Mwizi kachomwa moto muda huu Kariakoo

Hao wamechoma mwizi wao na wewe kama unaona unaibiwa hayo mabilioni nenda kawachome kwani Kuna mtu kakukataza
 
Ungethibitisha Suratul Atawrati ipo katika juzuu ya ngapi kwenye Quran ingekuwa bora zaidi kuliko kuleta porojo ambazo hazina maana.
Madai yako pia kuwa mimi nimesoma TZ ni madai ya kufikirika ila sio ya kusadikika kwa sababu hunijui! Pia madai yako kuwa dini zimeletwa na waarabu na wazungu ni dalili kuwa wewe ni mpagani usiyeamini uislamu wala unaswara.
 
Mkiendelea kuiba mtachomwa sana moto. Hao kina madelu nenda kawachome wewe kama una ushahidi
 
Wewe umesomea nchi gani ambao msahafu wao una sura inaitwa Suratul Al tawrat. Mimi nimesomea hapa Tanzania miji tafautitafauti na pia Cairo nchini Misri katika chuo Cha Al Azhar lakini huo msahafu uliosoma wewe Al Azhar hawana, sijui mwenzangu msahafu huo u eutoa nchi gani ? Au ni msahafu wa TELAVIV kwa Lwetanyahu?
 
Jinga sana wewe inaonekana ni jizi yaani mtu afe kisa jizi limemuibia halafu useme udhaifu wa mtu shenzi asingemuibia angepata presha Kwa huo mda
Wewe ndio hutumii akili unatumia mihemuko ,huwezi kuua kwa kila kosa unalofanyiwa hisia na hasira inapunguza uwezo wa kufikiri , wewe ndio hukoseagi? Be reasonable. Mtu yoyote anayeendekeza hasira hasira huyo akili kisoda
Akili zetu na ukomavu wetu unapimwa katika mambp mengi kubwa ni uwezo wetu wa kidhibiti hasira na kusamehe, grow up
 
Kama mwizi ni wewe mkuu Mimi nimekulia maadali Bora sijawahi kuiba Cha mtu na wazazi wangu walikua wanajitosheleza vizuri sana kunihudumia
HONGERA sana kwa hilo. Pia muombe Mungu awaongoze watoto na wajukuu zako wasijejiingiza katika tabia za wizi na udokozi.
Ila ukweli watanzania wengi ni wezi.
Wengine ni waheshimiwa wakubwa wanaoshinda ndani ya suti nzitonzito lakini ni wezi wa raslimali za taifa huku wakijipangia mishahara minono.
 
Kwa maswali yako dhaifu unauliza basi ni dhahiri wewe ni mwislam jina na mola mlezi hakutambui.

Kwa maswali yako dhoofu basi ni kielezo ya kwamba wewe hujasoma dini vyema na kuielewa.
 
Juzi naamka asubui nyumbani nakuta taa ya nje wameiba dah wezi wanatia hasira sana sasa mtu katoka huko alikotoka kapita na taa sasa najiuliza taa ya elfu tatu yeye ataenda uza shingapi dah wezi wanatia hasira sana wacha tu wawachome amna namna hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…