Mwl. Mwakasege: Nilienda Mbinguni nikaongea na Yesu na Musa



Alikwenda na ndege ipi ?? Aliondokea airport ipi ?? Alipata wapi visa ?? Kuna wakimbizi huko ??
 
Kama unasoma Biblia, mbona hayo ni mambo ya kawaida sana, kwa watumishi wa Mungu aliye hai, lakini kama usomi wala huamini Biblia, ndio utaona ni jambo la ajabu.
 
Asante
 
Ndo wakina nani freemason
 
Ndo maana mi ukiniambia habari za dini huwa sielewi wala habari za manabii dijui mitume najua kuna supperpower ambayo binadam wote tunatakiwa kuiheshimu but ukiniuliza ni mungu mm sijui na hiyo ndo ninaiheshimu na kuiabudu
Kwan ulishawahi kulazimishwa au kushikiwa fimbo sasa unawalalamikia kwa nin
 
We unaona kwenda mbinguni ni ajabu sana
 
Mwalimu Mwakasege naye anasema eti eti alienda Mbinguni akakutana na Musa, na pia akakutana na Yesu na akapiga nao story. Na kasema eti Yesu kamwambia yuko njiani anarudi.

Dah! Hii kitu imekaaje wadau?
Naye ameanza kuchanganyikiwa
Hivi kudanganya watu ndiyo mbinu ya kuwavuta?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…