda kusaidia au kuungana na upande wa Wadhalimu.

Daima Tukumbuke kwamba 'ukiungana na Wadhalimu basi Wapenda HAKI hawatakuwa upande wako.'
 
Watu wametetea Congo mpaka wamechoka.
Congo sasa ijipiganie yenyewe. Unless otherwise kuwe na manufaa Fulani kwa jeshi na Nchi yetu.
Viongozi corrupt na wapumbavu wanagombania kuchukua nchi na hawana plan.
Ivi kweli Congo Kwa resources ilizonazo plus population ni nchi ya kuyumbishwa na Rwanda kweli. A mere district??????
 
Mosi, nmeishia kusoma pale umeandika..Rwanda ikitaka kufika Dar es salaam..nimegundua kichwani hauko sawa, utakuwa unaumwa bila kujua ni mgonjwa..a lot of rubbish umeandika!
Hakuna haja kuendeleza conversation na wewe..sikiliza, km unadhani hiyo nguvu ipo stage something real with Rwanda utapata majibu, nadhani hayo ya CDF kusema nchi ina hadi viongozi ambao si raia wa Tanzania kwako ni porojo sababu akili yako ni ya panzi..haina uwezo ku-troubleshoot short n long consequences za hali km hii kwa nchi! Umeshinda chukua kombe!
Ujinga lakini SUKARI IMEKUPANDA unahangaika kunijibu.

Iddi Amini na State Research Bureau walikuwa na taarifa za hadi vikao vya Ikulu na zile za uvamizi wa Kampala, na kujaza majasusi wengi kama kina Mwijage lakini kiko wapi leo hii. Ukweli mchungu ni kwamba mtu mjinga tu, ndiye ataamini kwamba INTELLIGENCE translates to a DIRECT MILITARY VICTORY.

AU labda unaamini Tanzania inaongozwa kihuni-huni tu, kwamba leo hii MTUTSI wa kutoka NGARA au KIGOMA anaweza akaamka na kuanza kuwa kiongozi wa nchi anayeweza kujiamlia anachotaka tu. MHUTU, Magufuli aliyezaliwa Tanzania alipotaka kutupanda kichwani aliwekwa mahali salama, sembuse MTUTSI ambaye hata sura yake haifanani na Mbantu ???

Ujinga wenu utaishia DRC na KIVU, ila hapa mtachinjwa kama kuku.
 
Hii kitu naiona Mimi peke yangu au wengine mnaona?

Kwanza nasema hakuna jeshi Bora na lenye nguvu East and central Africa Kama jeshi la wananchi wa Tanzania kwa sababu ambazo siwezi kuzitaje hapa!!

We have very strong military lakini tunakosa meno ya amiri jeshi mkuu!!

Rais wangu urais ni zaidi ya kufanya mikutano ya hadhara tu!

Rais wangu unatambua chochoko za mwaka 2013 za Hawa wajinga zilivyozimwa?

Je mgogoro wa Malawi unajuwa ulivyozimwa?

Mtwara unajua mgogoro ulivyozimwa?

Panya Road unajua walivyozimwa mpaka sasa dar watu wanafanyakazi masaa 24?

Umesikia lini Tena mtu akifa mtwara, Au kuuuwawa na Panya road ?

Hii ndio maana halisi ya JWTZ hawafanyi kazi kwa porojo za kisiasa wanafanya kazi kwa mjibu wa report za kiusalama!

Rais wangu Samia fanyia kazi report ya usalama wa mipaka na Hatari ya m23 kuenea mashariki ya Kongo ambayo ipo mezani kwako!

Vijana tunahitaji go ahead tu kwenda kutengeneza historia!! Haiwezekani ndugu zetu kupokwa nchi next tutakuwa sisi na JWTZ haiwezi kukubali

Achana na kupoteza pesa kwenye uchaguzi uchwara wape pesa watu wakalipiganie Taifa efectively.

JWTZ isiguswe wala kuchezewa na yeyote ndio taasisi imara ambayo imebaki Tanzania.

Sioni jeshi la kupambana na JWTZ east and central Africa

Wape vija siraha wape vijana pesa wakalete pesa zaidi na usalama wa Kongo ndio usalama wa Tanzania.
Tanzania ni nchi rahisi mno kufanya maamuzi ya kiusalama tofauti na Kenya.

Ni rahisi mno kufanya CURFEWS na SECURITY INTERNMENT kama ilivyokuwa kule ilivyofanyika mwaka 1979, 1983, 2001, 2014 na 2017. Njia pekee Rwanda anaweza kupambana na Tanzania ni kushirikiana na Uganda, kufanya Political Insurrection, Sabotage, Subversion, Bureaucratic Paralysis au Asymmetric Warfare akitumia rogue elements za ndani ya Tanzania, hasahasa Disgruntled Opposition au Ethnic Tutsis ambao wanaishi Tanzania, jambo ambalo litawaponza vibaya.

Conventional Warfare Capabilities, dhidi RDF hailingani na TPDF katika lolote lile na haina uwezo wa kuivamia Tanzania. Hivyo watafanya kama ambavyo wanafanya DRC au walivyofanya kwa Uganda kule Kisangani.

