Mwl. Julius Kambarage Nyerere kutangazwa mtakatifu

Yesu hajawahi kuwa na kanisa. Usimzulie.
Wewe changia ya Kurani, ya biblia utayajulia wapi?

Matthew 16:17
Now I say to you that you are Peter (which means ‘rock’), and upon this rock I will build my church, and all the powers of hell will not conquer it.
 
Yesu nnamjuwa kuliko umjuwavyo wewe.

Kumbuka, mimi ni Muislam na huwezi kuwa Muislam kama humtambuwi Yesu kuwa ni mtume wa Mwenyezi Mungu.
Wewe unamjua Isa bin Mariam.

Humjui Yesu Messaih aliyetabiriwa na nabii Isaya ambaye alikufa msalabani kwaajili ya wenye dhambi, akayashinda mauti, akapaa mbinguni, aliyepewa mamlaka yote Duniani na mbinguni, atakayerudi kuyahukumu mataifa yote.
 
Mwalimu utafukuzwa kazi ushindwe kulea wanao na wazee wako kijijini, siasa hizi waachie wenyewe.
 
Kwa aliyoyafanya kwa Oscar Kambona yanatosha kutokutawazwa kuwa mtakatifu,sababu alifanya haya wazi kwa mkatoriki mwenzake.
Ni kweli. Na sio kwa Oscar Kambona tu.
Tuntemeke Sanga alipojaribu kuonesha usomi wake, na alivyostahili kuwa kiongozi wa taifa hili, Nyerere alimuweka kifungo cha maisha cha nyumbani.
Aboud J. Mwinyi alipohoji kuhusu muungano wa Tanganyika na Zanzibar, Nyerere alimuweka kifungo cha maisha Mjimwema Dar.
Ktk operesheni vijiji vya ujamaa wananchi walihamishwa kwa nguvu kutoka makazi yao na kuwekwa sehemu ambazo hazikuwa na huduma muhimu za jamii kama nyumba, maji etc.
Via ya Uganda 1978/79 kwa sehemu kubwa ilisababishwa na Nyerere, akitaka kumrejesha madarakani rafiki yake Obote.
Nyerere aliunga mkono uasi katika Jimbo la Biafra huko Nigeria.
Hayo ni machache. Watu acheni unafiki. Nyerere alikuwa kiongozi katili, dikteta aliyetesa wapinzani wake wa kisiasa. Hakuwa mtu wa kusamehe.
 
A saint is not synonymous to an angel.
 
Nyerere anatangazwa Mtakatifu na Rumi... Huku Makonda anapewa fimbo ya nyerere.


Rumi inafanya Siasa .

Haya mambo yanapangiliwa sana.
 
Hawa waabudu masanamu hawana akili kabisa
 
Peleka hizi tuhuma Mahakama ya Jimbo
 
Wewe unamjua Isa bin Mariam.

Humjui Yesu Messaih aliyetabiriwa na nabii Isaya ambaye alikufa msalabani kwaajili ya wenye dhambi, akayashinda mauti, akapaa mbinguni, aliyepewa mamlaka yote Duniani na mbinguni, atakayerudi kuyahukumu mataifa yote.
Umedanganywa sana na ashkenazi, unaongelea yule mzungu tunaemuona kwenyue picha?
 
Muda sio mrefu kwenye sala zao tutasikia "Mtakatifu mwenyekiti wa CCM mstaafu utuombee"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…