Mwl. Mwakasege: Nilienda Mbinguni nikaongea na Yesu na Musa

Kila la heri watu wa rohoni
 
Acheni hizi mambo nyie walokole wa Mabwepande. Acheni kutisha watu bhana. Mimi nilishatoka huko katika hiyo hatua ya IGNORANCE, now nipo katika hatua ya CONFIDENCE. Imani thabiti ndiyo inajifanya nijiamini....
Mi sio mlokole brooo na sio mkristo kabisa my friend
 
Ukisoma mwanzo mwisho utanielewa, mbinguni sio kijiji bali ulimwengu wa roho, au nawe unaamini mbinguni kijiji au jiji flani juu?
Hizo ni human teachings.... Na hata biblically Mbinguni pameelezewa kwΓ  nadharia tu ....

Na pia lazima ujue..biblia ina maandiko ambayo maneno yake yanapassword....si rahisi hata kidogo mtu kuyaelewa kwΓ  haraka mpaka uwe na Roho Mtakatifu.

So, Mbinguni ni fumbo la imani na pia ni mfano wa Upendo.

Habari za mbinguni kwΓ kua ni nyeti, huwa zinaongelewa kwΓ  mafumbo na kwΓ  mifano (publically)..kama alivyokua akifanya Yesu katika mafundisho yake.

Msiwe wepesi sana kudanganywa na wanaosema wamekwenda Mbinguni.
 
Si serikal ilikataza mambo hayaa.. sijawahi hudhuria semina za huyu mwamba ila nikiwa jeshi nilishangaa had wanajeshi wanapanga kwenda semina zake .....nkashangaaa sana
 
Nyie watu vipi? Mnafel wapi? Mbona mnamtetea sana huyo jamaa. Kubalini tu kuwa leo kachemka!
 

Hela zinatafutwa kwa kila njia, hasa uongo na hadaa ni njia kuu kwa wachungaji kuwaaminisha uongo wanaowasikiliza na kupata fedha kwa njia ya sadaka, utapeli mtupu.
 
Umemsikiliza vizuri?? Au ndio icho umekishikilia tu akilini
 
Hayo maandiko uliyoyatoa Yako deep sana kuyaelewa.

Mambo ya Mbinguni sio marahisi rahisi kuwa hadharani. Na ndio maana yeyote atakayeweza kumuona Mungu akiwa hai lazima afe chap kwΓ  haraka!

Ipo siri nzito sana Ndugu yangu. Kikubwa kulipata Neno lililomo kwenye andiko ili uishi vyema kwΓ  kujiamini. Simple!

Note: Believe anybody, Trust nobody except God. And as the matter of facts....Mungu ndiye anayejua Hatima za maisha yetu, yeye ndiye mgawa wa Riziki zetu, yeye hutubariki na hutupa THAWABU. Period!

#TRUST IN GOD
 
Naona sasa visa za kwenda mbinguni zinapatikana kirahisi. Vituko vikubwa!
 
kwanza uliyeleta huu uzi , tukulize unaelewa nini kuhusu mbiguni na jee unamini mbinguni kupo, kama una mini kupo unahisi wataokwenda mbinguni wataendaje watapanda daladala au wataenda kwa uweza wa MUNGU , yapo mambo mawili kwa mwandishi wa huu uzi either unauelewa mdogo sana kuhusu mambo ya ukristo au umekuj kutafta sifa hapA
 
Hela zinatafutwa kwa kila njia, hasa uongo na hadaa ni njia kuu kwa wachungaji kuwaaminisha uongo wanaowasikiliza na kupata fedha kwa njia ya sadaka, utapeli mtupu.
Je,wote wanaoihubiri Injili ni wasaka pesa?
 
You be the judge! Na wala usidhani nimeandika ili kumuhukumu huyo Mwalimu wenu.

Nimeandika ili kuwaonyesha wakristo trend inayoendelea hivi sasa katika Taifa letu...ya wanaojiita watumishi kusema wanakwendaga mbinguni kukutana na Yesu, Mitume au manabii.


Haya mambo yalikua huko Zimbabwe, now yameingia TANZANIA. ( Zimbabwe kuna Pastor anasema yeye ana namba mpaka ya Mungu asee)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…