Kule Kibiti walijaribu, lakini Tanzania being a De Facto-Dictatorship walifanya SECURITY INTERNMENT na mji mzima ukafungwa. Nothing Goes In and Nothing Comes Out, kiufupi it was a massacre. Chochote kilochokuwa kinatembea kilichinjiliwa mbali bila huruma, halafu eti Wanyambo wa Ngara wajidanganye leo hii watake kufanya yale yanafanyika Kivu waweze kirahisi ???

Mwaka 1979 na 1983 yalifanyika hapa nchini majaribio ya kutaka kuvuruga nchi kwa kufanya kama ambavyo Rwanda anafanya kule Kivu, ila hali ilikuwa mbaya mno na maelfu ya watu waliuwawa kinyama. Kiukweli, siku watutsi wanajidanganya kufanya ujinga wa namna hiyo hapa Tanzania, nikuhakikishie tu, kutakuwa na BloodBath kubwa mno.

Eti Rwanda, ambaye anaendesha nchi kwa misaada ya UE na US ???
 
Sawa mkuu. Umeona wanajeshi wetu wanavyouliwa huko DRC kwa kushirikishwa kwenye vita ya kipuuzi haitoshi, unataka tena kuwaingiza kwenye vita nyingine? Kama unapenda vita, ipeleke familia yako ikapigane huko
 
Mosi, nmeishia kusoma pale umeandika..Rwanda ikitaka kufika Dar es salaam..nimegundua kichwani hauko sawa, utakuwa unaumwa bila kujua ni mgonjwa..a lot of rubbish umeandika!
Hakuna haja kuendeleza conversation na wewe..sikiliza, km unadhani hiyo nguvu ipo stage something real with Rwanda utapata majibu, nadhani hayo ya CDF kusema nchi ina hadi viongozi ambao si raia wa Tanzania kwako ni porojo sababu akili yako ni ya panzi..haina uwezo ku-troubleshoot short n long consequences za hali km hii kwa nchi! Umeshinda chukua kombe!
Mkuu usibishane na huyo chizi. Hakuna chochote anachokifahamu kuhusu upumbavu wa serikali ya CCM.
 
Ujinga lakini SUKARI IMEKUPANDA unahangaika kunijibu.

Iddi Amini na State Research Bureau walikuwa na taarifa za hadi vikao vya Ikulu na zile za uvamizi wa Kampala, na kujaza majasusi wengi kama kina Mwijage lakini kiko wapi leo hii. Ukweli mchungu ni kwamba mtu mjinga tu, ndiye ataamini kwamba INTELLIGENCE translates to a DIRECT MILITARY VICTORY.

AU labda unaamini Tanzania inaongozwa kihuni-huni tu, kwamba leo hii MTUTSI wa kutoka NGARA au KIGOMA anaweza akaamka na kuanza kuwa kiongozi wa nchi anayeweza kujiamlia anachotaka tu. MHUTU, Magufuli aliyezaliwa Tanzania alipotaka kutupanda kichwani aliwekwa mahali salama, sembuse MTUTSI ambaye hata sura yake haifanani na Mbantu ???

Ujinga wenu utaishia DRC na KIVU, ila hapa mtachinjwa kama kuku.
Tanzania ni nchi rahisi mno kufanya maamuzi ya kiusalama tofauti na Kenya.

Ni rahisi mno kufanya CURFEWS na SECURITY INTERNMENT kama ilivyokuwa kule ilivyofanyika mwaka 1979, 1983, 2001, 2014 na 2017. Njia pekee Rwanda anaweza kupambana na Tanzania ni kushirikiana na Uganda, kufanya Political Insurrection, Sabotage, Subversion, Bureaucratic Paralysis au Asymmetric Warfare akitumia rogue elements za ndani ya Tanzania, hasahasa Disgruntled Opposition au Ethnic Tutsis ambao wanaishi Tanzania, jambo ambalo litawaponza vibaya.

Conventional Warfare Capabilities, dhidi RDF hailingani na TPDF katika lolote lile na haina uwezo wa kuivamia Tanzania. Hivyo watafanya kama ambavyo wanafanya DRC au walivyofanya kwa Uganda kule Kisangani.

Kule Kibiti walijaribu, lakini Tanzania being a De Facto-Dictatorship walifanya SECURITY INTERNMENT na mji mzima ukafungwa. Nothing Goes In and Nothing Comes Out, kiufupi it was a massacre. Chochote kilochokuwa kinatembea kilichinjiliwa mbali bila huruma, halafu eti Wanyambo wa Ngara wajidanganye leo hii watake kufanya yale yanafanyika Kivu waweze kirahisi ???

Mwaka 1979 na 1983 yalifanyika hapa nchini majaribio ya kutaka kuvuruga nchi kwa kufanya kama ambavyo Rwanda anafanya kule Kivu, ila hali ilikuwa mbaya mno na maelfu ya watu waliuwawa kinyama. Kiukweli, siku watutsi wanajidanganya kufanya ujinga wa namna hiyo hapa Tanzania, nikuhakikishie tu, kutakuwa na BloodBath kubwa mno.

