Slowly
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 10,589
- 35,268
Hao huwa wanatumia tu concept ya kawaida ya kibinadamu , ila wanaingiza vifungu vya biblia vinavyorelate basi watu wanajaa , ila hamna chochote , mfano huyo mhubiri anakwambia afanyaye kazi kwa bidii atafanikiwa , huyo anaenda kusoma fungu la Mithali linalosema alimaye shamba lake atapata chakula tele bali afataye mambo ya upuuzi atapata umaskini wa kumtosha , anakupa na mfano wa mtu aliyefanikiwa pengine huyo mtu yupo hapo kwenye mkutano, na hapo atachota mindset za watu na watamuona mwamba .....Kusema cha ukweli, nilikua namfuatilia sana huyu jamaa kwasababu ya Dada yangu mkubwa, ..anamkubali sana.
Niliwahi pia kuhudhuria semina zake pale Arusha uwanja wa pale kwenye reli.
Kiukweli , mafundisho yake...ngumu sana kumeza,...kwasisi ambao tumejikita katika kumeditate , kusali, kufunga na kuomba.
I mean, ..unapokula chakula chake..kisha ukarudi home..ukakicheua na kuanza kukimeng'enya UPYA ili ukimeze mazima..unajikuta unakitapika tu.
Kiufupi, Mimi huwa nawasikiliza wahubiri wote...lakini issue huwa inakuja pale kwenye kusinkisha madini yao ndani ya tumbo langu. Maana , kiukweli ninapokulaga chakula cha kweli, mwili wangu huwa unasisimka sana, unastawi na kunawili sana...nakua mtu mwenye Amani without doubts...na nakua namfurahia huyo mtu aliyenipa hicho chakula.
Mimi sio sampuli za wale waumini ambao wanapokua kwenye mafundisho ..huandika notes ..na baadae wakifika home wanazidamp kusubiri mkutano mwingine .... Mimi huwa lazima nianze kufuatilia UPYA kile nilichokisikia ( outer voice) , ni oanishe na sauti ya ndani ( inner voice). Naikubali sana sauti ya ndani
Ndo mana wamerely sana kwenye mafanikio ya mali , wakat kikawaida mtu anayefanya kaz kwa bidii ni rahs kutoboa hata kama hasali wala hana dini