Watu bhana!!,Nadhani hatujui Who is a saint?,Linahitajika somo kubwa hapa!!,Mzee mtu kutangazwa Mtakatifu haimaanishi kuwa enzi za uhai wake hakuwa na mapungufu,hebu tuelewe hapo.Mtakatifu ni binadamu aliyeishi hapa duniani akijibidiisha kuutafuta ufalme wa Mungu,ktk ubinadamu wake kuna mengi mazuri atajitahidi kufanya yaani Mapendo kwa Mungu na jirani yake;Na kwasababu ya Ubinadamu anapokwenda tofauti anakuwa mwepesi wa kutubu na kumrudia Muumba wake,na hadi anaaga dunia anaondoka ktk hali ya neema,yaani ktk mahusiano mema na Mungu.
Sent from my V1901A using
JamiiForums mobile app