Eti Rwanda, ambaye anaendesha nchi kwa misaada ya UE na US ???

Lakini unatakiwa ukumbuke kwamba Israel ni nchi ndogo Sana tena ina idadi ndogo Sana ya watu, lakini nchi hiyo ya Israel inasumhua Sana kupita kiasi katika nchi zote kabisa zilizopo Mashariki ya Kati.
 
Ujinga lakini SUKARI IMEKUPANDA unahangaika kunijibu.

Iddi Amini na State Research Bureau walikuwa na taarifa za hadi vikao vya Ikulu na zile za uvamizi wa Kampala, na kujaza majasusi wengi kama kina Mwijage lakini kiko wapi leo hii. Ukweli mchungu ni kwamba mtu mjinga tu, ndiye ataamini kwamba INTELLIGENCE translates to a DIRECT MILITARY VICTORY.

AU labda unaamini Tanzania inaongozwa kihuni-huni tu, kwamba leo hii MTUTSI wa kutoka NGARA au KIGOMA anaweza akaamka na kuanza kuwa kiongozi wa nchi anayeweza kujiamlia anachotaka tu. MHUTU, Magufuli aliyezaliwa Tanzania alipotaka kutupanda kichwani aliwekwa mahali salama, sembuse MTUTSI ambaye hata sura yake haifanani na Mbantu ???

Ujinga wenu utaishia DRC na KIVU, ila hapa mtachinjwa kama kuku.
Vipi kuhusu Naibu Waziri Mkuu?
 
Tanzania ni nchi rahisi mno kufanya maamuzi ya kiusalama tofauti na Kenya.

Ni rahisi mno kufanya CURFEWS na SECURITY INTERNMENT kama ilivyokuwa kule ilivyofanyika mwaka 1979, 1983, 2001, 2014 na 2017. Njia pekee Rwanda anaweza kupambana na Tanzania ni kushirikiana na Uganda, kufanya Political Insurrection, Sabotage, Subversion, Bureaucratic Paralysis au Asymmetric Warfare akitumia rogue elements za ndani ya Tanzania, hasahasa Disgruntled Opposition au Ethnic Tutsis ambao wanaishi Tanzania, jambo ambalo litawaponza vibaya.

Conventional Warfare Capabilities, dhidi RDF hailingani na TPDF katika lolote lile na haina uwezo wa kuivamia Tanzania. Hivyo watafanya kama ambavyo wanafanya DRC au walivyofanya kwa Uganda kule Kisangani.

Kule Kibiti walijaribu, lakini Tanzania being a De Facto-Dictatorship walifanya SECURITY INTERNMENT na mji mzima ukafungwa. Nothing Goes In and Nothing Comes Out, kiufupi it was a massacre. Chochote kilochokuwa kinatembea kilichinjiliwa mbali bila huruma, halafu eti Wanyambo wa Ngara wajidanganye leo hii watake kufanya yale yanafanyika Kivu waweze kirahisi ???

Mwaka 1979 na 1983 yalifanyika hapa nchini majaribio ya kutaka kuvuruga nchi kwa kufanya kama ambavyo Rwanda anafanya kule Kivu, ila hali ilikuwa mbaya mno na maelfu ya watu waliuwawa kinyama. Kiukweli, siku watutsi wanajidanganya kufanya ujinga wa namna hiyo hapa Tanzania, nikuhakikishie tu, kutakuwa na BloodBath kubwa mno.

Eti Rwanda, ambaye anaendesha nchi kwa misaada ya UE na US ???
Vipi Uganda ikiwa chini ya Muhoozi na Rwanda hii ya Kagame zikiungana dhidi ya Tanzania?

Hauoni kuwa hii ni hatari ya mbele tunayopaswa kujiandaa nayo?
 
Hawa waasi wanatubipu.
Wamewarejesha wanajeshi wetu wa JWTZ nyumbani kupitia Rwanda bila silaha.

Walipoulizwa kwanini wanawafanyia hivyo, wakajibu Sila zote walizokuwa wanatumia Goma ni za Umoja wa Mataifa sio za Tanzania.
Cha ajabu wao hutumia silaha hizo kuteka maeneo mashariki mwa Congo.

Je wanajeshi wetu hawakubeba hata silaha zetu chache wakati wakitoka huku kwenda Congo?

Source: BBC Swahili news.
Sawa
 
Ujinga lakini SUKARI IMEKUPANDA unahangaika kunijibu.

Iddi Amini na State Research Bureau walikuwa na taarifa za hadi vikao vya Ikulu na zile za uvamizi wa Kampala, na kujaza majasusi wengi kama kina Mwijage lakini kiko wapi leo hii. Ukweli mchungu ni kwamba mtu mjinga tu, ndiye ataamini kwamba INTELLIGENCE translates to a DIRECT MILITARY VICTORY.

