Mwisho wa Tanzania Pride: JWTZ wadhalilishwa kusubirishwa mpakani huko Rwanda

Tumewekeza nguvu kwenye magari, pesa, na wizi wa kura uchaguzi mkuu.
Hayo mengine hayana sana Nafasi!!!

Kagame anajifarijivkwa muda siku watu wakiamua, situation ikiwa worse Kagame na ka land locked πŸ” county kake anapigwa vizuri sana
Naona mnaendelea kujifariji kwa maneno matupu.

JWTZ ijiweke kando na siasa na wanasiasa wa CCM. Wanakoelekea siko.
 
Kuna kitu nimeanza jifunza mkuu tokana hoja yako ila hujafunguka vizuri.

Why nchi za mbali na sio jirani ,ikikupendeza ebu ongeza nyama kidogo
 
Si tunaona kila siku maiti za Tz zinarudishwa kwenye masanduku toka congo, Iddi amini hakuondolewa ni jeshi la Tanganyika ni jeshi la Zanzibar ndio lilitumiliwa na mchonga meno kumuondoa ndugu yao muislamu madarakani, Iddi amini alikuwa kiongozi mzuri sema zilikuwa chuki za julius nyerere kwa waislam, na tanzania vita ile walipata msaada kedekede toka nje dhidi ya kuupiga vita uislam Africa mashariki na kusimamisha kanisa.

Tz haina hata ndege 1 ya kisasa yakivita labda hao mbwa mnaobeba mgongoni na mabegi mazito mgongoni.
 
Hivi wajuvi wa mambo aya ebu nisadieni ,hakuna namna au kutafuta sasababu yoyote ya kuifuta Rwanda iwe moja ya sehema za nchi za Afrika mashariki , naona kama msubufu , shida nini kwamba ana nini cha juu kuliko nchi nyingine ndani ya Afrika mashariki?
 
Acha ujinga wako..
 
Ona mwehu huyu. Unathubutu kumsifia Amin, wakati Bukoba kuna makaburi ya raia na mkuu Hans Pope wa mkoa akikamatwa na kuuwawa Uganda.
 
We mleta mada jichunge sana sana utakalia ya mafuta ya moto sana
 
Nchi inapokuwa na viongozi wapumbavu kila kitu kinakuwa cha kipumbavu
 
UN ndo mfadhiri wa haya yote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…