Mwisho wa Tanzania Pride: JWTZ wadhalilishwa kusubirishwa mpakani huko Rwanda

Asante sana.

Kupitia ufafanuzi nimepata majibu mengi ambayo nayakubali. Kila kitu ulichosema kipo kwenye uwezekano wa kutokea na kufanyika.
Mwijage aliyejifanya ni A Progressive Sympathiser kwa Uganda, alidakiwa kule Lesotho. Ndiyo maana nawaangalia wanyarwanda wa Tanzania humu JF na Twitter wakihubiri propaganda na kuwahadaa watanzania, bila kufahamu kwamba kukichafuka, shingo zao ndiyo zitakuwa za kwanza kabisa kukatwa.

Sijui kwanini hawana akili hawa watu.
 
Vipi Uganda ikiwa chini ya Muhoozi na Rwanda hii ya Kagame zikiungana dhidi ya Tanzania?

Hauoni kuwa hii ni hatari ya mbele tunayopaswa kujiandaa nayo?
Mosi, walishindwa kukaa pamoja baada ya The Ugandan Bush War, ambapo tabaka kubwa baina ya Watutsi wa Uganda na Watutsi wa Rwanda lilionekana, na kupelekea kina Rwigyema na Kagame kuondolewa jeshini na serikalini. Leo hii miaka 40 baadaye kila mtu keshaonja radha ya madaraka unadhani ndiyo wataweza kuungana ??? Kule Kisangani kisa kichaa cha madini Waganda na Wanyarwanda walichinjana kama kuku, na mpaka leo wanatunishiana misuli.

Pili, hakuna uhakika wowote kama Muhoozi atatawala na kuwa Raisi kama baba yake. Kuna watu wengi tu waliopigana na Museveni msituni wanaitamani hiyo nafasi, unadhani kijana ambaye ameletewa kila kitu watamkubalia aongoze nchi kirahisi hivyo , au umesahau ya Mnangagwa (The Crocodile) na Grace Mugabe (Gucci Grace) ambaye aliaminika kwamba ndiyo atakuwa raisi wa Zimbabwe ???

Tatu, taasisi za Uganda ambayo ni nchi yenye ukabila mkubwa mno, hazina uzoefu wowote ule na Peaceful Transition of Power. Viongozi wote wa Uganda kuanzia Mutesa, Obote, Amin, Lule, Binaisa, Muwanga, Okelo na Museveni wameingia kihuni tu. Sasa unaamini kabisa kwamba Muhoozi atapewa tu nchi na kuachwa awe raisi ???

In actual sense, Rwanda na Uganda are more vulnerable politically and security-wise than Tanzania. Countries plagued by ethnic tensions are easy to destabilize. Tanzania took advantage of Ugandan ethnic and religious tension to destabilize the government of Idd Amin, which was more sophisticated in terms of security than the current Ugandan government.

Once you get out of this defensive posture, you'll discover why Kagame has all the rights to be paranoid against Tanzania. All these propagandas are not intended for DRC or SA, but Tanzania. It hurts Kagame's ego, thinking that he is where he is because of Tanzania. If it wasn't IDARA recruiting and training him an Morogoro and Mozambique, he could have been a nobody in Mbarara.

If you know, you know.
 
Shukrani sana kwa nondo murua.

But huoni hofu yeyote if Muhoozi manages to get the Top position?

What about Tutsi's nfluences in the Uganda army? Huoni that Muhoozi can use that influence to be Uganda President after the demise of his father?

What about Kagame being former Intelligence Chief of Uganda mwenye uzoefu na knowledge about Uganda? Don't you see atataka Muhoozi awe Rais kwa Uganda baada ya Baba yake ili nae msaidie mwanae (Ian Kagame) kuwa Rais hapo badae?
 
I salute 🫡 you
 
Mimi ni mtanzania kwa uongozi tulio nao Rwanda inaweza kuichukua nchi nzima.
 
WanaCV za kawaida sana hawafikii hata za makatibu wakuu wetu
Ndugu yangu leta hapa data, tuna mkuu wa mkoa aliyemzaba vibao. Jaji mstaafu warioba . Amesoma kwa vyeti feki halafu unategemea tuwapige M23. Tulikuwa na makamu wa rais ambaye mke wake ni mtu wa Burundi na alikuwa anaenda kusalimia na gari la serikali. Tulikuwa na kanali ambaye ni raia wa Rwanda. Usalama wa taifa wanafocus na uchaguzi badala vitu muhimu.
 
We jamaa unaongea nini mbona kama unakimbizwa hebu kaa tulia ulete habari inayoeleweka.
Ninachojua ukiwa kwenye nchi za watu na ukafuata utaratibu ni jambo jema we ulitakaje kwani?
Au una malengo gani na Watz wenzio?
Ni kweli huna jema na nchi yako zaidi ya hili?
 
Lakini unatakiwa ukumbuke kwamba Israel ni nchi ndogo Sana tena ina idadi ndogo Sana ya watu, lakini nchi hiyo ya Israel inasumhua Sana kupita kiasi katika nchi zote kabisa zilizopo Mashariki ya Kati.
Mosi, Rwanda siyo Israel.

Pili, Israel haiui wala kubagua watu wake kikabila kama Rwanda.

Tatu, Israel ina nguvu kwasababu ina mifumo ya kiutawala inayofanya kazi.

Nne, Israel haiisumbui wala kukalia nchi yoyote Middle East zaidi ya Palestina.

Tano, Israel inakingiwa kifua na mataifa makubwa kama USA, UK na Germany.