AU labda unaamini Tanzania inaongozwa kihuni-huni tu, kwamba leo hii MTUTSI wa kutoka NGARA au KIGOMA anaweza akaamka na kuanza kuwa kiongozi wa nchi anayeweza kujiamlia anachotaka tu. MHUTU, Magufuli aliyezaliwa Tanzania alipotaka kutupanda kichwani aliwekwa mahali salama, sembuse MTUTSI ambaye hata sura yake haifanani na Mbantu ???

Ujinga wenu utaishia DRC na KIVU, ila hapa mtachinjwa kama kuku.
Inasikitisha sana nchi ya kipuuzi inaruhusu hadi wageni kuingia jeshini na kushika vyeo vikubwa. Tanzania ni nchi ya kise.nge sana.
 
Nliona video mwanajeshi wa Tz wa cheo kikubwa anapekuliwa kwenye mpaka wa Rwanda kama mwizi
 
Kama kuingia jeshini sahivi ni kwa "cnnections" ni nini la ajabu? Nchi ya connections
 
Vipi kuhusu Naibu Waziri Mkuu?
Mkuu, watutsi ni moja ya makabila yaliyomo nchini Tanzania.

Watutsi wamekuwepo hapa nchini hata kabla ya Tanzania kuzaliwa kama nchi mwaka 1961. Wamekuwepo kwenye dola la Bunyoro Kitara, wamekuwepo kwenye dola la Chwezi, na wamekuwepo chini ya Lumanyika kama Wanyankole na Wanyambo.

Kubwa zaidi dola la Waha ambalo ndilo lilikuwa kubwa ukanda huu (The Buha Kingdom) lilikuwa na wakina Mwami waliokuwa na asili ya Kitutsi. Watutsi wengine walikuwa ni wafanyakazi wa machifu wa Kinyamwezi ambao ndiyo walikuwa matajiri zaidi ukanda huu wote wakiwa ni wakulima wakubwa, wafugaji, wawindaji na wafanyabiashara wa pembe za ndovu. Watutsi waliajiriwa kama wachunga ng'ombe wa machifu kama Mirambo na Isike.

Hivyo sioni dhambi yoyote wala shida ya Watutsi kushika nafasi kubwa serikalini, kwasababu ni watanzania. Tena kuna wengine ni waungwana mno na wamelitumikia taifa hili kwa uzalendo mkubwa tu. Watutsi wako Tanzania, Uganda, Burundi, Rwanda na Congo, japo hawaongei lugha moja. Kilichofanya Watutsi wa Tanzania wasiwe kama watutsi na Uganda, Burundi, Rwanda na DRC, ni sheria mbili ambazo ni: Chiefs (Abolition of Office: Consequential Provisions) Act of 1963 na The Nyarubanja Tenure (Enfrenchasiment) Act of 1965.

Hizi sheria zilivunja matabaka ya kikabila yaliyokuwepo kanda ya Ziwa na kubadilisha mfumo zima wa umilikaji mali. Kule Rwanda, Burundi na Kigoma, Ututsi na Uhutu vilikuwa ni Social Classes, tofauti na wengi wanavyotuaminisha. Kwamba Mtutsi alikuwa ni mtu yoyote yule mwenye mali kama ng'ombe na ardhi, huku Mhutu akiwa ni mtu yoyote asiye navyo. Ndiyo maana mtu alikuwa anaweza kutoka kuwa Mhutu, hadi kuwa Mtutsi kisa mali.

Tanzania tuliufuta huu upuuzi mapema kabisa, na mali zote zikawa na Ummah na tukapeleka watu kwenye vijiji vya Ujamaa kinguvu na kuwachanganya watanzania wote. Shule za kidini ambazo zilikuwa zimetengenezwa kwa lengo a kuelimisha watoto wa machifu zikataifishwa na nchi ya Tanzania ikaanza kupona taratibu wakati wengine kama Rwanda, Burundi, Uganda na Kenya wakikabana makoo.

Sasa, haya yanayotekea sasa hapa ni kitu kitaalamu, muingereza Professor Roger Griffin anakiita Palingenetic Ultranationalism, ambapo taifa, jamii au kabila fulani ili kujijenga kisiasa linatafuta hadithi (A Unifying Myth) kwamba wao hapo kale walikuwa ni watu fulani wakubwa na mashughuli lakini baadaye, jamii yao ikapoteza huo umashughuli, hivyo sasa inabidi waungane tena ili kufufua jamii yao ya zamani. Kifupi ni siasa za Kifashisti tu, ambazo Mwafrika mjinga anazikumbatia.

Hapa wale wanaojiita Watutsi, wanaanza kuzungumzia dola la Wachwezi ambalo ndilo lilijaa Wahima, japo haliwahi kuwa kubwa kama wanavyotaka kusema. Wanasema maeneo yao yote yanaanzia Uganda, Tanzania kanda ya ziwa, Burundi, Rwanda na Congo, japo kiukweli hakujawahi kuwa na dola la namna hiyo. Hivyo ni siasa za kifashisti tu, kama zile za Adolf Hitler kusema Germans are a Master Race au Wazayuni kusema wao ndiyo binadamu wengine wote ng'ombe.

