Mwisho wa Tanzania Pride: JWTZ wadhalilishwa kusubirishwa mpakani huko Rwanda

Tanzania hatuna jeshi , na ccmu wamjisahau sana , wanakula kodi zetu vby hawajengi jeshi , endelea kuleta ushabiki wa kitoto , siku wakitua Tz ndo utaelewa
 
Waislam siku hz mmetiwa uchiz na nan ? watu wa kagera wakikusikia bas watakutoa linda , hizi dini mliletewa ila zimewafanya wehu
 
Huyu Amiri Jeshi wa sasa anatudhalilisha.Hivi lile Jeshi la JKN liliichukua kampala na kupigana kote huko kusini mwa Africa liko wapi?Soon kwa mwendo huu tunaweza sumbuliwa na waasi wa Mtwara toka msumbiji tusipokuwa makini 🤔
 
Nchi gani imewahi kushinda vita kwa kutumia drones?

Umeambiwa TZ haina ballistic missiles?

RW kuipiga TZ ni ndoto za mchana. Kikubwa hapa ni unyonge wa TZ sababu mmefundishwa unyonge na serikali yenu. Mbongo hata kazi hawezi kuomba akisikia anashinda na mtu yeyote wa nje anajua tayari kashindwa, hamjui lugha, hamna confidence, hamna maarifa.
 
Rwanda ni nchi ndogo lakini rais wake ana akili-kubwa. Kushinda vita huwa inahitajika akili-kubwa kama za Kagame au M23 siyo propaganda kama propaganda za ma-ccm.
 
M23 wameshinda vita?

Lini Congo imewahi kutulia?
Binafsi nakiri kuwa tuna ombwe la uongozi Afrika Mashariki, natamani Mwalimu angekuwa Rais anashuhudia haya, bila shakha mpaka sasa kwa kizazi cha kina Nyerere Rwanda isingekuwa na haki ya kupisha chochote katika anga letu au bandari yetu.
 
Somehow you are wrong!

Wanajeshi wetu wanapaswa kupelekwa kwenda kulinda amani katika nchi zingine lakini muda wote kabisa wanapaswa wasimame katika Upande wa HAKI. Wasiende huko ili kwenda kuwatetea au kuungana na Watawala wa huko ambao ni Wadhalimu. Ujumbe wa Kulinda Amani usititumwe ili kwenda kusaidia au kuungana na upande wa Wadhalimu.

Daima Tukumbuke kwamba 'ukiungana na Wadhalimu basi tambua kwamba Wapenda HAKI hawatakuwa upande wako.'
 
Binafsi nakiri kuwa tuna ombwe la uongozi Afrika Mashariki, natamani Mwalimu angekuwa Rais anashuhudia haya, bila shakha mpaka sasa kwa kizazi cha kina Nyerere Rwanda isingekuwa na haki ya kupisha chochote katika anga letu au bandari yetu.

Mkuu, Rwanda ametukosea nini hadi tusitishe ushirikiano nao? So far sioni cha ajabu alichofanya kinachotuhusu sisi moja kwa moja. Nieleweshe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…