Mashindano yote duniani kanuni yake ni moja tu "Usipoweza kushindana na mshindani wako basi ungana nae" ndicho alichoamua Mwakasege
Mwaka huu Yesu kapokea wageni sana uko mbinguni.
Don't judgeGo to hell Mdhambi
Ndivyo alivyowaambia. Sisi ni Anonymous. #TruthMustBeToldMawakala wa Ibilisi mko na stress mingi sana
Hatari sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Afu anavyolitamka kwà mbwembwe sasa " SADAKA".Mzee wa Sadaka.....analipenda Sana Hilo somo....Utasikia Cain alimtolea Mungu Sadaka iliyonona,japokuwa amekufa Sadaka yake ingali inanena......TOENI SADAKA JAMANI
We tena akishatamkaa SADAKA,anabinua kidevu chake in a very serious note,halafu anaanza kuumba tenzi Fulani inaimba"Nasikia kuitwa,na sauti yake,nikasafishwe kwa damu ya kuangikwa kwake"wewee mwenyewe unafungua pochi bila kushurutishwa unabakiza nauli tu Hapana chezea Upako😅😅😅Afu anavyolitamka kwà mbwembwe sasa " SADAKA".
Jana wakati anaanza kuhubiri , kitu cha KWANZA kukisema ni KUTOA SADAKA,....na mwisho akasema kitu hicho hicho...
Yaani akili yake yote ni kwenye SADAKA....meaning behind the camera kuna baadhi ya mambo wanataka yaende na yanahitaji pesa...so mtu mpaka anapanda kwenye stage akili inafikiria hela
[emoji23]Zumaridi alipofika mbinguni akauliza kama wanaifahamu timu ya Yanga, akaambiwa hawaijui kabisa[emoji16]
Ngachoka mie [emoji42]We tena akishatamkaa SADAKA,anabinua kidevu chake in a very serious note,halafu anaanza kuumba tenzi Fulani inaimba"Nasikia kuitwa,na sauti yake,nikasafishwe kwa damu ya kuangikwa kwake"wewee mwenyewe unafungua pochi bila kushurutishwa unabakiza nauli tu Hapana chezea Upako[emoji28][emoji28][emoji28]
Janjajanja nyingiNgachoka mie [emoji42]
Ndo maana waisrael hawapendi kabisa hizi swaga....na wakristo wanadhani Waisrael hawampendi YesuJanjajanja nyingi
Wote matapeli tu haoWadau kwema?
Nipo hapa nafuatilia Semina ya Neno la Mungu - Dodoma mubashara kabisa kupitia Upendo TV (Huduma ya Mana)
Mwalimu Mwakasege naye anasema eti eti alienda Mbinguni akakutana na Musa, na pia akakutana na Yesu na akapiga nao story. Na kasema eti Yesu kamwambia yuko njiani anarudi.
Dah! Hii kitu imekaaje wadau?
Alianza Nabii Mkuu Geordavie then Zumaridi na sasa Mwl. Mwakasege.
Mbinguni hiyo vipi wadau, mbona sielewi mapichapicha haya!!!
Mbinguni dah! Aloo mbinguni!!!
(Mmh!..hahahaha ...mhhh!...hahaha) Twibhwa nabazenganwa! Ehenao yaya gete....bagoshaaaaa!!!! Alichene!
!View attachment 2593179
Wewe kaka inaonyesha Mwakasege ni tishio sana kwako..au wewe ndio Mwamposa??? Kwanini unamfatilia mtu usiyemkubali? Naona unakazana sana kumpaka matope Mwl Mwakasege ili na wengine wamchukie...nafikiri Mwakasege anawanyima usingizi nyie kina mwamposa. Mmemshindwa rohoni sasa mnakuja mwilini...poleni sana.Namfuatilia hapa via Upendo TV...
Kawaambia vijana wasijibizane kwenye social media.....Meaning kaiona hii thread.
Now anawapa matongo pori ya kuwakeep ili wasipate nafasi ya kumtoroka.
Anawajengea mindset...waache kuwasikiliza wanaomchallange
Nouma sana😁Mwaka huu Yesu kapokea wageni sana uko mbinguni.
Na wewe duuh makanisa yatakosa fungu la kumi 😁Mzee wa Sadaka.....analipenda Sana Hilo somo....Utasikia Cain alimtolea Mungu Sadaka iliyonona,japokuwa amekufa Sadaka yake ingali inanena......TOENI SADAKA JAMANI
Huko kwa mwamposa huwa hamtoi sadaka?Afu anavyolitamka kwà mbwembwe sasa " SADAKA".
Jana wakati anaanza kuhubiri , kitu cha KWANZA kukisema ni KUTOA SADAKA,....na mwisho akasema kitu hicho hicho...
Yaani akili yake yote ni kwenye SADAKA....meaning behind the camera kuna baadhi ya mambo wanataka yaende na yanahitaji pesa...so mtu mpaka anapanda kwenye stage akili inafikiria hela
Mimi sio Mwamposa. Usimsingizie huyo jamaa. Au mpaka nipost thread ya kumponda ndio utajua kuwa sina urafiki nae?Wewe kaka inaonyesha Mwakasege ni tishio sana kwako..au wewe ndio Mwamposa??? Kwanini unamfatilia mtu usiyemkubali? Naona unakazana sana kumpaka matope Mwl Mwakasege ili na wengine wamchukie...nafikiri Mwakasege anawanyima usingizi nyie kina mwamposa. Mmemshindwa rohoni sasa mnakuja mwilini...poleni sana.
Mwamposa kaingiaje kwenye mjadala huu?Huko kwa mwamposa huwa hamtoi sadaka?