Bahati mbaya sana, ujinga kama huu huwa unauza sana na wengi hujikuta wameingizwa bila kutegemea na kutoka inakuwa shida. Mfano mzuri kabisa, ni kwamba mgogoro wa DRC kwasisi tunafahamu ni kwamba umeanza hata kabla ya Kagame na Museveni kuzaliwa na hautaisha hata wakiondoka. Paul Kagame hajaivuruga DRC ila anatumia mianya hiyo kujinufaisha. Paul Kagame and Rwanda are not destabilizing DRC, but they just take advantage of the pre-existing conditions.

Huu ugomvi ni wa kimaslahi zaidi kuliko ukabila. Ukabila unatumika kama kigezo tu, lakini zaidi zaidi ni maslahi na madini ya DRC. Ni kama na vita ya Angola 1975-1991, ilikuwa siyo Ukomunisti wala Ubepari, ilikuwa ni madini na maslahi tu, bahati mbaya ukabila ukaingizwa kama moja ya visababishi.

Kuna vijana wa kitanzania, huwa wanatoka kwao Bukoba, Kigoma na Tabora kwenda kabisa kupigana vita DRC wakisema wanalinda watu wao wanaouwawa na wakongo. Hili ni jambo la hatari mno na kipumbavu. Mwaka 2005, vijana wengi wa Kiislamu kutoka Tanzania, walikamatwa Somalia, na wakahojiwa na marehemu Dr Mahiga, wakasema walichukuliwa misikitini na kwenda kupewa mafunzo wakisema kwamba wanapigania dini.

Lakini ukiangalia ukweli vijana hawa walikuwa wameenda kule zaidi zaidi kwasababu za kiuchumi, maana walikuwa wanalipwa na huku nchini walikuwa hawana ajira. Ndilo suala kama hili tulipambana nalo Kibiti mwaka 2017, watu wana maslahi yao lakini wanaamua kutumia mwamvuli wa dini kuingiza vijana wa kiislamu kwenye matatizo yasiyo na kichwa wala miguu mwishowe wakawaponza Waislamu wote wa Wilaya ile ambayo ilifungwa kabisa na mauaji ya kutisha yakaendeshwa na vyombo vya usalama.

Mwaka 2013-2014, ilianza hii minong'ono na Louise Mushikiwabo akamtukana Jakaya Kikwete na kuseme kilekile ambacho CDF alikisema kwamba kuna watu wa nchi jirani wako kwenye nafasi nyeti za serikalini, hivyo hawatatumia nguvu kupigana na Tanzania zaidi zaidi watamwaga fedha. Wajinga wengine wa kule Ngara wakaanza kufurahia, na kilichofuata ni kwamba Wilaya nzima ilizingirwa na Ethnic Cleansing ikaanzishwa kwa kivuli cha Operesheni Kimbunga, kufukuza wahamiaji haramu.

Watu wengi, hasahasa Wanyambo na Wahayo, wakajikuta kwenye Cross-Fire, ya kutaifishiwa mali, mashamba na hata kuuwawa. Watutsi wengi waliokuwepo serikalini wakaitwa na kuanza kufanyiwa Harassment, kwa kivuli cha Security Measures. Kuna wachungaji ni watanzania waliitwa na familia yake nzima na kuanza kuhojiwa, tena siyo mara moja. Kule mpakani wakawa wanafanya kile Trump alikifanya mwaka 2019 kuwatengenisha watoto na wazazi wao. It was a total nightmare.

NAMALIZIA NA MIFANO MIWILI HAI:

Mosi, mwaka 1991, wakati Saddam Hussein anavamia Kuwait, kabila la Bedoons ambao wako hadi Iraq, waliona nchi ya Iraq ndiyo kinawara wao wa kuwarudisha to Former Greatness, waliisaliti nchi yao na kumuunga mkono Saddam Hussein kwenye uvamizi wake haramu wa kumega kipande cha nchi huru. Vita ilipopamba moto na mambo yakawa mabaya kwa Iraq, jeshi la kuwaita likaanza kuchinja Bedoons. Walikuwa wanaenda kijiji baada ya kijiji, na wanaua watu na wengine wakafukuzwa kazi. Vita imeisha tu, serikali ya Kuwait ikawavua uraia Bedoons zaidi ya 50,000 kwa usaliti, mpaka leo wanahangaika.

Pili, wajapani nao hasahasa baada ya kupata maendeleo, hasahasa baada ya kumtandika Urusi (Russo-Japanese War 1905) na Uchina mwaka 1931 (The Invasion of Manchuria) wakaanzisha huu ujinga wa Palingenitic Ultranationalism. Waliamini kwamba wao ni watu wa tofauti, kumbe ni hatua za maendeleo tu ya binadamu ambayo kila jamii hupitia.

