Mwisho wa Tanzania Pride: JWTZ wadhalilishwa kusubirishwa mpakani huko Rwanda

Hata mizinga ya kisasa hakuna.
Kwa dunia ya sasa ucipo kuwa na 155mm self propelled howitzer.
Daaa ni hatari sana
Kwani 155mm ndio mizinga ya kisasa?
Unaijua Iko mzigoni kwa muda gani sasa au ndio umeisikia Ukraine

Unaijua D30
 
Attachments

  • GHRa5wtW4AAdnSr.jpeg
    GHRa5wtW4AAdnSr.jpeg
    113 KB · Views: 1
Mkuu naona ujanielewa ,
Pole ila.

Huku tz mpk trillion 1 za jeshi zinapotea hivi hivi
Taarifa zinazotoka kwa CAG kitaalamu huwa tunaziiita AUDIT QUERIES, ambapo kiuhalisia TPDF huwa haifanyiwi ukaguzi, bali MINISTRY OF DEFENSE. Ushawahi kutoka mtafaruku hivihivi kipindi cha Magufuli, ambapo kuna mikataba ilisema TPDF imenunua silaha asilimia 20% tu huku asilimia 80% vikiwa ni vitu vidogo-vidogo (Miscellaneous). Mzee akafura kwelikweli, ila baadae akafahamu kwamba mambo ndivyo sivyo akauchuna.

Yaani kwamba, wewe MTANZANIA wa kawaida, unataka ufahamu Trilioni 1 za TPDF zinaenda wapi kama ambavyo unafahamu fedha za WIZARA YA MAJI ??? Halafu, unaposema Trilioni 1 nzima imepotea napata wasiwasi mkubwa na uelewa wako. Hivi Trilioni 1 unaifahamu kweli ndugu yangu, hadi ipotee kirahisi kwenye mifumo ambayo iko INTERGRATED kama Tanzania ???

Kukupasha tu, kina Robert Msalika Makungu (D-DGIS) walipojaribu kuficha matumizi ya holela ya Trilioni 1 na vijana wake wa TISS, Prof Assad akaiona kirahisi na Msalika ikawa kwisha habari yake. Mnaposema Trilioni 1 ya jeshi inapotea, napata shida mno kuelewa. Maana hiyo hela mpaka likapewa jeshi, kuna mlolongo mzito na mrefu. Nakubali kuna wizi, lakini hela huwa kiwango kikubwa hivyo huwa hazipotei kirahisi, hasahasa kwenye vyombo vya usalama.

Mnapoifananisha Tanzania na nchi jirani na kuikandia pia, napata shida na uelewa wenu. Nani amekwambia kwamba Rwanda na Uganda hakuna rushwa jeshini ??? Caleb Akandwanaho a.k.a Salim Salehe alistaafishwa jeshini na kaka yake Museveni kwasababu ya kupiga pesa ndefu, yeye na wenzake. Hadi Museveni aliona aibu yani. Hapa Tanzania kina General Kombe waliwahi kugusa baadhi ya vipesa na kufanya matumizi ya kiholela, kesho tu mambo yakafika Msasani kwa Mzee Mchonga, kombe akatolewa jeshini na kupelekwa kwingine.

Mwaka 2001, kipindi cha Donald Rumsfield zilipotea USD Trilion 2, ambazo ni sawa na Trillion 6000 za kitanzania kule PENTAGON, na mpaka leo hazijulikanai zilipo, ila mwaka 2019, ikafahamika kwamba vita ya Afghanistan aligharimu USD Trilion 2. So Go Figure.

NB: Nakubali Tanzania kuna madhaifu, na una haki ya kulalamika. Lakini huu ujinga wa kuamini kwamba Tanzania is Abyss while Kenya, Uganda and Rwanda are Paradise huwa unanishangaza mno. Mtu mwenye uelewa atafahamu kabisa kwamba EAC nzima kumejaa mataifua yanayonuka RUSHWA, UJINGA na UMASIKINI, hakuna wa kumcheka wala kumvimbia mwenzake.
 
Comrade,

What you should know is that, by almost 85%, our security organs have been compromised by the rulling party. The top in the list are TISS and TPF.

The only institution which was free from the list for a long time was TPDF but the situation changed during Magufuli era.

It was at that time where we started seeing CDF at the State House making Public announcements. It was at time time we started seeing our soldiers doing " Usafi" by orders of RC's and DC's for the purpose of intimidating Opposition/ Tanzanians demanding genuine political rights.

So to say we are still and by large a Security State is still debatable.
Even the DGIS doesn't know all the Directorates within TISS, how come you know that 80% of it has been compromised ???
 
