Mwizi maarufu wa Kawe/Mbezi Beach 'Minyembe' auawa na Wananchi

Mkuu usiwe kama Trump, unapoleta habari jaribu kuleta na ushahidi. Wengine tuna usongo na huyo dogo, tunataka kuona picha yake kama kweli kafa au vipi.
 
Umenikumbusha enzi nasoma chuo nikiwa nimepanga pale Mwananyamala, kuna jamaa mmoja alikuwa na sura yenye ngeo nyingi sana hadi kuna kipindi nilikuwa namuogopa hata kukutana naye.
Kuna siku huyo jamaa nikampita amekaa na wenzake wawili daah ile sura ikaniangalia kidogo tu nianze kukimbia😂😂 jamaa alikuwa na sura moja hivi ilikuwa inatisha Asee..!
Siku hiyo sijui alikuwa ananisoma tu, nimetoka zangu chuo mida ya saa 12 jioni. Nililala kidogo na baadae nikaamka, yaani ilikuwa kama nimeshituliwa na mtu. Nilikuwa na Tablet yangu Samsung 10.1, simu kubwa niliyo kuwa nayo nikaiacha ndani si nikatoka home nikapita chochoro moja nitokezee sokoni kuna sehemu walikuwa wanauza chakula ..! Si nikapigwa robbing moja hiyo na ngumi za usoni nyingi nyingi hata sijui nini kilitokea basi nikawambia chukueni simu na elfu moja ipo mfuko wa nyuma 😅😅😅😅😅. Alfu jamaa wakatoweka
Nikaapa siku akikamatwa kibaka namimi nitapiga jiwe hata kama nina safari na usafiri wangu nitasimama nimpe jiwe hata la uso shenzaoo
 

Mkuu mbona unaharaka ya kufika unakimbizwa na minyembe kwani ? andikq taratibu pole pole
 
Lack of PICTURES ineharibu uzi ninavyojua jamaaa akipokea kichapo lazima watu walirecord
 
We ulimpiga mawe mangapi?
 
Safi sana....Ulia mbali mijizi kama hiyo.....
 
Nuhu mjumbe upo wapi?
 
Umenikumbusha enzi za MADOTO nae alikua mwizi balaa, usiku na mchana kweupee na alikua akiogopeka balaa
 
Dogo alikuwa ninja htr, kaacha mke mwenye ujauzito leo pale kwao masela kibao yaan dah wanapiga nyimbo ya daz nundaz kalale pema peponi kamanda, walikuwa na Kundi lao wanajiita Israel dah sio poa dogo rama, niliwahi mkuta asubh na simu kali sn mitaa ya Africana akauza elfu 30, dogo mama yake alikuwa anamkingia kifua sn.
 
MKUU NIMETOKA PALEEE HATAREEEE IMEBIDI TUOMBE MSAADA KESHOO MAZIKONII SIO KWA BAJAJI ZILE ZINASHUSHAA WATU KUMI BAJAJI.MOJA BANGI MTU AISEE

ANGALIZO
MPAKA SASA WANAHAHA KUZIKA.LUVENTRY KUMEJAAA WAMEAMBIWA KUZIKA PALE EFM KWA MBELE WANATAKA KUGOMA SO TUNAOMBA TU POLISI KAWE MSIRUHUSU HUYU MHUNI AZIKWE PALE MAANA WENGINE TULIKUMBUKA MATUKIO YAKE TUKAPITA MAENEO YA MAKABURINI TUNAWEZA HISI TUNASACHIWA NA MAREHEMU
 
Mkuu mama amechangia sana MSIBA wa mwanae ALIKUWA akipiga anaweka SAWA kwanza kwa maza BILA kujua katoaa wapi
Imagine anauliwa ana SIMU touch mbili aisee Rip Dk
 
Hahah htr yaan ksh maduka ya pale na kwao wengine hawatafungua maana masela ndondo kama wote picha linaanza tu jion hii watu wamelizwa simu msibani, dah wahuni bwn akili zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…