Wakajidanganywa mwaka 1941, wakavamia Marekani na kuua watu zaidi ya 2000. Huku wajapani wote waliokuwepo duniani wakishangilia, hasahasa wale waliokuwa ni raia wa Marekani. Kilichofuatia hakikuwa kizuri. Raisi Roosevelt akatangaza Executive Order ambayo ilimtaka kila raia wa Marekani mwenye asili ya Kijapani kufungiwa kwenye A Concentration Camp, kwasababu walionekana wangeweza kufanya uzandiki. Watu zaidi ya 120,000 walikamatwa na kufungiwa ilhali ni raia wa Marekani.

Hili likajirudia kipindi cha Senator McCarthy (The Red Scare), miaka ya 1950's ambaye alifukuza maelfu ya wachina Marekani kwasababu wengi wao walikuwa wanaonesha kuvutiwa mno na sera za kikomunisti za Uchina na kufanya ujasusi na kuhujumu Marekani. Watu wengi walikataziwa kusoma kichina wala kuvaa mavazi ya kichina, huku wengine kama Morris Chang, mwanzilishi wa TSMC wakinyanyaswa sana na kuwekwa Dentention.

====================================================
Kagame na Musseveni wakianzisha ujinga wowote na Tanzania, basi watawaponza watu wengi sana kuanzia Bukoba, Kigoma, Mwanza na Tabora. Kipindi cha vita serikali hutumia Propaganda kuwajaza watu upepo, na moja ya mbinu ni kutumia ukabila kama ilivyokuwa Operesheni Kimbunga, ambayo watanzania wengi walileteana unoko hata mtu na ndugu yake.

Watu kama Bashungwa, Masingilingi, Doto, Mafwele na wengine watapitia kipindi kigumu mno cha kuteswa na kubaguliwa au hata kuhatarisha uhai wao. Vita ya Kagera tu iliwaponza mno Wahaya, baada ya baadhi yao kukamatwa kama majasusi wa Uganda na hakuna anayelizungumzia hili. Wahafidhina kwenye vyombo vya usalama kama kina Mzee Mlawa wakachukulia ni kabila zima, na waliwanyoosha kwelikweli. Ni kwamba tu Mzee Nyerere alikuwa na busara nyingi mambo hayakwenda mlama.
 
Inasikitisha sana nchi ya kipuuzi inaruhusu hadi wageni kuingia jeshini na kushika vyeo vikubwa. Tanzania ni nchi ya kise.nge sana.
Hoja hii ni mufilisi na ya kipuuzi sana,

Mosi, wazawa wana uwezo mkubwa wa kukusaliti kuliko hata wageni. Tanzania imefikishwa hapa siyo na wageni, bali wasaliti walioko ndani ya CCM kama Jakaya Kikwete, Edward Lowassa, Rostam Azizi, Andrew Chenge na Benjamini Mkapa, ambao waliiuza hii nchi kwa kuanza kujihusisha na Masonic Lodges of Scottish Rite ambazo ni Foreign Services Recruitment Grounds. CCM ndiyo wasaliti, hakuna mwingine.

Pili, hata a world class Spy Organizations kama MI6, MOSSAD, CIA, KGB na MSS huingiliwa na adui, sembuse TISS na TPDF. Uzuri ni kwamba, TISS na TPDF hazifanyi kazi kama Saccoss ya wauza sambusa. Kuna Compartmentalization na Security Level Clearance. Huwezi kufanya kazi ambayo hujapewa, wala huwezi kuingia mlango ambao hujaitwa, wala huwezi kwenda mkoa ambao hujapewa ruhusa kwenda.

Case Officers wa Foreign Directorate, hamfahamu Case Officer wa Counter-intelligence, Case Officer wa Directorate of Military Affairs, hamfahamu Case Officer wa Department of Law Enforcement au Department of Recruitment, Research and Training. Eti kwamba, TISS na TPDF ni kama pagale unaloamua hata kuingilia dirishani tu.

Sisi tunasubiri huyo Kagame akosee njia muone.
 
Mkuu, watutsi ni moja ya makabila yaliyomo nchini Tanzania.

Watutsi wamekuwepo hapa nchini hata kabla ya Tanzania kuzaliwa kama nchi mwaka 1961. Wamekuwepo kwenye dola la Bunyoro Kitara, wamekuwepo kwenye dola la Chwezi, na wamekuwepo chini ya Lumanyika kama Wanyankole na Wanyambo.

Kubwa zaidi dola la Waha ambalo ndilo lilikuwa kubwa ukanda huu (The Buha Kingdom) lilikuwa na wakina Mwami waliokuwa na asili ya Kitutsi. Watutsi wengine walikuwa ni wafanyakazi wa machifu wa Kinyamwezi ambao ndiyo walikuwa matajiri zaidi ukanda huu wote wakiwa ni wakulima wakubwa, wafugaji, wawindaji na wafanyabiashara wa pembe za ndovu. Watutsi waliajiriwa kama wachunga ng'ombe wa machifu kama Mirambo na Isike.