So you want to tell me that you don't know that the institution has been largely involved in CCM affairs including rigging elections in favour of CCM?
 
Since its inception, TISS has always been involved with CCM.

Not so cool, but that's a cold truth as per this constitution.

It kept Nyerere in Power.

Shook down the government of Mwinyi.

Then it took initiatives to kill the competition with CCM and Install Mkapa.

It then made a huge mistake of handling the Presidency to Jakaya and MTANDAO

It helped nurture the rise of CHADEMA but couldn't allow it to The Presidency.

I don't like the fact that it is too political, election rigs, gerrymandering and murder.

BUT AGAIN, do you think any wise MEN could have handed over a country to the likes of MBOWE, SLAA and ZITTO ??? If you think so, then I'M ENDING THIS DEBATE and retire to my MAN CAVE.
 
Your last but one paragraph says it all!

That's where you get my point on the institution being compromised!

I'm glad that we all speaking the same language!
 
Taarifa zinazotoka kwa CAG kitaalamu huwa tunaziiita AUDIT QUERIES, ambapo kiuhalisia TPDF huwa haifanyiwi ukaguzi, bali MINISTRY OF DEFENSE. Ushawahi kutoka mtafaruku hivihivi kipindi cha Magufuli, ambapo kuna mikataba ilisema TPDF imenunua silaha asilimia 20% tu huku asilimia 80% vikiwa ni vitu vidogo-vidogo (Miscellaneous). Mzee akafura kwelikweli, ila baadae akafahamu kwamba mambo ndivyo sivyo akauchuna.

Yaani kwamba, wewe MTANZANIA wa kawaida, unataka ufahamu Trilioni 1 za TPDF zinaenda wapi kama ambavyo unafahamu fedha za WIZARA YA MAJI ??? Halafu, unaposema Trilioni 1 nzima imepotea napata wasiwasi mkubwa na uelewa wako. Hivi Trilioni 1 unaifahamu kweli ndugu yangu, hadi ipotee kirahisi kwenye mifumo ambayo iko INTERGRATED kama Tanzania ???

Kukupasha tu, kina Robert Msalika Makungu (D-DGIS) walipojaribu kuficha matumizi ya holela ya Trilioni 1 na vijana wake wa TISS, Prof Assad akaiona kirahisi na Msalika ikawa kwisha habari yake. Mnaposema Trilioni 1 ya jeshi inapotea, napata shida mno kuelewa. Maana hiyo hela mpaka likapewa jeshi, kuna mlolongo mzito na mrefu. Nakubali kuna wizi, lakini hela huwa kiwango kikubwa hivyo huwa hazipotei kirahisi, hasahasa kwenye vyombo vya usalama.

Mnapoifananisha Tanzania na nchi jirani na kuikandia pia, napata shida na uelewa wenu. Nani amekwambia kwamba Rwanda na Uganda hakuna rushwa jeshini ??? Caleb Akandwanaho a.k.a Salim Salehe alistaafishwa jeshini na kaka yake Museveni kwasababu ya kupiga pesa ndefu, yeye na wenzake. Hadi Museveni aliona aibu yani. Hapa Tanzania kina General Kombe waliwahi kugusa baadhi ya vipesa na kufanya matumizi ya kiholela, kesho tu mambo yakafika Msasani kwa Mzee Mchonga, kombe akatolewa jeshini na kupelekwa kwingine.

Mwaka 2001, kipindi cha Donald Rumsfield zilipotea USD Trilion 2, ambazo ni sawa na Trillion 6000 za kitanzania kule PENTAGON, na mpaka leo hazijulikanai zilipo, ila mwaka 2019, ikafahamika kwamba vita ya Afghanistan aligharimu USD Trilion 2. So Go Figure.

NB: Nakubali Tanzania kuna madhaifu, na una haki ya kulalamika. Lakini huu ujinga wa kuamini kwamba Tanzania is Abyss while Kenya, Uganda and Rwanda are Paradise huwa unanishangaza mno. Mtu mwenye uelewa atafahamu kabisa kwamba EAC nzima kumejaa mataifua yanayonuka RUSHWA, UJINGA na UMASIKINI, hakuna wa kumcheka wala kumvimbia mwenzake.
Unajidanganya 😁😁😁😁,
Jwtz bajeti Yao ni kubwa sana Tena sana, na wanajeshi wanapromotion kibao.

Au umeolewa na jamaa aliyesema Jwtz ni la 6 kwa ubora duniani

Mimi licha ya kuwa na bajeti kubwa ila TZ hatuna siraha ya kisasa Mzee baba.
Acha kujidanganya.
 
