Mwl. Julius Kambarage Nyerere kutangazwa mtakatifu

Mwl. Julius Kambarage Nyerere kutangazwa mtakatifu

"Omba pepo siyo unaomba uzima wa milele, Duniani nimeona mengi lakini jicho halijafika kilele, siwaahidi kuishi miaka 100 kama alivyowaahidi hayati Nyerere" - ------ Kalapina Mstari wa Mbele

"Shukrani kwa Nyerere alicheza utadhani pele kuendeleza kiswahili mikoani na mbelele tunamfagilia mzungu wakati tuna shida tele kiingereza bila hela ni sawa na kupiga kelele"-------Wakilisha
 
Akitangazwa tu. Jumuia yetu tunabadirisha jina na kuita Jumuia ya mtakatifu Nyerere Kambarage
 
Attachment.
 

Attachments

  • IMG-20231115-WA0000.jpg
    IMG-20231115-WA0000.jpg
    174.4 KB · Views: 4
Dah mambo magumu sana leo nyerere awe mtakatifu 😂😂😂😂 utaskia baada ya miaka miwili na magu naye ni mtakatifu.


Ila nadhani labda wawe wakatafito sio watakatifu
 
A GOVERNMENT IS AN INSTRUMENT OF OPPRESSION, GOVERNMENTS USE LAW TO CLING/CONSOLIDATE (TO) POWER, SO IWEJE MTU ALIYEONGOZA INSTRUMENT OF OPPRESSION ATANGAZWE MTAKATIFU? NAOMBA KANISA LINIJIBU. ARCHBISHOP RUWAICHI, SOMA KITABU CHA MWIJAGE UONE ATROCITIES ALIZOZIFANYA NYERERE JULIUS

Law: instrument of oppression or tool of justice?

Fernanda Pirie, Professor of the Anthropology of Law

Laws can be harsh, exclusionary, and oppressive. Authoritarian rulers use them to entrench power and undermine human rights; and they manipulate courts and judges to support undemocratic and illegitimate activities. We only have to consider the Jim Crow laws in the US, which legalized racial segregation for decades, the legal regime of apartheid South Africa, and recent moves in Russian and eastern Europe to undermine the independent judiciary. So why do people continue to place faith in the rule of law? The UN declares it to be fundamental to international peace, economic progress, and the protection of fundamental freedoms; social movements take political battles to the courts; and human rights are enshrined in ever more ambitious legal conventions.

Is law fundamentally an instrument of oppression or a tool of justice? And how can it, in practice, be and do both? In my new book, The Rule of Laws, I go back to the origins of law in Babylon, India, and Rome to ask what history can teach us about this paradox. It turns out that laws have been and done contradictory things since they were first invented by the warlords who competed for power in the Fertile Crescent almost four thousand years ago.




NYERERE WAS GOOD, BUT NOT AN ANGEL TO BE DECLARED A SAINT
Mwijage ni nani aliyeziona hizo atrocities na aka conclude kuwa ni za Nyerere? Uzuri huu ni mchakato hilo Jopo litapima authenticity ya unachodai kuwa ni atrocities, litalinganisha na mema yake kisha litapeleka mbele mapendekezo yao
 
Apo tunakuja kupata St Julius kambarage nyerere
Ni kama vile St Anthony, St benadicto
 
Yesu nnamjuwa kuliko umjuwavyo wewe.

Kumbuka, mimi ni Muislam na huwezi kuwa Muislam kama humtambuwi Yesu kuwa ni mtume wa Mwenyezi Mungu.
Yesu wa kwenye Biblia hana uhusiano na Nabii Isa wa Quran. Msijidanganye. Mtafutieni mtu wenu vitu vyake lakini Yesu Kristu mwana wa Mungu HAWAHUSU kabisa nyinyi Islam
 
Kwa aliyoyafanya kwa Oscar Kambona yanatosha kutokutawazwa kuwa mtakatifu,sababu alifanya haya wazi kwa mkatoriki mwenzake.
Kwani Kambona alimfanyaje? Mbona Oscar Kambona alikimbia mwenyewe nchi baada ya kukubali kuwa malaya kwa Waingereza!
 
Back
Top Bottom