Holly Star
JF-Expert Member
- Aug 25, 2018
- 4,327
- 8,142
Mimi sio mtaalam wa IT Ndugu! Nina amini soon kipande hicho kitaanza kutrend kwenye mitandao ya kijamii!!!Ww ndio uende huko youtube utuletee video na sio picha
Nadhani tatizo linaweza kuwa uelewa kaka, ila sababu hatujaona video wengine ngoja tusimjudge mleta uziKasema kwamba alienda mbinguni au alichukuliwa kwenda mbinguni?
ni biashara hapo inafanyiwa innovation.Watakuja na mwendokasi za mbinguni
Watu hubadirika kila sekunde,...ni vyema ukalitambua hili.Siwaogopi ila ninamfahamu huyu Mzee kwa kiasi chake....ova
Kweli asee, UMEONA mbali sana!!Iyo ni plan "B".
bado wapo watafunguka zaidi wakishachanganya sasa tukaona kawaida watarudi na zawadi kutoka mbinguni kwa Yesu kama nguo,vyakula n,k na vitauzwa kwa bei ya juu.
Haimpunguzi kitu yeye ni mshenga tuu..mwenye ndoa ni weweKama ni kweli, nmemshusha chini.
Yote ni yale yale tu , Acha kupindisha sentensiKasema kwamba alienda mbinguni au alichukuliwa kwenda mbinguni?
Mwakasege hawezi kusema hayo katu.Nimeanza kumsikia mwakasege nikiwa na miaka 10 saiv niko 34
Amekua Zumaridi wa II ?Mwalimu Mwakasege naye anasema eti eti alienda Mbinguni akakutana na Musa, na pia akakutana na Yesu na akapiga nao story. Na kasema eti Yesu kamwambia yuko njiani anarudi.
Bora angezingatia somo alilokuwa anafundisha.Kwa bahati mbaya adui yuko makini sana amefanya yale ya mbegu ilianguka kwenye miiba.Nimemsikiliza vizuri Sana ..na kasema kama ulivyosema ila mbona kaanza Kwa kusema " "wakati nimelala nikanza kuona maono nafsi inavyo nyanyuka mpaka kufika mbinguni akaanza kuona hayo maono ya kukuta na huyo Musa na akajihami usiulize amemjuaje akasema alitambulishwa ...
Sasa wewe unavyoiweka ni kama ya mama mdogo wako zumaridi..acha upotoshaji man.. mbona unakuaga mjinga we mzee
Je Umemsikia leo kwenye semina yake inayoendelea hapa Dodoma kwà siku tano?Mwakasege hawezi kusema hayo katu.Nimeanza kumsikia mwakasege nikiwa na miaka 10 saiv niko 34