Nikupeshe taarifa ufisadi wa Tanzania ni tofauti na wa marekani , rwanda na Uganda na hata Kenya.

Na ukweli ni kwamba SI rahisi kufanya corruption kwenye serikali ya kagame hio nakupinga sana Tena sana.

Ufisadi wa jeshini usa hauthili jeshi au taasisi ya usa mjomba. Hilo alipingiki.
Ukitaka kujua nakufafanulia.
 
Ila huku bongo mjenda anakaa kwenye kitongo Cha kuagiza vifaa vya jeshi yeye na wenzie wanapokea fedha kwa kazi hio, percentage flani inapigwa
 
Since its inception, TISS has always been involved with CCM.

Not so cool, but that's a cold truth as per this constitution.

It kept Nyerere in Power.

Shook down the government of Mwinyi.

Then it took initiatives to kill the competition with CCM and Install Mkapa.

It then made a huge mistake of handling the Presidency to Jakaya and MTANDAO

It helped nurture the rise of CHADEMA but couldn't allow it to The Presidency.

I don't like the fact that it is too political, election rigs, gerrymandering and murder.

BUT AGAIN, do you think any wise MEN could have handed over a country to the likes of MBOWE, SLAA and ZITTO ??? If you think so, then I'M ENDING THIS DEBATE and retire to my MAN CAVE.
1. Right now tiss s the one controls ccm..
2. It s foolishness to think Tanzania's challenges r much better than Kenya..
3. Does ccm have any leader to rank Dr. Slaa..n get t clear this nation s not tiss property..mtu yeyote mwenye uwezo anaweza kuwa Rais na si sawa kudhani nchi anapewa mtu mmoja km mali yake, ndio maana ya kutaka katiba mpya..kufuta huo umangimeza tiss au jeshi wamejipa.
4. Kama kuna taasisi ambazo zimeiharibu nchi hii ni tiss na hawa ndio hawataki katiba mpya not ccm..sabb wao ndio first loser mabadiliko ya katiba ya kweli yakifanyika..
5. Hivi security ya nchi ni vile watu wanakula na kulala na kwenda kazin na kurudi nyumbani..??? hii ni tafsiri ya kijinga kabisa! Bei ya vitu inapanda hata sabb haieleweki, utakatishaji pesa ni wa hali ya juu na serikali ipo..uwekezaji wa kijuha tena wa wazi, miradi kila mahali pasina kujali hali ya uchumi, mikopo hata isiyokuwa na faida kwa nchi..viongozi hata wanajeshi kujiingiza kufanya biashara ndogo ndogo ambazo raia wanaolipa kodi zinazolipa mishahara ya viongozi na wanajeshi wanafanya...yote hayo na yapo mengi ni kielelezo kuwa nchi haina security wala serikali haioni suala la security kuwa ni kipaumbele cha kwanza..kinachofanyika ambacho hata huyu anakitaja ni kubrain wash watu kwamba national security iko guaranteed, while not..na kuongoza nchi kwa mazoea.
 
Constitutional Reforms to create strong institutions that can never be compromised by politicians
Lakini kwa nini tunasema kipindi delicate kama hiki?. Sio kuwa moto uliowashwa unapangwa kuwasha misitu yote?..what I see ni kuwa yafaa kuwa watulivu kama twaipenda nchi. Tumejifunza sasa.
 
