Mwl. Julius Kambarage Nyerere kutangazwa mtakatifu

Mwl. Julius Kambarage Nyerere kutangazwa mtakatifu

A GOVERNMENT IS AN INSTRUMENT OF OPPRESSION, SO IWEJE MTU ALIYEONGOZA INSTRUMENT OF OPPRESSION ATANGAZWE MTAKATIFU? NAOMBA KANISA LINIJIBU. ARCHBISHOP RUWAICHI, SOMA KITABU CHA MWIJAGE UONE ATROCITIES ALIZOZIFANYA NYERERE JULIUS

NYERERE WAS GOOD, BUT NOT AN ANGEL TO BE DECLARED A SAINT
Watu bhana!!,Nadhani hatujui Who is a saint?,Linahitajika somo kubwa hapa!!,Mzee mtu kutangazwa Mtakatifu haimaanishi kuwa enzi za uhai wake hakuwa na mapungufu,hebu tuelewe hapo.Mtakatifu ni binadamu aliyeishi hapa duniani akijibidiisha kuutafuta ufalme wa Mungu,ktk ubinadamu wake kuna mengi mazuri atajitahidi kufanya yaani Mapendo kwa Mungu na jirani yake;Na kwasababu ya Ubinadamu anapokwenda tofauti anakuwa mwepesi wa kutubu na kumrudia Muumba wake,na hadi anaaga dunia anaondoka ktk hali ya neema,yaani ktk mahusiano mema na Mungu.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Sawa na ipitishwe japo waandishi wa miaka hii ni crazy, wanasahau tarehe.

Mwalimu Julius Kambarage Nyerere apitishwe tu kuwa Mtakatifu,

Hata kwa kuweza kulinda mali asili zetu inatosha kumpa Utakatifu.

Hata kwa kutokuuza bandari zetu na mbuga zetu, inatosha kabisa kumpa Mwalimu Nyerere kuwa Mtakatifu.
 
Ndiyo maana nimeomba unifundishe Mkuu..
Mkuu kiufupi hata wewe ikiwa utaishi maisha ya kumpendeza Mungu na watu unaweza kuwa Mtakatifu hata km Kanisa halijakutangaza,kuna watu wengi sana ambao walishatangulia mbele ya haki tunaoamini kuwa ni Watakatifu kutokana na maisha waliyoishi.Hivi km Kusingekuwa na ishu ya Utakatifu baada ya maisha haya,kuna sababu gani ya kuhimizana kutenda mema?,kusali?kutubu na kuacha uovu?.Kiufupi kuna maisha baada ya maisha haya.Mtakatifu sio lazima awe mtu mkamilifu kabisa,isipokuwa anakuwa ni mtu aliyeishi maisha yake kwa Kumpendeza Mungu na jirani (Kiufupi aliyaishi mashauri ya Injili),lkn alipokosea km binadamu alitubu haraka na kumrudia Mungu,hivyo akafa ktk hali ya neema,yaani Mahusiano mema na Mungu.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Huu ni utaratibu wa kanisa katoliki. Inashangaza pale ambapo mtu si mkatoliki au si mkristo lakini unapinga utakatifu wa Nyerere. Unakuwa sawa na mtu ambaye anaona mbuzi wanafanyana halafu yeye anawafukuza. Mbona haikuhusu?
 
Katika pita pita zangu nimekutana na barua ya kanisa Katoliki Tanzania ambayo inaonyesha kwamba kanisa lipo katika mchakato wa kumtangaza Baba wa taifa, Rais wa kwanza wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Mwl. Julius K. Nyerere kuwa mtakatifu/mwenye heri.

View attachment 2813930
Na mimi waambieni kanisa katoliki niitwe mtakatifu chawa
 
Katika pita pita zangu nimekutana na barua ya kanisa Katoliki Tanzania ambayo inaonyesha kwamba kanisa lipo katika mchakato wa kumtangaza Baba wa taifa, Rais wa kwanza wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Mwl. Julius K. Nyerere kuwa mtakatifu/mwenye heri.

View attachment 2813930
Watakatifu wote mungu alikwisha wataja kwenye vitabu hawa wengine wote ni fake tu
 
Watu bhana!!,Nadhani hatujui Who is a saint?,Linahitajika somo kubwa hapa!!,Mzee mtu kutangazwa Mtakatifu haimaanishi kuwa enzi za uhai wake hakuwa na mapungufu,hebu tuelewe hapo.Mtakatifu ni binadamu aliyeishi hapa duniani akijibidiisha kuutafuta ufalme wa Mungu,ktk ubinadamu wake kuna mengi mazuri atajitahidi kufanya yaani Mapendo kwa Mungu na jirani yake;Na kwasababu ya Ubinadamu anapokwenda tofauti anakuwa mwepesi wa kutubu na kumrudia Muumba wake,na hadi anaaga dunia anaondoka ktk hali ya neema,yaani ktk mahusiano mema na Mungu.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
THIS DEFINITION IS ACCORDING TO YOU! KWAHIYO NA IDD AMIN, HITLER , BOKASSA AND THE LIKE WANAWEZA KUWA WATAKATIFU? IF UTAKATIFU IS THAT, THEN IT IS RUBBISH
 
Hakuna mwanasiasa yoyote anayeweza kuwa na sifa za kuwa Mwenye heri au Mtakatifu. Si JKN wala JPM.
20231014_130156.jpg
 
Yesu nnamjuwa kuliko umjuwavyo wewe.

Kumbuka, mimi ni Muislam na huwezi kuwa Muislam kama humtambuwi Yesu kuwa ni mtume wa Mwenyezi Mungu.
Yesu sio mtume, labda kama unamuongelea Issa bin Mariam ambapo mara nyingi huwa anafananishwa na Yesu.
 
Back
Top Bottom