Mwl. Mwakasege: Nilienda Mbinguni nikaongea na Yesu na Musa

Hao huwa wanatumia tu concept ya kawaida ya kibinadamu , ila wanaingiza vifungu vya biblia vinavyorelate basi watu wanajaa , ila hamna chochote , mfano huyo mhubiri anakwambia afanyaye kazi kwa bidii atafanikiwa , huyo anaenda kusoma fungu la Mithali linalosema alimaye shamba lake atapata chakula tele bali afataye mambo ya upuuzi atapata umaskini wa kumtosha , anakupa na mfano wa mtu aliyefanikiwa pengine huyo mtu yupo hapo kwenye mkutano, na hapo atachota mindset za watu na watamuona mwamba .....

Ndo mana wamerely sana kwenye mafanikio ya mali , wakat kikawaida mtu anayefanya kaz kwa bidii ni rahs kutoboa hata kama hasali wala hana dini
 
Basi msiwashutumu wanaomkubali Zumaridi , mana huyo mwakasege wako tukianza kumchallenge hapa mbona hapatosha , Biblia ni hyo hyo ila hakuna mwenye tafsr sahihi , yeye kasema kaenda mbinguni , mwingine akisema kaenda mbinguni inakuwa kosa ....
 
Huwezi kupelekwa mbinguni ukiwa hai bhana!

Hata Yesu Kristo alipokua hai, aliwahi kwenda mlimani kusali na wafuasi kadhaa....ndipo mitume wakatoka mbinguni na kumfuata alipo ....mmoja wa wawafuasi akasema tujenge vibanda vitatu...
Wewe utakuwa ni mkatoliki..watu msiosoma biblia..nenda kasome kitabu cha danieli..nenda kasome ufunuo..hao wote walifika na kuoneshwaa maono mbalimbali..shida yenu hamuani katika uweza wa MUNGU..nyie mmekalia ekaristi tuu..na ishara za misalaba na masanamu yenu madhabahuni..unapsawa kujua nini maana ya maono..
 
spiritual discernment + spiritual awakening
 
Yani mwakasege umfananishe na akina Daniel , utakuwa unaumwa ww
 
Basi msiwashutumu wanaomkubali Zumaridi , mana huyo mwakasege wako tukianza kumchallenge hapa mbona hapatosha , Biblia ni hyo hyo ila hakuna mwenye tafsr sahihi , yeye kasema kaenda mbinguni , mwingine akisema kaenda mbinguni inakuwa kosa ....
Unakubali kauli ya mtu kutokana na matendo yake.Kwa vitendo vya Zumaridi wewe unaona ni KWELI???
 
chini ukishaona CRDB, NMB, AIRTEL MONEY ,TIGO PESA, MPESA NA HALO PESA basi changanya na zako.
 
Yani mwakasege umfananishe na akina Daniel , utakuwa unaumwa ww
Huelewi nilikiandika mjomba! Rudi kasome kwa padiri wako...nimekupa mifano ya watu kuona maono ya mbinguni...lakini pia wapo watu kama kina daniel tena wengi tuu...shida yako na wenzako mmepigwa upofu japo mnaona.
 
Hata Mimi ni mkatoliki kindakindaki,lakini kwenye ukweli huwa nakubali.
Uliyoyasema ni KWELI.Wakatoliki hatusomi Biblia Sana,ZAIDI ya misale ya waumini.Ukimwambia afungue Waefeso kwa Mfano,utakesha.yaani hatujui Kama NI agano la kale au jipya.
 
Huwezi kuwa na Maono pasipo kuwa na maarifa ya kweli katika imani fulani.

Kama wewe ni mtu wa Mungu lazima uwe na maarifa ya kimungu ambayo yamejikita kwenye imani ya kiMungu and the vice versa.

Nataka kusema, mtu mwenye Maono lazima awe mtu wa kumeditate sana, kwasababu..

Meditation brings revelations and revelations brings Manifestation of the Spirit.

Na ndio maana Mimi napingana sana na mtu ambae anasema kajawa na roho Mtakatifu au kajawa na Neno la Mungu au alishawahi kwenda Mbinguni na hapo hapo anashindwa kumanifest (kuwekea mikono wagonjwa na wakapona, kusema chochote na kikatokea)

Kuna watu waovu wanakwenda chini ya bahari, wanaporudi ...wanafanya vitu na vinatokea ...kwà lengo la kuwaumiza/kuwaangamiza watu wasiokua na maarifa au maono
 
Mi namwamini ushahidi WA watu kukutana na Yesu baada ya yeye kupaa mbinguni upo, sioni sababu ya yeye kudanganya
 
Kwani Daniel did alikuwa binadamu Kama Mwakaseg??Hata wewe unaweza kwenda mbinguni,ukitaka
WAllahu Wakubaru!!! Kumbe kwenda Mbinguni ni lazima. Kwamba mtu akitaka anaweza kwenda tu kwà mapenzi yake , na sio tena kwà mapenzi ya Mungu? Daah salalaaah Gulo weeee " Eeh Mungu tusaidie tue na mwisho mwema waja wako!!"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…