1. Right now tiss s the one controls ccm..
2. It s foolishness to think Tanzania's challenges r much better than Kenya..
3. Does ccm have any leader to rank Dr. Slaa..n get t clear this nation s not tiss property..mtu yeyote mwenye uwezo anaweza kuwa Rais na si sawa kudhani nchi anapewa mtu mmoja km mali yake, ndio maana ya kutaka katiba mpya..kufuta huo umangimeza tiss au jeshi wamejipa.
4. Kama kuna taasisi ambazo zimeiharibu nchi hii ni tiss na hawa ndio hawataki katiba mpya not ccm..sabb wao ndio first loser mabadiliko ya katiba ya kweli yakifanyika..
5. Hivi security ya nchi ni vile watu wanakula na kulala na kwenda kazin na kurudi nyumbani..??? hii ni tafsiri ya kijinga kabisa! Bei ya vitu inapanda hata sabb haieleweki, utakatishaji pesa ni wa hali ya juu na serikali ipo..uwekezaji wa kijuha tena wa wazi, miradi kila mahali pasina kujali hali ya uchumi, mikopo hata isiyokuwa na faida kwa nchi..viongozi hata wanajeshi kujiingiza kufanya biashara ndogo ndogo ambazo raia wanaolipa kodi zinazolipa mishahara ya viongozi na wanajeshi wanafanya...yote hayo na yapo mengi ni kielelezo kuwa nchi haina security wala serikali haioni suala la security kuwa ni kipaumbele cha kwanza..kinachofanyika ambacho hata huyu anakitaja ni kubrain wash watu kwamba national security iko guaranteed, while not..na kuongoza nchi kwa mazoea.
Ndugu watanzania tunaongoza kwa ujinga utawaaambia hawatakuelewa. Wanaijeria wanatucheka kila siku eti matajiri wetu ni wahindi na waarabu. Nchi ya kiafrika inazalisha mabilionea wa kihindi na kiarabu halafu tunasema nchi yetu ina uwezo ? Haya hivi unajua Mo analipwa ruzuku na serikali na huyo huyo analipa graduate laki tatu kwa mwezi ? Hivi unajua waarabu ambao hawajachangia hata mia kwenye uhifadhi walipewa wanyama wa serengeti ? Usalama wa taifa upo wapi ? Hivi unajua wamasai wnafukuzwa seerengeti kwa sababu eneo lao ashauziwa mwekezaji wa hoteli. Eneo la wamasai limeuzwa kwa sababu wanyama wako tuned kutopita kwenye makazi ya wamasai ndio wawekezaji wanaona ni pazuri kujenga hoteli. Kama Rais na uongozi wa nchi hawajali wananchi je Jeshi litatoa wapi morali ? Tuamke tumeshapigwa jamani na Kagame akiamua anachukua nchi huo ni ukweli kabisa wa asubuhi na mapema. Wajinga watabisha lakini huo ndio ukweli.

Mimi niko ujerumani hivi unajua Raia wa marioutus anaenda Schengen na Uk bila kuomba visa ? Hivi ni vitu inabidi tukae chini na kujiuliza. Tunashindwaje tunafeli wapi je kila sekta inafanya kazi inavyotakiwa ?
 
..kabla hata ya kupata morali, taasisi muhimu ya pekee ya kutetea WANANCHI pale Nguzo za utawala (serikali, bunge na mahakama) zinapofeli kusimamia majukumu yao kikatiba..Jeshi pekee ndio MTETEZI wa wananchi, nadhani Mwl. alimaanisha hivyo hata kwa kuliita jeshi jina hilo..Jeshi la Wananchi..na siku hizi adui au maadui wa nchi si lazima watoke nje ya nchi na kuvamia nchi kupitia mipaka..maadui wa wananchi ni VIONGOZI wao ndio sababu ya wanan hi kuwa masikini na wanyonge na hivyo Jeshi linalazimika kusimama kuwatetea wanan hi dhidi ya viongozi wa aina hii tulio nao..mambo hayo ya kuondoa wamasai kwenye ardhi ya babu zao ni uvamizi dhidi ya wananchi! Lkn hali si hivyo, jeshi letu limemezwa na wanasiasa..mtu amekuwa jeshini miaka zaidi ya 40 anastaafu unamteua kuwa mwenyekiti wa bodi ya taasisi ya serikali kwa lengo gani hasa km si kumfanya asiwe huru kukosoa mabaya wanayofanyiwa wananchi na serikali? na bahati mbaya wanajeshi wamekubali hila hii..nani ni MTETEZI wa wananchi sasa dhidi ya viongozi wabaya...???? Badala ya kuwaona majirani kama tishio la usalama wa nchi, tishio lipo hapa hapa ndani! Tishio wala si Rwanda au Uganda au hao watusi au wakimbizi..tishio ni viongozi wetu hapa hapa ndani!
 
Sasa kama Rwanda wana watu serikalini unadhani watashindwa kujua data za hapa. Hivi unajua waliokuwa wanamlinda Jiwe walitoka kwa Kagame ? Unakaa kaa tu bila kufuatilia nchi yako.Mimi navyokuwambia kagame anaweza kuichukua Tanzania sikutanii mtanzania mwenzangu. Ni suala la kuamua tu.

Hili lililotokea iwe kengele kwetu tuamke na tuchukue hatua.
aisee ww katika wajinga haumo ww linalokufaa n taira kabisaaa.......fanya tu urud kwenu huko rwanda
 
Taarifa zinazotoka kwa CAG kitaalamu huwa tunaziiita AUDIT QUERIES, ambapo kiuhalisia TPDF huwa haifanyiwi ukaguzi, bali MINISTRY OF DEFENSE. Ushawahi kutoka mtafaruku hivihivi kipindi cha Magufuli, ambapo kuna mikataba ilisema TPDF imenunua silaha asilimia 20% tu huku asilimia 80% vikiwa ni vitu vidogo-vidogo (Miscellaneous). Mzee akafura kwelikweli, ila baadae akafahamu kwamba mambo ndivyo sivyo akauchuna.