Hivyo sioni dhambi yoyote wala shida ya Watutsi kushika nafasi kubwa serikalini, kwasababu ni watanzania. Tena kuna wengine ni waungwana mno na wamelitumikia taifa hili kwa uzalendo mkubwa tu. Watutsi wako Tanzania, Uganda, Burundi, Rwanda na Congo, japo hawaongei lugha moja. Kilichofanya Watutsi wa Tanzania wasiwe kama watutsi na Uganda, Burundi, Rwanda na DRC, ni sheria mbili ambazo ni: Chiefs (Abolition of Office: Consequential Provisions) Act of 1963 na The Nyarubanja Tenure (Enfrenchasiment) Act of 1965.

Hizi sheria zilivunja matabaka ya kikabila yaliyokuwepo kanda ya Ziwa na kubadilisha mfumo zima wa umilikaji mali. Kule Rwanda, Burundi na Kigoma, Ututsi na Uhutu vilikuwa ni Social Classes, tofauti na wengi wanavyotuaminisha. Kwamba Mtutsi alikuwa ni mtu yoyote yule mwenye mali kama ng'ombe na ardhi, huku Mhutu akiwa ni mtu yoyote asiye navyo. Ndiyo maana mtu alikuwa anaweza kutoka kuwa Mhutu, hadi kuwa Mtutsi kisa mali.

Tanzania tuliufuta huu upuuzi mapema kabisa, na mali zote zikawa na Ummah na tukapeleka watu kwenye vijiji vya Ujamaa kinguvu na kuwachanganya watanzania wote. Shule za kidini ambazo zilikuwa zimetengenezwa kwa lengo a kuelimisha watoto wa machifu zikataifishwa na nchi ya Tanzania ikaanza kupona taratibu wakati wengine kama Rwanda, Burundi, Uganda na Kenya wakikabana makoo.

Sasa, haya yanayotekea sasa hapa ni kitu kitaalamu, muingereza Professor Roger Griffin anakiita Palingenetic Ultranationalism, ambapo taifa, jamii au kabila fulani ili kujijenga kisiasa linatafuta hadithi (A Unifying Myth) kwamba wao hapo kale walikuwa ni watu fulani wakubwa na mashughuli lakini baadaye, jamii yao ikapoteza huo umashughuli, hivyo sasa inabidi waungane tena ili kufufua jamii yao ya zamani. Kifupi ni siasa za Kifashisti tu, ambazo Mwafrika mjinga anazikumbatia.

Hapa wale wanaojiita Watutsi, wanaanza kuzungumzia dola la Wachwezi ambalo ndilo lilijaa Wahima, japo haliwahi kuwa kubwa kama wanavyotaka kusema. Wanasema maeneo yao yote yanaanzia Uganda, Tanzania kanda ya ziwa, Burundi, Rwanda na Congo, japo kiukweli hakujawahi kuwa na dola la namna hiyo. Hivyo ni siasa za kifashisti tu, kama zile za Adolf Hitler kusema Germans are a Master Race au Wazayuni kusema wao ndiyo binadamu wengine wote ng'ombe.

Bahati mbaya sana, ujinga kama huu huwa unauza sana na wengi hujikuta wameingizwa bila kutegemea na kutoka inakuwa shida. Mfano mzuri kabisa, ni kwamba mgogoro wa DRC kwasisi tunafahamu ni kwamba umeanza hata kabla ya Kagame na Museveni kuzaliwa na hautaisha hata wakiondoka. Paul Kagame hajaivuruga DRC ila anatumia mianya hiyo kujinufaisha. Paul Kagame and Rwanda are not destabilizing DRC, but they just take advantage of the pre-existing conditions.

Huu ugomvi ni wa kimaslahi zaidi kuliko ukabila. Ukabila unatumika kama kigezo tu, lakini zaidi zaidi ni maslahi na madini ya DRC. Ni kama na vita ya Angola 1975-1991, ilikuwa siyo Ukomunisti wala Ubepari, ilikuwa ni madini na maslahi tu, bahati mbaya ukabila ukaingizwa kama moja ya visababishi.

Kuna vijana wa kitanzania, huwa wanatoka kwao Bukoba, Kigoma na Tabora kwenda kabisa kupigana vita DRC wakisema wanalinda watu wao wanaouwawa na wakongo. Hili ni jambo la hatari mno na kipumbavu. Mwaka 2005, vijana wengi wa Kiislamu kutoka Tanzania, walikamatwa Somalia, na wakahojiwa na marehemu Dr Mahiga, wakasema walichukuliwa misikitini na kwenda kupewa mafunzo wakisema kwamba wanapigania dini.

Lakini ukiangalia ukweli vijana hawa walikuwa wameenda kule zaidi zaidi kwasababu za kiuchumi, maana walikuwa wanalipwa na huku nchini walikuwa hawana ajira. Ndilo suala kama hili tulipambana nalo Kibiti mwaka 2017, watu wana maslahi yao lakini wanaamua kutumia mwamvuli wa dini kuingiza vijana wa kiislamu kwenye matatizo yasiyo na kichwa wala miguu mwishowe wakawaponza Waislamu wote wa Wilaya ile ambayo ilifungwa kabisa na mauaji ya kutisha yakaendeshwa na vyombo vya usalama.

