Mwl. Julius Kambarage Nyerere kutangazwa mtakatifu

"Omba pepo siyo unaomba uzima wa milele, Duniani nimeona mengi lakini jicho halijafika kilele, siwaahidi kuishi miaka 100 kama alivyowaahidi hayati Nyerere" - ------ Kalapina Mstari wa Mbele

"Shukrani kwa Nyerere alicheza utadhani pele kuendeleza kiswahili mikoani na mbelele tunamfagilia mzungu wakati tuna shida tele kiingereza bila hela ni sawa na kupiga kelele"-------Wakilisha
 
Akitangazwa tu. Jumuia yetu tunabadirisha jina na kuita Jumuia ya mtakatifu Nyerere Kambarage
 
Dah mambo magumu sana leo nyerere awe mtakatifu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ utaskia baada ya miaka miwili na magu naye ni mtakatifu.


Ila nadhani labda wawe wakatafito sio watakatifu
 
Mwijage ni nani aliyeziona hizo atrocities na aka conclude kuwa ni za Nyerere? Uzuri huu ni mchakato hilo Jopo litapima authenticity ya unachodai kuwa ni atrocities, litalinganisha na mema yake kisha litapeleka mbele mapendekezo yao
 
Apo tunakuja kupata St Julius kambarage nyerere
Ni kama vile St Anthony, St benadicto
 
Yesu nnamjuwa kuliko umjuwavyo wewe.

Kumbuka, mimi ni Muislam na huwezi kuwa Muislam kama humtambuwi Yesu kuwa ni mtume wa Mwenyezi Mungu.
Yesu wa kwenye Biblia hana uhusiano na Nabii Isa wa Quran. Msijidanganye. Mtafutieni mtu wenu vitu vyake lakini Yesu Kristu mwana wa Mungu HAWAHUSU kabisa nyinyi Islam
 
Kwa aliyoyafanya kwa Oscar Kambona yanatosha kutokutawazwa kuwa mtakatifu,sababu alifanya haya wazi kwa mkatoriki mwenzake.
Kwani Kambona alimfanyaje? Mbona Oscar Kambona alikimbia mwenyewe nchi baada ya kukubali kuwa malaya kwa Waingereza!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…