Yaani kwamba, wewe MTANZANIA wa kawaida, unataka ufahamu Trilioni 1 za TPDF zinaenda wapi kama ambavyo unafahamu fedha za WIZARA YA MAJI ??? Halafu, unaposema Trilioni 1 nzima imepotea napata wasiwasi mkubwa na uelewa wako. Hivi Trilioni 1 unaifahamu kweli ndugu yangu, hadi ipotee kirahisi kwenye mifumo ambayo iko INTERGRATED kama Tanzania ???

Kukupasha tu, kina Robert Msalika Makungu (D-DGIS) walipojaribu kuficha matumizi ya holela ya Trilioni 1 na vijana wake wa TISS, Prof Assad akaiona kirahisi na Msalika ikawa kwisha habari yake. Mnaposema Trilioni 1 ya jeshi inapotea, napata shida mno kuelewa. Maana hiyo hela mpaka likapewa jeshi, kuna mlolongo mzito na mrefu. Nakubali kuna wizi, lakini hela huwa kiwango kikubwa hivyo huwa hazipotei kirahisi, hasahasa kwenye vyombo vya usalama.

Mnapoifananisha Tanzania na nchi jirani na kuikandia pia, napata shida na uelewa wenu. Nani amekwambia kwamba Rwanda na Uganda hakuna rushwa jeshini ??? Caleb Akandwanaho a.k.a Salim Salehe alistaafishwa jeshini na kaka yake Museveni kwasababu ya kupiga pesa ndefu, yeye na wenzake. Hadi Museveni aliona aibu yani. Hapa Tanzania kina General Kombe waliwahi kugusa baadhi ya vipesa na kufanya matumizi ya kiholela, kesho tu mambo yakafika Msasani kwa Mzee Mchonga, kombe akatolewa jeshini na kupelekwa kwingine.

Mwaka 2001, kipindi cha Donald Rumsfield zilipotea USD Trilion 2, ambazo ni sawa na Trillion 6000 za kitanzania kule PENTAGON, na mpaka leo hazijulikanai zilipo, ila mwaka 2019, ikafahamika kwamba vita ya Afghanistan aligharimu USD Trilion 2. So Go Figure.

NB: Nakubali Tanzania kuna madhaifu, na una haki ya kulalamika. Lakini huu ujinga wa kuamini kwamba Tanzania is Abyss while Kenya, Uganda and Rwanda are Paradise huwa unanishangaza mno. Mtu mwenye uelewa atafahamu kabisa kwamba EAC nzima kumejaa mataifua yanayonuka RUSHWA, UJINGA na UMASIKINI, hakuna wa kumcheka wala kumvimbia mwenzake.

tanzagiza mnadanganywa na kijidanganya sana, tanzagiza is not good in anything kipi kinakufanya uamini iko vizuri kwenye military? hao watu wa military wanatokea wapi? kwa mfumo upi wa elimu? kwa efficiency ipi iliyoonyeshwa popote hadi uamini tanzagiza kuna hiyo military yenye hizo sifa?

ndege imeanguka ziwani military imeshindwa kuokoa wanatumia kamba, meli ilizama 100 meter from sea shore watu wamekufa navy au jeshi la wana maji walikuwa wapi kuokoa watu? msaada ulitoka south afrikan navy halafu kutwa nzima mnasifia, mnasifia nini ?
 
aisee ww katika wajinga haumo ww linalokufaa n taira kabisaaa.......fanya tu urud kwenu huko rwanda
Huko Congo hatujaanza kwenda mwaka jana, tulianza kwenda toka miaka 10 iliyopita. Je jeshi letu limeweza kumaliza tatizo ? Ukweli unauma we endelea kutetea ujinga Tanzania sio ya miaka ya 80 au 70 . Hii siyo Tanzania iliyowasaidia Ghana, Namibia, Msumbiji Afrika kusini na Biafra katika kupambania uhuru. Tanzania hiyo ilishakufa zamani sana sasa tuna jeshi ambalo kanali kaacha kikosi anakimbia kupitia mpaka wa Rwanda. Mabasi ya jeshi yanatumika kubeba watu kwa ajili ya mkutano mkuu wa CCM are we serious ?Inabidi tuamke hii ni kengele kubwa sana.
 
Back
Top Bottom