Mwaka 2013-2014, ilianza hii minong'ono na Louise Mushikiwabo akamtukana Jakaya Kikwete na kuseme kilekile ambacho CDF alikisema kwamba kuna watu wa nchi jirani wako kwenye nafasi nyeti za serikalini, hivyo hawatatumia nguvu kupigana na Tanzania zaidi zaidi watamwaga fedha. Wajinga wengine wa kule Ngara wakaanza kufurahia, na kilichofuata ni kwamba Wilaya nzima ilizingirwa na Ethnic Cleansing ikaanzishwa kwa kivuli cha Operesheni Kimbunga, kufukuza wahamiaji haramu.

Watu wengi, hasahasa Wanyambo na Wahayo, wakajikuta kwenye Cross-Fire, ya kutaifishiwa mali, mashamba na hata kuuwawa. Watutsi wengi waliokuwepo serikalini wakaitwa na kuanza kufanyiwa Harassment, kwa kivuli cha Security Measures. Kuna wachungaji ni watanzania waliitwa na familia yake nzima na kuanza kuhojiwa, tena siyo mara moja. Kule mpakani wakawa wanafanya kile Trump alikifanya mwaka 2019 kuwatengenisha watoto na wazazi wao. It was a total nightmare.

NAMALIZIA NA MIFANO MIWILI HAI:

Mosi, mwaka 1991, wakati Saddam Hussein anavamia Kuwait, kabila la Bedoons ambao wako hadi Iraq, waliona nchi ya Iraq ndiyo kinawara wao wa kuwarudisha to Former Greatness, waliisaliti nchi yao na kumuunga mkono Saddam Hussein kwenye uvamizi wake haramu wa kumega kipande cha nchi huru. Vita ilipopamba moto na mambo yakawa mabaya kwa Iraq, jeshi la kuwaita likaanza kuchinja Bedoons. Walikuwa wanaenda kijiji baada ya kijiji, na wanaua watu na wengine wakafukuzwa kazi. Vita imeisha tu, serikali ya Kuwait ikawavua uraia Bedoons zaidi ya 50,000 kwa usaliti, mpaka leo wanahangaika.

Pili, wajapani nao hasahasa baada ya kupata maendeleo, hasahasa baada ya kumtandika Urusi (Russo-Japanese War 1905) na Uchina mwaka 1931 (The Invasion of Manchuria) wakaanzisha huu ujinga wa Palingenitic Ultranationalism. Waliamini kwamba wao ni watu wa tofauti, kumbe ni hatua za maendeleo tu ya binadamu ambayo kila jamii hupitia.

Wakajidanganywa mwaka 1941, wakavamia Marekani na kuua watu zaidi ya 2000. Huku wajapani wote waliokuwepo duniani wakishangilia, hasahasa wale waliokuwa ni raia wa Marekani. Kilichofuatia hakikuwa kizuri. Raisi Roosevelt akatangaza Executive Order ambayo ilimtaka kila raia wa Marekani mwenye asili ya Kijapani kufungiwa kwenye A Concentration Camp, kwasababu walionekana wangeweza kufanya uzandiki. Watu zaidi ya 120,000 walikamatwa na kufungiwa ilhali ni raia wa Marekani.

Hili likajirudia kipindi cha Senator McCarthy (The Red Scare), miaka ya 1950's ambaye alifukuza maelfu ya wachina Marekani kwasababu wengi wao walikuwa wanaonesha kuvutiwa mno na sera za kikomunisti za Uchina na kufanya ujasusi na kuhujumu Marekani. Watu wengi walikataziwa kusoma kichina wala kuvaa mavazi ya kichina, huku wengine kama Morris Chang, mwanzilishi wa TSMC wakinyanyaswa sana na kuwekwa Dentention.

====================================================
Kagame na Musseveni wakianzisha ujinga wowote na Tanzania, basi watawaponza watu wengi sana kuanzia Bukoba, Kigoma, Mwanza na Tabora. Kipindi cha vita serikali hutumia Propaganda kuwajaza watu upepo, na moja ya mbinu ni kutumia ukabila kama ilivyokuwa Operesheni Kimbunga, ambayo watanzania wengi walileteana unoko hata mtu na ndugu yake.

Watu kama Bashungwa, Masingilingi, Doto, Mafwele na wengine watapitia kipindi kigumu mno cha kuteswa na kubaguliwa au hata kuhatarisha uhai wao. Vita ya Kagera tu iliwaponza mno Wahaya, baada ya baadhi yao kukamatwa kama majasusi wa Uganda na hakuna anayelizungumzia hili. Wahafidhina kwenye vyombo vya usalama kama kina Mzee Mlawa wakachukulia ni kabila zima, na waliwanyoosha kwelikweli. Ni kwamba tu Mzee Nyerere alikuwa na busara nyingi mambo hayakwenda mlama.
Asante sana.

Kupitia ufafanuzi nimepata majibu mengi ambayo nayakubali. Kila kitu ulichosema kipo kwenye uwezekano wa kutokea na kufanyika.
 
Back
Top Bottom