Sita, Israel ni moja ya mataifa yanayoongoza kwenye kuzalisha sayansi na teknolojia inayosaidia dunia nzima.
=================================================

NB: Usifananishe Israel na vitu vya kijinga.
 
Wewe akili yako fupi sana. Jw we mtusi hamuiwezi kwa chochote. Wanaenda congo wapumbavu wale wanasalitiana nasaliti majeshi ya kigeni alafu unakuja hapa jukwaani mnajamba Jamba tu. Jw hamuiwezi vamieni Tanzania Kama mlivyofanya congo muone mziki.
Kama Rwanda iliweza kumweka Joseph kabila kuwa rais wa Congo itashinda kuichukua Tanzania. Tuna watu wa Rwanda, Kenya katika sekta kubwa za serikali na Usalama wa taifa upo. Juzi nimemchangia binti mmoja sendoff na baba yake ni mtu mkubwa serikalini. Nikamuuliza mbona ndugu na baba yako siwaoni kwenye group. Akasema group la ndugu ni warwanda kwa hilo hawezi kuwaweka watanzania kwa sababu italeta mkanganyiko. Aliniambia out of respect.
 
Ingawa we ni banys We ni banyamulenge tunakujua, ht hivyo Tanzania haina vita na Rwanda ukiwa kwa watu unaheshimu taratibu zao jeshi letu lina nidhamu ya hali ya juu. Ulitegemea wangefanya nini ndani ya nchi ya watu? Acha utoto.
 
Ingawa we ni banys
 
Nimefanya mazungumzo na baadhi ya Waganda.

Wanasema hofu yao ni kwamba siku Museveni anaondoka itakuwa ni jambo rahisi mno kwa Paul Kagame kumuendesha Muhoozi kwasababu, The Chap is not smart and shrewd like his father, and he's gullible. Kufahamu kwamba Muhoozi au Ian wataweza kutawala kama baba zao inatakiwa tusubiri na kuona kama Rwanda na Uganda zitaka changamoto ambazo zimezikumba nchi zote hasahasa baada ya madikteta kufa. Kuna uzi niliandika kuhusu hili: Shajara ya Madikteta

Lakini tusiamini kwamba kwasababu Ian ni mtoto wa Kagame basi lazima atatawala kama Kagame, au Muhoozi ni mtoto wa Museveni basi naye atakuwa kama baba yake. Mfano hai ni hapo DRC: Kabila Jr si alipewa nchi, ila nini alifanya zaidi ya kuhakikisha anasababisha Bureaucratic Paralysis, au Gabon baada ya Ali Bongo kuachiwa nchi na baba yake Omar Bongo alifanya nini ???

Wote hawa wawili wameondoka kwa fedheha madarakani, huku Kabila akifanyiwa figisu za kutisha na kina Tsishikedi, huku Bongo akipinduliwa na jeshi. Hivyo Rwanda na Uganda ni suala la muda tu, wewe subiri.
 
Ingawa we ni banys
We ni banyamulenge tunakujua, ht hivyo Tanzania haina vita na Rwanda ukiwa kwa watu unaheshimu taratibu zao jeshi letu lina nidhamu ya hali ya juu. Ulitegemea wangefanya nini ndani ya nchi ya watu? Acha utoto.
Sio kesi watu wenye asili ya Rwanda kufanya kazi Tanzania.hata Marekani watu wa nje wapo kwenye taasisi mbalimbali ila tu wasiathiri usalama wa nchi
 
Kagame kasema hamuogopi yeyote.
Na yupo teyari kwa vita anytime
 
U
Mimi ni mtanzania kwa uongozi tulio nao Rwanda inaweza kuichukua nchi nzima.
likuwa hauna haja ya kusema wewe ni mtanzania alafu uijui nchi yako. Rwanda aichukue Tanzania?. Hivi mnaona nchi hii ni nyepesi kiasi hicho eeh?. Una wazo ambalo hata Rwanda hawawezi hata kulifikilia. Watusi mna ujasiri wa kipumbavu sana. Jaribuni Kama haukuzaliwa mkoa mpya alafu congo wapate amani ya kweli. Baada ya Rwanda kuwa mkoa
 
Na hiyo baadaya ya kujenga usaliti ndani ya wacongo wenyewe
 
Ndugu yangu tembea uone wewe ndio hauijui nchi yako. Nchi tunauza wanyama serengeti . Nchi Rais serikalini wamejaa watu kwa sababu ya uislamu na uzanzibari. Nchi kila kitu ni kizimkazi. Nchini kenye radio ni stori za udaku, mpira na ngono kuanzia asubuhi mpaka jioni. Nchi vijana waliobarikiwa kuwa na upeo mkubwa wa kiakili wanaachwa wapambane kivyao. Halafu unategemea tutampiga Rwanda.

Tanzania ilikuwa nchi kubwa sana miaka ya 80, kuna nchi kibao nndani na nje ya Afrika zilituheshimu. Kipindi hicho karibia nchizote za afrika zilijua Tanzania ni nchi kubwa na ya kuheshimika. Tanzania ya leo sio kama ya zamani. Hii nchi imepitwa hadi na Kenya katika kuheshimika kimataifa.Leo kuna makampuni makubwa branch zao za afrika(Nimesema Afrika sio East Afrika) ziko kenya.
 
Fa
Fatilia vizuri usikurupuke Kama ujui kitu?. Huyo kabila mtoto kasoma Tanzania. Usikurupuke kwa vitu usivyovijua. Fatilia baba yake mzee Laurent desire kabila. Kawekwa na nani congo. Mtoto kapewa baada ya baba yake kuuwawa. Usiongee vitu usivyovijua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…