Sio kweli, bro kila siku serikali inakosolewa wala hakuna tabu.
Hata ukiwa na ushahidi utaupeleka wapi, unajua nguvu ya dictator?Ahaaa, malalamiko ambayo hayana ushahidi.
Uwezo wenyewe wakuingia msituni huna kabisa kama hata kuingia barabarani umeshindwa itakuwa msituni ambako kuna simba wakali??!!
Hujui kitu. Ningekuwa najadili na kina baregu;bashiru tungeelewana.Huu ubishi ndio ulisababisha mmeshidwa.
Ipo wazi kamanda,mnatakiwa mkosoe kwa staha,kama lugha ya uchochezi itatumika,hapo chochote kinatokea.Labda serikali ya Kikwete. Umewahi kusikia mjadala wowote kwenye vituo rasmi vya habari kama TV, Redio nk wakijadili against serekali hii? Tuko tunaona wala sio tujahadithiwa boss. Ni vyombo vingapi vya habari vimefungiwa na kupigwa faini kwasababu ya kumkosoa yesu?
π€«Hujui kitu.Ningekuwa najadili na kina baregu;bashiru tungeelewana.
Kichwa cheupe hicho kama mvi za lowasa.
Nini msimamo wako?Mwanachama alikiisha ondoka chamani hatakiwi kutiliwa maana tena, sababu sio wako hasa wenye kuhamia CCM mara nyingi huwa hawarudi.
Lakini kuna wanachama walioondoka waliniuma kwa michango yao walioitoa kwenye chama.
Sio wote walio kihama chama walikuwa hovyo kabisa, wapo ambao kila chama watakacho kwenda watatoa michango ya kukisaidia chama.
Na wapo ambao hawahami tunao lakini ingetokea wamehama chama hakito sikia upungufu kwa vyovyote vile.
Pamoja na matusi lakini heche alikula kichapo cha mbwa koko kutoka kwa waitara.Kwa "akiri" zako unaamini alishinda kihalali?!
Eti Waitara anajua kubadili upepo wa kisiasa hapa Tanzania, sasa kwanini akakimbia Ukonga?
Nahisi ulikuwa msukule umeachiliwa juzi urudi duniani.
Kitendo cha kuhama Ukonga na kwenda Tarime kuivuruga ngome ya Cdm ndio kujua kubadili upepo wa kisiasa.Kwa "akiri" zako unaamini alishinda kihalali?!
Eti Waitara anajua kubadili upepo wa kisiasa hapa Tanzania, sasa kwanini akakimbia Ukonga?
Nahisi ulikuwa msukule umeachiliwa juzi urudi duniani.
Mngebakia tu na kiswahili chetu.I know much it pains madam.
Tatizo nini?π€£π€£π€£π€£ππππποΈποΈποΈMngebakia tu na kiswahili chetu.
Amandla...
Waitara alimzaa Heche, Waitara amemzika Heche. ZFZMWCCMAliposema anaenda kugombea jimbo la Tarime vijijini wanachama na wafuasi wa Chadema walimbeza, wengi walisema ni mlevi na anakwenda kupoteza ubunge.
Lakini hii yote ilikuwa ni sababu Mwita Waitara alikuwa ametoa siri nzito juu ya namna Kamanda Mbowe alivyotafuna zaidi ya bil 9 mali ya chama,ambazo zilikuwa michango ya wabunge na ruzuku ya Chadema walihamia Ccm.
Zikabaki stori za chuki na vijembe,Oo huyu jamaa ni mlevi,hana lolote,alikuwa analewa kwa mama Zakaria gongo! Kwani mtu kunywa bia kwa afya yake ni kosa?
Alipohamishia kambi Tarime na kufanya mikutano ya ndani, Chadema iliyeyuka kama barafu kipindi cha jua,maelfu ya wanachama wa Chadema na iliyokuwa ngome ya Chadema walihamia Ccm.
Naweza kusema kitendo cha Chairman mbowe kumpuuza Mwita mpaka akahama Chadema ni pigo kubwa sana kwa Chadema,maana namna alivyobaragaza Chadema kuanzia ngazi ya taifa mpaka kanda ya Tarime kuporomoka ni hatari tupu.
My take ,Mwita Waitara ni mmoja wa genius hapa Bongoland maana anajua namna ya kubadili upepo wa siasa za hapa Tz,hata kama mnachukia kama mambo yakizidi sio mbaya mkimtafuta kwa ushauri.
Sio kila ukitakacho unakipata. Wapo ambao bado walikuwa na msaada kwa chama,Nini msimamo wako?
Are you serious?!Cha kushangaza ni kwamba hata baada ya Mwita kuondoka Chadema imeendelea kuwa imara?!
πΆοΈLadies free
Mbowe anasema kukua kwa chadema ni kama safari ya treni toka Dar kwenda Kigoma. Vituo vya hapo katikati watashuka na kupanda wengi. Anachosahau ni kuwa ile aliyoita kubadili gia ilikuwa sawa na kuiteka treni pale Kaliua na kuielekeza Mpanda badala ya Kigoma ilikokusudiwa.Sio kila ukitakacho unakipata. Wapo ambao bado walikuwa na msaada kwa chama,
wamekwisha ondoka hakuna kurudi nyuma, wameondoka wangapi?, na Chama kitarudi nyuma mara ngapi?
Kitu cha maana kukijuwa ni kuwa ukubwa wa chama ni wingi wa wanachama, na ndio wapiga kura.